Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Usipitwe hii inapatikana Meridianbet pekee leo, ingia na ubeti
Michezo

Usipitwe hii inapatikana Meridianbet pekee leo, ingia na ubeti

Spread the love

 

MECHI za Europa zinaendelea leo hii kuanzia saa 2:45 usiku na saa 5:00 usiku hivyo kwa wewe mteja wa meridianbet ingia na utengeneza jamvi lako la mechi unazozitaka ili kesho uamke na maokoto. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Na tuanze na kundi A, ambapo  Westham United watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani huku timu hizo zikiwa zimefungana pointi yani wote wana 12. 1.81 ndio ODDS ya Wagonga Nyundo wa London huku 3.92 ya mgeni. Nani kupaa kileleni. Suka mkeka wako chapu.

Wakati katika dimba la BayArena, Bayer Leverkusen wanaonolewa na Xabi Alonso watamkaribisha Molde huku mechi ya kwanza walipoonana Leverkusen alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.32 kwa mwenyeji na 7.64 kwa mgeni. Pesa yako unaiweka wapi hapo?

Nao Union Saint-Gilloise watakiwasha dhidi ya Liverpool ya Klopp. Jogoo amepewa ODDS 2.84 ya ushindi huku mwenyeji wake akipewa 2.27 huku tofauti ya ponti kati yao ikiwa ni 9. Liver atamaliza kundi kwa kupoteza? Bashiri mechi hii Meridianbet.

Usiishie kubashiri Europa tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayotolewa hapa kama vile Aviator, mchezo pendwa kwasasa na ni rahisi sana, Poker, Keno Roullette na mingine kibao ya Sloti. Ingia mchezoni na ucheze sasa upate Bonasi za Kasino.

Pesa nyingine ipo kwa vijana wa Mourinho AS Roma dhidi y FC Sheriff katika Stadio Olimpico, Rome ambapo Waitalia hao wanatafuta pointi hii leo wamalize kundi kama vinara. Huku mpinzani wake akiwa na alama moja pekee. Je Roma wanaweza maliza kundi kileleni? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubeti.

Ubabe mwingine upo kwenye mechi ya Slavia Prague dhidi ya Servette Geneva ambao hawajashinda mechi yoyote hadi sasa. Mechi hii imepewa ODDS 1.34 kwa 8.42, Je mwenyeji atamaliza akiwa kinara au vijana wa Mourinho watawashinda. Bashiri mechi hii.

Mechi ya Stade Rennes dhidi ya Villarreal nayo ipo kwaajili ya kukupa pesa huku timu zote zinawania kukaa kileleni. Mfaransa ana ODDS 2.07 na Mhispania amepewa 3.33. Walipokutana, Nyambizi wa Njano alishinda. Leo mwenyeji atalipa kisasi? Bashiri na Mabingwa hapa.

Vilevile vijana wa Roberto De Zerbi, Brighton & Hove Albion watakuwa nyumbani kukimbiza dhidi ya Olympique Marseille tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee na wote wanawania kukaa juu. 1.63 na 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na usuke mkeka hapa.

Ajax Amsterdam watawaalika AEK Athens huku timu hizo zikiwa hazina mpango wa kuendelea na michuano ya Europa na sasa wanatafuta nafasi ya kuwania Konferensi league. Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa.

Real Betis ya Hispania itamenyana dhidi ya Rangers katika dimba la Benito Villamarin wakitofautiana pointi 1 pekee. Mara ya mwisho walipoonana Mgeni alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.78 kwa 4.21. Nani ni nani leo?

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!