Tuesday , 23 April 2024
Home sosi
808 Articles18 Comments
Habari za Siasa

Hukumu ya Mbowe: Hivi ndivyo hakimu alivyomkwepa Akwilini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema hukumu yake juu ya kesi ya jinai Na. 112/2018 iliyokuwa ikiwakabili viongozi waandamizi...

Habari za Siasa

CCM kumchomoa ‘mtu wao’ Dk. Mashinji leo?

MAISHA ya kutengwa, kuzomewa na hata kupuuzwa anayopita Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yanapata faraja...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazoa wafuasi wa Chadema

WAKATI kesi Na. 112/2018 ya uchochezi inayowakabili Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa Chadema, Jeshi la Polisi limeendesha zoezi la kuwasomba wafuasi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Chadema: Nusura ‘kiwake’ Kisutu

VURUGU, vuta nikuvute na kurushiana maneno vimetawala kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakati wa kusikiliza kesi ya viongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Ujumbe mzito wa Mbowe kabla ya hukumu

IKIWA zimesalia saa kadhaa kwa viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhukumiwa katika Kesi ya Jinai Na. 112/2018, inayowakabili kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aeleza namna dola inavyoibeba CCM

WAKATI Rais John Magufuli akiahidi uchaguzi huru na haki, Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anashangazwa namna vyama vilivyo...

Habari Mchanganyiko

Gwajima ‘asulubiwa’

TABIA ya ukabila inayojengwa na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima nchini, sasa inamtafuna mwenyewe. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aonesha njia ya ushindi 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, ushirikiano ndio njia muhimu ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka...

Habari za Siasa

Membe awekewa ‘ngumu’ kujiunga Chadema

BERNARD Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne, amewekewa ngumu kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Membe baada ya kufukuzwa CCM

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, amezungumzia hatua ya kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyochukuliwa na Kamati Kuu ya...

Habari Mchanganyiko

Meneja reli ya SGR abambwa akitorosha fedha

YETKIN Gen Mehmen, Meneja Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi, inayojenga mradi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania, amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rugemalira kuruka kihunzi hiki?

JAMES Rugemalira, mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP na mmiliki wa zamani wa Kampuni ya IPTL, anapambana kujinasua katika kesi ya uhujumu...

Habari Mchanganyiko

Wachina wakutwa na hatia, watoa faini

MAHAKAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imewahukumu raia wawili wa China, Zheng Rongman (50) na Ou Ya (47), kulipa faini ya Sh...

Habari za SiasaTangulizi

A-Z kilichotokea kesi ya kabendera

SAFARI chungu ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi kitaifa na kimataifa, katika kesi ya uhujumu uchumi imetamatika leo tarehe 24 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mashinji aonja machungu Chadema

SIKU sita baada ya Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za Siasa

Lissu kukamatwa?

OMBI la kutaka mahakama itoe hati ya kukamatwa Tundu Lissu, mshitakiwa wa nne katika kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili pia wahariri wawili...

Habari za Siasa

Aprili Mosi siku ngumu kwa Halima Mdee

APRILI Mosi mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam itaamua kama Halima Mdee, Mbunge wa Kawe ana kesi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wadhamini wataka Lissu akamatwe

WADHAMINI wa Tundu Lissu, leo tarehe 20 Februari 2020, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jiijini Dar es Salaam kutoa hati ya kumkamata...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yachoshwa na danadana kesi ya Tito

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Februari 2020, imeagiza upande wa Jamhuri kueleza bayana hatua iliyofikiwa katika upelelezi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amtaka JPM urais 2020

ZITTO Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutaka kupambana na Dk. John Magufuli, katika kugombea urais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Zitto ana kesi ya kujibu – Mahakama

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekutwa na kesi ya kujibu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Umauzi huo umetolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Kishindo cha Zitto; Sina hofu ya vitisho

HOFU anayojengewa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ndani na nje ya Bunge haimyumbishi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Masikini Kabendera!

MATUMAINI ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari wa kimataifa wa Tanzania anayeshitakiwa kwa madai ya uhujumu uchumi, kuungana na familia yake yamewekwa njia...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya ‘kimapinduzi’ yasogezwa mbele

KESI iliyofunguliwa na Ofisa wa Mtandao wa Haki za Binaadamu (THRDC), Paul Kisabo kupinga washtakiwa wa makosa ya uhujumu kunyimwa dhamana, imesogezwa mbele. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kesi za ‘kimapinduzi’ kuanza kuunguruma

KESI za kupinga watuhumiwa kukamatwa kabla ya upelelezi kukamilika, pamoja na kunyimwa haki ya dhamana inaanza kutajwa leo tarehe 13 Februari 2020. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Joto Zitto kukamatwa lapanda

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kudai kuundiwa zengwe la kuhusishwa na utakatishaji fedha, limekishtua chama hicho. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Sumaye ataja sababu zilizomng’oa Chadema

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu ameeleza sababu za kurejea CCM leo tarehe 10 Februari 2020, kwamba Chadema walikuwa wamkidharua. Anaripoti Faki Sosi, Dar...

