Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Michezo Jumatano ya kuokota na Meridianbet, usipange kuikosa
Michezo

Jumatano ya kuokota na Meridianbet, usipange kuikosa

Spread the love

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet hawataki mteja wake utie huruma, Kwanikipindi hichi cha sikukuu wanataka kuhakikisha watejawake mnapiga maokoto ya kutosha katika michezombalimbali inayoendelea kupigwa.

Katika kuhakikisha hilo kupitia michezo inayopigwa Jumatanoya leo katika ligi kuu ya Uingereza Meridianbet wamehakikisha michezo hiyo ina Odds nzuri na kubwa, Hivo wewe mteja waMeridianbet unatakiwa kutumia fursa hii ili kupiga mkwanjakipindi hichi cha sikukuu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Chelsea ikiwa haina mwenendo mzuri na kumbukumbu zakupoteza mchezo wao wa mwisho wa ligi kuu ya Uingereza sikuya Jumapili, Leo watashuka dimbani kuwakaribisha klabu yaCrystal Palace kuangalia uwezekano wa kupata matokeo yaushindi ambayo wamekua hawayapati mara kwa mara.

Manchester City ambayo kwenye michezo yao sita ya mwishokatika ligi kuu  ya Uingereza wamepata ushindi katika mchezommoja pekee, Leo watakua katika dimba la Goodson’s Park kukipiga na klabu ya Everton ambayo wamekua kwenyekiwango bora siku za hivi karibuni.

Klabu ya Brentford leo watakua nyumbani kuwakaribisha klabuya Wolves katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza, IkumbukweWolves walitoka kupata matokeo ya ushindi katika mchezo waomwisho ya ligi kuu ya Uingereza waliokipiga dhidi ya klabu yaChelsea katika dimba la Molineux.

Michezo yote inayokwenda kupigwa leo katika ligi kuu yaUingereza imepewa ODDS KUBWA ambazo zitampata fursamteja wa Meridianbet kuendelea kufurahia msimu huu wasikukuu, Kwani ukiweka mkeka wako unajipigia mkwanja wakutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

Spread the love  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa,...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

Spread the love  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi...

error: Content is protected !!