Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Biashara Casino Stud Poker Karata zinakupa ushindi kirahisi
Biashara

Casino Stud Poker Karata zinakupa ushindi kirahisi

Spread the love

JE wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikanamtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapamchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi hukuunaburudika na kucheza karata zako kwenye mchezo wakasino ya mtandaoni unaoitwa Casino Stud Poker.

Casino Stud Poker ni mchezo mubashara wa pokeruliotengenezwa na waandaji wabobefu wa michezo mbalimbaliya kasino ya mtandaoni Playtech‘. Katika mchezo huu, kombinisheni za ushindi zinatengenezwa pekee kutoka kwenyekarata tano za kwanza ambazo zitakuwa mikononi mwako.

Casino Stud Poker ni mchezo unaohusisha mchezaji namuuzaji. Lengo la mchezo huu wa kasino ya mtandaoni nikuwa na mkono wako imara kuliko wa muuzaji, ikitokea umefanikisha hilo basi ushindi ni wako na utalipwa kulingana nadau lako uliloweka.

Unaweza kuweka beti zako kwenye aina mbalimbali za beti, betikuu kati yao ikiwa ni Ante. Ante ni beti inayohitajika na lazimaipigwe mwanzoni mwa kila mkono.

Unaendelea mchezo kwa kubonyeza kitufe cha Call. Unawekabeti zako muda mrefu kama kuna wakati unaendelea. Baada yakuonyesha chaguo la No More Bets, hakuna tena wakati wakuweka beti.

Unaweza kuongeza maradufu beti yako na kitufe cha X2, naunaweza kurudia mchezo na kitufe cha Rebet.

Baada ya kuweka beti zako kwenye beti ya msingi, unaweza pia kucheza kwenye beti mojawapo kati ya beti mbili za nje: 5+1 naJakipoti.

Mchezeshaji atakupa karata tano na yeye mwenyewe. Karatazako zinaonekana wazi, wakati karata ya mchezeshaji ni wazi nakarata zilizobaki zimeinama chini.

Hakuna karata za ziada kwenye ubao kama ilivyo katikamatoleo mingine ya poker. Ili kushinda unapaswa karata zakomkononi zizidi za mchezeshaji wa mchezo wa kasino yamtandaoni.

Ujaribu mchezo huu pendwa kabisa duniani kote Casino Stud Poker ili kujikusanyia maokoto ya kutosha huku ukiburudika nasauti nzuri za muziki.

NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasikibao na kufurahia ushindi kila dakikaunapobashiri michezo mbalimbali ikiwa naodds kubwa. Jisajiri hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya...

Biashara

Promosheni ya bil 1 kutoka Meridianbet kasino, cheza na ushinde zawadi kubwa

Spread the love  INGIA katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Equity Bank yaendelea kusotea mabilioni ya fedha mahakama rufani

Spread the loveBENKI za Equity ya Tanzania na Kenya, zimeendelea kupambana mahakamani...

error: Content is protected !!