Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Je, Manchester United itaweza kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya mabingwa Ulaya?
Michezo

Je, Manchester United itaweza kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya mabingwa Ulaya?

Spread the love

 

ILE klabu yenye mashabiki wengi duniani Manchester United leo ama zao ama za Bayern kitaeleweka yani hapa ni Ten Hag afuzu au asifuzu.  Ili kujua nani ni nani nenda pale Meridianbet weka pesa, halafu suka jamvi lako na ubashiri mechi hiyo na zingine pia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Dunia nzima na macho yote yatakuwa pale Old Trafford ambapo Manchester United atamkaribisha Bayern Munich ambaye atayari amefuzu. Mechi ya kwanza alipasuka, je leo atalipa kisasi huku akipewa ODDS 2.69 kwa 2.26. Lakini ili Ten Hag afuzu anahitaji ushindi huku akiombea njaa Copenhagen na Galatasaray watoke sare. Ingia mchezoni na ubeti.

Arsenal wakiwa tayari wamefuzu wao watakuwa ugenini kukichapa dhidi ya PSV ambaye ana pointi 8. Mara ya mwisho kukutana Arteta aliondoka na pointi. Ushindi wa The Gunners ni ODDS 2.45 kwa 2.65. Suka mkeka wako hapa sasa.

Nao RC Lens dhidi ya Sevilla ambapo mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu. Mwenyeji ana pointi tano huku mgeni akiwa na pointi mbili. Lens anahitaji ushindi afuzu michuano ya Europa baada ya kuonekana vigumu kufuzu hatua ya 16 bora huku Sevilla akiwa hajashinda mechi yoyote ila akishinda leo kwa magoli mengi anaweza kwenda Europa. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa 3.77. Ingia na ubashiri sasa.

Huku ukiendelea kubashiri mechi za UEFA, pia kumbuka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa hapa ikiwemo Aviator, Poker, Roullette, Keno na mingine kibao kwa dau dogo tuu uweze kukwamua mkwanja wa maana unaotolewa hapa. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Simone Inzaghi na Inter Milano yake watakuwa nyumbani kuoneshana mbavu dhidi ya Real Sociedad San Sebastian na wote wakiwa na pointi sawa 11. Timu zote zinagombani nafasi ya kwanza, mwenyeji akiwa na ODDS 1.62 kwa 5.09. Nani kukaa kileleni leo? Beti mechi hii.

Kundi A likiwa linawaka moto vilivyo leo hii ni kufa au kupona ambapo FC Copenhagen atakiwasha dhidi ya Galatasaray ambao wote wamefungana pointi wakiwanazo 5. Yoyote akishinda anaenda 16 bora. Je nani kuondoka na ushindi? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri na Meridianbet hapa.

Mechi hizi za hatua ya makundi zitaendelea hapo kesho ambapo Newcastle United atakuwa pale St James’ Park kumenyana dhidi ya AC Milan na timu zote zinahitaji ushindi kufuzu 16 wakiomba Paris achapike ugenini. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.86 kwa 3.82. Tengeneza jamvi hapa na ubashiri mechi hii.

Huku FC Barcelona ambaye tayari amefuzu hatua ya 16 bora atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Royal Antwerp ambayo ni kama imesindikiza kwenye michuano hii kwani mpaka sasa haijashinda mechi yoyote. Mara ya mwisho kukutana, Xavi na vijana wake walishinda. Je watamalizaje hatua ya makundi? Suka mkeka wako sasa.

Naye Borussia Dortmund atakuwa mwenyeji wa PSG huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee. Ili kufuzu Enrique anahitaji ushindi au sare akiomba mabaya mechi ya Newcastle na Milan. ODDS KUBWA zipo hapa yani ni 3.72 kwa 1.86 na nafasi ya kwanza inaweza kwenda kwa yoyote hapa.

Kundi E nalo si haba Atletico Madrid ya Diego Simeone itakiwasha dhidi ya Lazio ambao wamepishana pointi 1 pekee, timu zote zinawania nafasi ya 1 japokuwa wote wameshafuzu 16 bora kwani anayefuata hata akishinda atakuwa na pointi 9, pekee ambaye ni Feyenoord na Celtic akiwa tayari ameondoshwa kwenye michuano hii.

FC Porto naye atashuka dimbani dhidi ya Shakhtar Donetsk na wote wana pointi 9 kinachowatofautisha ni magoli pekee. Kila timu inataka ushindi kufuzu hatua inayofuata, ushindi wa mwenyeji ni 1.44 kwa 6.66. Beti hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!