Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Ligi ya Mabingwa Ulaya kupigwa leo, maokoto nje nje Meridianbet
Michezo

Ligi ya Mabingwa Ulaya kupigwa leo, maokoto nje nje Meridianbet

Spread the love

JUMATANO leo itapigwa michezo mbalimbali ya ligi yamabingwa barani ulaya ambayo itatoa nafasi kwa wateja waMeridianbet kujishindia mikwanja kutokana na michezohiyo ya kibabe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Inawezekana wewe mteja wa Meridianbet wikiendi yakohaikwenda vizuri katika ligi mbalimbali, Lakini haupaswi kuamnyonge kwani leo itapigwa michezo ya kibabe kabisa kwenyeligi ya mabingwa barani ulaya ambayo imepewa ODDS KUBWA ambapo unaweza kujishidia maokoto ya kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Baada ya michezo kadhaa kupigwa jana leo viwanja mbalimbalivitawaka moto ikiwemo pale Signal Iduna Park ambapoBorussia Dormund wataikaribisha klabu ya PSG katika mchezowa kundi F mchezo mwingine wa kusisimua utapigwa pale St James Park nchini Uingereza ambapo Newcastle wataikaribishaAc Milan katika mchezo utakaoamua hatma ya vilabu hivo.

Michezo mingine itakayopigwa leo ni pamoja na klabu yaAtletico Madrid ambao watakua nyumbani katika dimba lao la Wanda Metropolitano kumenyana na klabu ya Lazio kutokanchini Italia, Huku mchezo mwingine mkali utakua baina Fc Porto dhidi ya Shakhtar Donetsk ambapo utaamua hatma yatimu hizo kuendelea kwenye michuano hiyo kwani wote wanaalama tisa mpaka sasa kwenye kundi H linaloongozwa naBarcelona.

Michezo hiyo ndio itakua michezo ya mwisho ya hatua yamakundi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu namichezo kadhaa itakua inaamua hatma ya timu kadhaa kwendahatua inayofuata ya 16 bora, Hivo itakua michezo yenye kuvutiaambayo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!