Friday , 1 March 2024
Home Kitengo Biashara Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo
Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love

Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini mkoani Shinyanga, Edward Joseph (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Sh. 500,000 kutoka kwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) wilaya ya Kahama, Penina Kikonga (kushoto) alipokuwa akikabidhiwa hundi hio kama mshindi wa droo ya 7 ya Maokoto ndani ya Kizibo kwenye baa ya Choma Zone mkoani Shinyanga.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Washindi 12 NMB MastaBata na wenza wao wapaa Afrika Kusini

Spread the loveWASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu...

Biashara

Meridianbet yaimarisha usafi Kijitonyama

Spread the loveMABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imefanikiwa kufika...

Biashara

Kampeni SBL ya unywaji pombe chini ya umri yafika Kilimanjaro

Spread the loveKAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inewahimiza wanafunzi...

Biashara

Cheza Pragmatic Play na ushinde mgao wa Bil 12 za Meridianbet kasino

Spread the love  HII habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya...

error: Content is protected !!