Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Michezo Boxing Day, fungua zawadi na Meridianbet
Michezo

Boxing Day, fungua zawadi na Meridianbet

Spread the love

 

LEO Jumanne ya Boxing day yaani siku ya kufungua zawadi basi michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Uingereza itapigwa katika viwanja tofauti tofauti na itakuwezesha kufungua zawadi kwa uzuri zaidi na Meridianbet. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Michezo itakayopigwa leo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ambapo wewe mteja wa Meridianbet unaweza kupiga mkwanja wa kutosha siku yako ya kufungua zawadi ikaenda barabara kabisa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Newcastle baada ya kupoteza mchezo siku ya Jumamosi dhidi ya Luton Town leo watakua nyumbani katika dimba la St. James Park kuhakikisha wanarudi kwenye njia ya ushindi wakiikaribisha klabu ya Nottingham Forest.

Liverpool baada ya kubanwa mbavu katika michezo miwili mfululizo kwa kupata sare wakiwa nyumbani leo watasafiri na kwenda ugenini kukipiga na vijana wa kocha Vicent Kompany klabu ya Burnley ambapo watakua wakipambana kuzipata alama tatu muhimu.

Bournamouth wakiwa kwenye fomu nzuri ambapo wametoka kushinda michezo miwili mfululizo na mchezo mmoja ni ule walioitandika Man United mabao matatu kwa bila leo watakua pale Vitality katika uwanja wao wqa nyumbani kuikaribisha klabu ya Fulham.

Manchester United ikiwa haipo kwenye mwenendo mzuri wa matokeo leo wanakwenda kukabiliana na moja ya timu bora kwasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza  klabu ya Aston Villa, Man United watahitaji kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo katika siku ya Boxing day ambayo imedumu tangu mwaka 2015.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Beti na Meridianbet mechi za leo

Spread the love IKIWA leo hii ni Jumapili tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

Spread the love  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa,...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

error: Content is protected !!