Sunday , 28 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Saba wadakwa na kilo 3,182 za ‘unga’
Habari Mchanganyiko

Saba wadakwa na kilo 3,182 za ‘unga’

Spread the love

WATU saba wakiwemo wawili raia kutoka barani Asia, wanashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).

Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 27 Disemba 2023 na Kamisheni Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimo, akitaja ripoti ya operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia tarehe 5 hadi 23 Disemba mwaka huu, kwenye mikoa ya Dar es Salaam na Iringa.

Jenerali Lyimo amesema mbali na watu hao kukamatwa, DCEA ilifanikiwa kukamata kilo zaidi ya 3,182 za dawa za kulevya aina ya Heroin na Metamphetamine.

Amesema endapo dawa hizo za kulevya zisingekamatwa zingesambaa mitaani na kuleta madhara ya kiafya kwa wananchi hususan vijana.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Wami Ruvu hawana deni la Rais Samia katika kutunza vyanzo vya maji

Spread the love  BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu, imeendelea kuchua...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari Mchanganyiko

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

Spread the loveWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na...

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

Spread the love  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili...

error: Content is protected !!