Habari za Siasa

Waombewe wapate laana – Rais Magufuli

UKOSEFU wa maadili, tabia ya kuchelewesha kesi kwa makusudi na kuendekeza rushwa katika Mahakama za Tanzania, kunamkwaza Rais John Magufuli. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari Mchanganyiko

Rugemalira atoa ombi rasmi kortini

JAMES Rugemalira, mfanyabiashara mkubwa na mshtakiwa wa kesi ya utakatishaji fedha, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kufuatilia barua...

Habari za Siasa

Sakata la Zitto, Prof. Assad, Rais Magufuli laanza kufukuta kortini

HATUA za awali katika kesi iliyofunguliwa na Zitto Kabwe, kupinga hatua ya Rais John Magufuli kumteua Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya waponea ‘tundu la sindano’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapa onyo kali,  Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, kwa kukiuka masharti...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo Chadema watua mzigo wa utetezi

KESI ya uchochezi namba 112/2018, inayowakabili vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,  imekaribia kufika...

Habari Mchanganyiko

Wazamiaji Afrika Kusini wadakwa, wafikishwa Kisutu

WATANZANIA 30 waliorudishwa nchi kutoka Afrika Kusini, walikokuwa wakiishi kinyemelea, wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu, kujibu tuhuma za kusafiri kinyume cha sheria. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Chadema: Wimbo wa CCM watibua mahakama

WIMBO unaotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye shughuli zake za kampeni, unashawishi wananchi kuwanyima kura wapinzani. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya njia panda

HALIMA Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Esther Bullaya, Mbunge wa Bunda wamebaki ‘njia panda’. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Ni...

Habari za Siasa

Bulaya, Mdee kutupwa sero

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imewataka mshtakiwa Halima Mdee na Ester Bulaya waeleze kwanini wasifutiwe dhamana zao. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za SiasaTangulizi

Vurugu zatawala mkutano wa Jiji la Dar es Salaam

MKUTANO wa Kamati ya Fedha na Uongozi wa halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, umemalizika baada ya kufanyika chini ya mtutu wa...

Habari Mchanganyiko

Mtumishi TPA kizimbani kwa Utakatishaji wa Bil. 5.8

ALIYEKUWA Mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Stephen Mtui amefikishwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi mbili Ikiwemo utakatishaji fedha...

Habari Mchanganyiko

Dawa za kulevya, utakatishaji fedha zamkaba koo kortini

ABUU Kimboko, Mkazi wa Mbagala Rangitatu, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa mashtaka mawili, likiwemo la...

Habari za Siasa

Kesi ya Meya Dar yafutwa, yamwacha na gharama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imefuta kwa gharama, kesi namba tatu ya mwaka 2020 ya Isaya Mwita, Meya wa...

Habari za SiasaTangulizi

Uozo sakata la Meya Dar waanikwa

UAMUZI wa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kumsimamisha kazi Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita umeibua uozo ndani...

Habari za Siasa

Zitto kusuka, kunyoa Febr 10 

UAMUZI wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kuhusu kesi ya uchochezi namba 327/2018 inayomkabili Zitto Kabwe, kwamba ana kesi...

Habari za Siasa

‘Meya’ Isaya apata msoto Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, kuzuia madiwani jijini...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Tito: Utetezi waja na rai mpya kwa serikali

UPANDE wa utetezi kwenye kesi namba 137/2019, inawamkabili wanaharakati Tito Magoti na Theodory Giyan, umetoa rai kwa serikali kutokamata watuhumiwa bila kufanya upelelezi....

Habari Mchanganyiko

Wanne kizimbani kwa kuiibia polisi Sh 798 milioni

WATU Wanne akiwamo Ofisa wa Jeshi la Polisi, wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa makosa ya...

Habari Mchanganyiko

Kizimbani kwa kukeketa watoto wake

COSMAS Chacha (45), Mkazi wa Kivule, jijini Dar es Salaam amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa makosa ya ukeketeji watoto wake...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ala kiapo kizito uchaguzi mkuu 2020

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekula kiapo kizito kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Membe: Musiba aangukia pua

PINGAMIZI tatu zilizowasilishwa na Cyprian Musiba, katika kesi namba 220/2018 iliyofungliwa na Bernard Membe, zimetupiliwa mbali. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Zitto awapa tano Tundu Lissu, Mbowe

ZITTO Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amempongeza Freeman Mbowe, kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti  wa Chadema na Tundu Lissu kuwa...

Habari za Siasa

Lissu aibuka mkutano wa Chadema, atoa hutuba nzito kwa wajumbe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) ameibuka katika mkutano Mkuu wa chama hicho leo na kuzungumza na wajumbe...

error: Content is protected !!