Thursday , 28 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa #LIVE- Mbowe akitoa maazimio ya kamati kuu
Habari za Siasa

#LIVE- Mbowe akitoa maazimio ya kamati kuu

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
Spread the love

 

KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanania cha Chadema, Freeman Mbowe anatoa maazimio ya kikoa cha kamati kuu ya chama hicho kilichokutana hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Mbowe anazungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu alipotoka gerezani tarehe 4 Machi 2022, baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi aliyokuwa anakabiliwa nayo yeye na wenzake watatu.

Fuatilia mkutano huo na waandishi unaofanyika makao makuu ya Chadema, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nani anasema kuna hasara ATCL?

Spread the loveRIPOTI za makusanyo na matumizi ya fedha katika Kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

Spread the loveRIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

Spread the loveVIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

Spread the loveMASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni...

error: Content is protected !!