Friday , 29 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia apangua baraza la mawaziri
Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

Spread the love

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Alhamis tarehe 31 Machi 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mabadiliko hayo yaliyotangazwa na Zuhura Yunus, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu yameelezwa yanaanza mara moja.

Rais Samia amewahamisha wizara mawaziri watatu.

Taarifa yote ya mabadiliko hayo hii hapa;

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nani anasema kuna hasara ATCL?

Spread the loveRIPOTI za makusanyo na matumizi ya fedha katika Kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

Spread the loveRIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

Spread the loveVIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

Spread the loveMASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni...

error: Content is protected !!