Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yawafikia wajasiliamali wa Mbagala Rangi Tatu
Biashara

Meridianbet yawafikia wajasiliamali wa Mbagala Rangi Tatu

Spread the love

WAJASIRIAMALI wadogowadogo kutoka mitaa ya MbagalaRangi Tatu jijini Dar-es Salaam wafikiwa na kampunibingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet ambapowamefanikiwa kupokea msaada kutoka kwa kampuni hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Meridianbet wamefika Mbagala Rangi Tatu na kutoa msaada wamiamvuli kwa wajasiriamali wa maeneo hayo ambayoitawasaidia katika kuhakikisha wanafanya shughuli zao za kilasiku katika hali nzuri.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa hao wa michezi ya kubashiri mara kwa marawamekua wakitoa msaada kwa jamii inayokua inawazunguka, Kwani wamejitanabaisha kama kampuni ambayo inagawana najamii yake kwa kila ambacho inakua imevuna na leo ni zamu yaMbagala Rangi Tatu.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutokaMeridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hiloalisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa Mbagala RangiTatu na kutoa msaada wa miamvuli kwenu kwani tunaaaminivifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumuyenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ukiachana mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutokaMeridianbet Nancy Ingram kuzungumza, Lakini moja yamjasiriamali wa eneo hilo alipata nafasi ya kuzungumza nakushukuru kwa msaada walioupata Tunapenda kuishukurusana Meridianbet kwa kutukumbuka na kufika hapakutupatia Miamvuli ambayo itakwenda kutusaidia kwenyeshughuli zetu za kila siku

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya...

Biashara

Promosheni ya bil 1 kutoka Meridianbet kasino, cheza na ushinde zawadi kubwa

Spread the love  INGIA katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Equity Bank yaendelea kusotea mabilioni ya fedha mahakama rufani

Spread the loveBENKI za Equity ya Tanzania na Kenya, zimeendelea kupambana mahakamani...

error: Content is protected !!