Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Championship kutoa mkwanja leo
Michezo

Championship kutoa mkwanja leo

Spread the love

NCHINI Uingereza leo ligi daraja la kwanza maarufu kamaChampionship itaendelea ambapo itapigwa michezo mingiambayo inaweza kutoa nafasi kwa wateja wa Meridianbetkupiga maokoto ya kutosha.

Kipindi hichi sikukuu Meridianbet wamejitahidi kukuwekeaOdds nzuri katika michezo mbalimbali ambayo inapigwa, Hukukazi ikibaki kwako wewe mteja kuweka mkeka wako ili uwezekua moja ya washindi katika kipindi hichi cha sikukuu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Vinara wa Championship klabu ya Leicester City watashukadimbani leo baada ya kutoka kulazimishwa sare katika mchezouliopita dhidi ya Ispwich Town, Leo watakua ugenini kukipigadhidi ya klabu ya Cardiff City.

Southampton ikiwa moja ya timu inayofanya vizuri kwenyeChampionship wakiwa nafasi ya tatu leo watakua nyumbanikatika dimba lao la St.Marrys kuikaribisha klabu ya Plymouth Arygyle, Mchezo huu utakua muhimu kwa Sotton katika namnaya kutafuta nafasi ya kukaa kileleni.

Mchezo mwingine mkali wa Championship ambao umepewaODDS KUBWA pale Meridianbet ni kati ya klabu ya IspwichTown wanaokamata nafasi ya pili kwenye ligi hiyo ambaowatakua ugenini kukipiga na klabu ya Queen Park Rangers.

Bonge la mechi kwenye Championship litakwenda kupigwakatika dimba la Hawthorns ambapo klabu ya West Bromwich Albion walioko nafasi ya tano kwenye msimamo watakuanyumbani kuwakaribisha Leeds United inayokamata nafasi yanne, Huku Leeds wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopitahivo unatarajiwa kua mchezo mkali kwelikweli.

Michezo yote inayokwenda kupigwa leo kunako ligi daraja la pili maarufu kama Championship nchini Uingereza imepewaODDS KUBWA ambazo zitampata fursa mteja wa Meridianbetkuendelea kufurahia msimu huu wa sikukuu, Kwani ukiwekamkeka wako maokoto ni nje nje.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!