January 28, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Lissu ajipanga upya, kurejea Tanzania

Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema

Spread the love

 

MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, leo Ijumaa tarehe 31 Desemba 2021, anatarajiwa kuhutubia Taifa, kutokea Ubelgiji aliko kutokana na madai ya kutishiwa maisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Chadema na kuthibitishwa na Lissu mwenyewe, mwanasiasa huyo ambaye alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2020, pamoja na mambo mengine, anatarajiwa kuzungumzia masuala kadhaa makubwa.

Gazeti la Raia Mwema la leo Ijumaa 31 Desemba 2021, limebainisha mambo hayo ikiwemo mpango wa kurejea kwake nchini.

error: Content is protected !!