Tuesday , 21 May 2024

Month: March 2022

Habari za Siasa

Mkewe Mbowe aeleza siri kanisa walilofungia ndoa

  MKE wa Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe, Dk. Lilian Mtei amesema Baba mkwe wake Aikael Mbowe ndiye aliyekuwa kiongozi wa ujenzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ataja kiapo chake na Rais Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokraria na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kusimama katika misingi ya haki na ukweli ndilo agano aliloweka kati yake...

Habari Mchanganyiko

NMB yampongeza Rais Samia kuimarisha sekta ya benki, kuifungua nchi

  UTAWALA wa mwaka mmoja wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan umeelezwa kuchangia kuimarika kwa sekta za kibenki kwani imekuwa imara, salama,...

Kimataifa

Waandishi 6 wauawa, 8 wajeruhiwa

  KATIKA siku 24 pekee za vita kati ya Urusi na Ukraine, jumla ya waandishi sita wameuawa, nane wamejeruhiwa na wawili wametekwa na...

Michezo

Yanga taamu! Yairarua KMC mbele ya JK

VIGOGO – Yanga wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuizabua Klabu ya KMC mabao 2-0 usiku huu...

Makala & Uchambuzi

Ni mwaka mmoja wa uchumi bila vyuma kukaza

MWAKA mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, unawezakuwa ni mwaka wa uchumi ambao hauhitaji sana takwimu kuelezea ukuaji wake, bali ni kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aanika madudu ya Sabaya, ashukuru Polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya alikuwa anatumia ofisi yake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Ngorongoro bado sana, asasi 20 atoa tamko

MGOGORO wa Ngorongoro umechukua sura mpya baada ya mashirika 20 ya kutetea wafugaji wa asili kutoa tamko wakilaani udhalilishwaji unaofanywa na watu wenye...

Habari Mchanganyiko

Dk. Tulia: Asilimia 60 ya fedha za bajeti zimetolewa

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa asilimia 60.5 ya fedha zilizotengwa katika...

Habari Mchanganyiko

Washereheshaji wawakumbuka watoto yatima, wafungwa

MARAFIKI wa Mshehereshaji (MC) Mwangata Fomma wametoa msaada kwa kuwalipia kadi za bima ya afya kwa watoto nane wa Kituo cha kulelea watoto...

Tangulizi

Mbowe apokelewa Hai, ng’ombe sita kuchinjwa

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amewasili nyumbani kwao wilayani Hai, Kilimanjaro na kupokelewa na mamia ya watu ikiwemo viongozi na wanachama...

Habari Mchanganyiko

Ukatili dhidi ya watoto mtandaoni wapatiwa ufumbuzi

NAIBU Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis ameitaka jamii kuwaepusha watoto dhidi ya madhara ya matumizi mabaya...

Habari Mchanganyiko

Kamati ya Bunge yampongeza Rais Samia

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuendeleza...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mbarawa aipa mitihani mitano bodi mpya ya TPA

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameipa maelekezo matano Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), huku akisisitiza...

Habari za Siasa

Hamad Rashid aikosoa Chadema, amtaja Mbowe na Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha ADC, Hamad Rashid amewapa neno wanasiasa wanaokataa kushiriki shughuli za kiserikali na vikao vya kisheria, akisema Baba wa Taifa,...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Fastjet wamuangukia Rais Samia, wadai Bil.5

WAFANYAKAZI 105 wa Shirika la Ndege ya Fastjet Tanzania wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuzuia ndege aina ya Embraer 190 (5H-FJH) ya shirika...

Habari za Siasa

Spika Dk. Tulia asema nchi imepiga hatua kidemokrasia

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi imepiga...

Habari za Siasa

Mbunge Malleko ampongeza Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Malleko amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha mwaka mmoja madarakani kwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali yaua 22 Morogoro, Rais Samia awalilia

  WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T 732 ATH...

Tangulizi

Serikali ya Tanzania yavuna bil. 540 taasisi, mashirika ya umma

  OFISI ya Msajili wa Hazina nchini Tanania, imefanikiwa kukusanya Sh.539.3 bilioni kutokana na mapato yasiyo ya kodi kati ya Machi 2021 na...

Tangulizi

Wastaafu mashirika EAC vicheko katika pensheni

  SERIKALI ya Tanzania imefanikiwa kuongeza umiliki wa hisa katika Kampuni ya Madini ya Almasi ya Williamson kutoka asilimia 25 hadi asilimia 37....

Habari Mchanganyiko

Mama Janeth Magufuli atoa misaada kwa wahitaji

  MAMA Janeth, Mjane wa aliyekuwa Rais wa wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, ataendeleza utamaduni waliyojiwekea yeye na marehemu mume wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Ni mwaka mmoja wa uhuru na kuponya makovu

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, inatimiza kipindi cha mwaka mmoja tangu iingie madarakani tarehe 19...

Kimataifa

Rais Ufilipino hatapeleka majeshi Ukraine

  NCHINI Ufilipino Rais Rodrigo Duterte amesema kuwa hatapeleka Wanajeshi wake kupigana nchini Ukraine iwapo Marekani itahusika katika mzozo huo. Inaripoti BBC (endelea)....

Kimataifa

Aliyewahi kuwa mkimbizi kutoka Burundi awachangia mahindi wakimbizi Ukraine

  NCHINI Burundi Mkulima mdogo wa zao la Mahindi ametoa mchango wa kilo 100 za mahindi kwa wale waliokimbia ghasia nchi Ukraine. Kijana...

