Tuesday , 21 May 2024

Month: December 2023

Elimu

150 wahitimu Shahada ya Udaktari HKMU

CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha miundombinu yake, kusomesha...

Elimu

Aliyehitimu udaktari HKMU na miaka 21 atoa siri

MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki (HKMU), Ahlam Azam...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wakurugenzi TANESCO kukemea rushwa kwenye maeneo yao

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa wa Shirika...

Habari Mchanganyiko

TARURA kujenga madaraja 189 kwa teknolojia ya mawe

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imejipanga kujenga madaraja 189 kwa kutumia teknolojia ya mawe katika mikoa yote 26 nchi nzima...

AfyaHabari Mchanganyiko

Majaliwa aipongeza GGML mapambano dhidi ya Ukimwi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa mchango wa...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Uongozi wa Samia kuendelea hadi 2030

KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Bado askari wastaafu wanaonewa

RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Wamesahau aliyofanya Magufuli

JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...

Kimataifa

Muandamanaji ajichoma moto akipinga vita Palestina, Israel

MUANDAMANAJI moja ambaye hajafahamika jina, yuko mahututi hospitalini akitetea uhai wake, baada ya kujichoma moto kwa kutumia mafuta ya petroli, nje ya ubalozi...

Kimataifa

Urusi kuongeza wanajeshi ikijihami dhidi ya NATO

SERIKALI ya Urusi iko katika mpango wa kuongeza wanajeshi wake, ili kujihami na vitisho vya kiusalama, kufuatia kupanuka kwa Jumuiya ya Kujihami ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aanika matobo miswada sheria za uchaguzi

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekosoa miswada ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akidai mapendekezo yake hayalengi...

AfyaHabari Mchanganyiko

GGML waungana na Biteko kuanika mbinu za mapambano dhidi ya Ukimwi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na...

Elimu

Janeth Mbene apongeza HKMU, ataka wahitimu wajiajiri

WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU),  watakiwa kutumia elimu waliyoipata kufanya tafiti na kutatua changamoto mbalimbali zilizoko kwenye jamii....

Biashara

Shinda mtonyo mrefu ukicheza Shaolin Crew kasino ya  Meridianbet

  TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwalimu jela miaka mitatu kwa rushwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka mitatu gerezani, Jesca Jones Yegera (60) baada ya kupatikana na...

Habari za Siasa

Rais Samia kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia kwa wanawake Afrika

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) kesho Jumamosi katika Umoja...

Habari Mchanganyiko

Waziri Bashungwa aagiza wahandisi kujengewa uwezo

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kushirikiana na Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) kuweka utaratibu endelevu wa...

Kimataifa

Israel yarejesha mashambulizi Gaza ikilaumu Hamas kukiuka makubaliano

JESHI la Israel, limerejesha mashambulizi katika ukanda wa Gaza, baada ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la Hamas, kudaiwa kukiuka makubaliano ya kusitisha...

Habari za Siasa

AG aiagiza kamati ya maadili kuwashughulikia mawakili wanaokiuka maadili

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, ameagiza Kamati ya Maadili ya Mawakili, kuwachukulia hatua mawakili wanaokiuka maadili yao pamoja na kuipotosha...

Habari za Siasa

Jaji avunja ukimya sakata la Mpoki kusimamishwa uwakili

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amekitaka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kuwafikisha mbele ya kamati ya maadili wanachama wake watakaobainika...

error: Content is protected !!