Kimataifa

UN yazigeukia nchi za Afrika msimamo vita Ukrenia

  BALOZI wa Marekani katika Umoja wa Mataifa , amesema kuwa mataifa ya Afrika hayawezi kubaki kutounga mkono upande wowote katika vita ya...

Habari za Siasa

Mbowe aeleza aliyojifunza mahabusu, asema wanahitaji makomando wengine

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku 227 alizokaa kwenye mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, amejifunza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wadai Spika Tulia anawafanya mazuzu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kauli ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, iliyodai Halima Mdee na wenzake 18 wako...

Habari za Siasa

Majaliwa kumwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameondoka nchini humo kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Taasisi ya urais haiwezi kuendeshwa kwa rimoti: Chongolo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakuna mtu anayeweza kuiendesha taasisi ya urais “kwa rimoti” na kwamba watu wanaofikiria hivyo “ni kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaligomea kongamano la TCD

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakitashiriki kongamano la amani lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai hakioni...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amshangaa IGP Sirro kuwepo madarakani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hapaswi kuwa...

Habari za Siasa

#LIVE- Mbowe akitoa maazimio ya kamati kuu

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanania cha Chadema, Freeman Mbowe anatoa maazimio ya kikoa cha kamati kuu ya chama hicho...

Habari za Siasa

#LIVE- Katibu Mkuu CCM anazungumza na wanahabari

  KATIBU Mkuu wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo anazungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, tarehe 18...

Habari Mchanganyiko

NGO’s kanda Magharibi zalia ukata, vitisho

  MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayojishughulisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameomba msaada wa kifedha kwa ajili ya kutekeleza...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaahidi kushirikiana na TNCPG kudhibiti migogoro

SERIKALI imesema itashirikiana na Kamati ya Kitaifa ya Udhibiti na Kuzuia Mauji ya Kimbari (TNCPG), ili kuhakikisha migogoro na matukio yoyote ambayo yanaweza...

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza ajitosa mgogoro Konde

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dk. Benson Bagonza ametaka tofauti zilizopo baina ya Askofu wa Doyosisi...

Habari

Chuo cha Mwalimu Nyerere chajivunia siku 365 za Rais Samia

  CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) nchini Tanzania kimesema, Rais Samia Suluhu Hassan katika mambo aliyofanikiwa kuyafanya ndani ya kipindi cha...

Habari Mchanganyiko

Maneno ya mjane wa Magufuli kwa Rais Samia

JANETH Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amemheshimu kwa kukubali wito wake...

HabariKimataifa

Serikali ya Rwanda yashutumiwa kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza

MAELFU ya Watu Wamenyanyaswa , kutishwa na kufunguliwa mashitaka kwa kuwa na maoni muhimu kuhusu Serikali ya Rwanda , Humani Raght Watch [HRW]...

Kimataifa

Marekani yaweka vikwazo kwa maafisa Somalia kwa kuchelewesha Uchaguzi

  NCHINI Marekani kumeongezeka idadi kubwa ya maafisa wa Somalia , waliowekewa vikwazo vya usafiri kwa kuhujumu mchakato wa kidemokrasia nchini humo ....

Habari Mchanganyiko

Waliosambaza video za Prof. Jay akiwa ICU mbaroni

  JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia Mkurugenzi wa Mtandao wa U-Turn, Allen Samwel Mhina na wenzake 13, kwa...

Habari

Nitazindua miradi ya Chato mwenyewe: Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataizindua mwenyewe miradi yote inayotekelezwa Wilayani Chato mkoani Geita kama ambavyo angefanya mtangulizi wake Hayati Dk. John Magufuli....

Habari

Zungu aipongeza NMB kuwakumbuka Machinga

  NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ameishukuru Benki ya NMB kwa kuwakumbuka wamachinga na kuwasaidia kukua. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Zungu...

Habari Mchanganyiko

Walemavu watinga kwa RC Dar, watulizwa

MADEREVA wa bajaji wenye ulemavu, wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Dar es Salaam, Amos Makalla, kufikisha kilio chao kinachodai wanafanyiwa vurugu na...

Makala & Uchambuzi

Putin tajiri namba moja duniani, anayeitikisa Marekani

  WAKATI mtandao maarufu duniani wa Forbes ukimuorodhesha Mhandisi na Mjasiriamali Elon Reeve Musk kuwa na tajiri namba moja duniani kwa kuwa na...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 190,781 wapandishwa vyeo, madaraja

SERIKALI imesema ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu jumla ya watumishi wa umma 190,781 wamepandishwa vyeo baada ya kusubiri kwa muda...

Kimataifa

Putin apiga mkwara mataifa ya magharibi

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameyapiga mkwara mzito mataifa ya Magharibi sambamba na Marekani kutokana na kile anachokiita ni malengo ya kutaka kuwagawa...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa adaiwa kuwakimbia Malaigwanani Ngorongoro

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anadaiwa kuwakimbia viongozi wa kimila wa Kimasai wanaoishi wilayani Ngorongoro na badala yake kufanya kazi na wenzao wa...

GazetiHabariTangulizi

Mwaka mmoja wa Rais Samia, sekta ya michezo yatoka kifua mbele.

  KATIKA kuelekea kutimiza mwaka mmoja wa uongozi wake, toka alipoingia madarakani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameonekana...

error: Content is protected !!