WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, George Simbachawene amesema, kwa sasa hakuna umuhimu wa Katiba mpya kwani iliyopo inajitosheleza na imeivusha...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021POLISI wa jimbo la Lagos nchini Nigeria wamemtia mbaroni mwanaume mmoja kwa madai ya kuyaondoa matiti ya binti yake mwenye umri wa...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam imeipiga bao Simba kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani pamoja...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021UMOJA wa Mataifa (UN) umeunda Kamati maalumu ya siri yenye wajumbe tisa kujadili mkanganyiko uliojitokeza kuhusu viongozi wa Serikali Afghanistan wanaopaswa kuhudhuria...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021KESI ya jinai Namb. 208/2016 iliyohusu mashitaka ya uchochezi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu...
By Regina MkondeSeptember 22, 2021MSANII wa Bongofleva, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize au Kondeboy amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kubadili ratiba ya ‘tour’ (ziara) yake...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Pakistani, Imran Khan ameuonya uongozi mpya ya Afghanistan kuunda haraka Serikali shirikishi ili kuzuia uwezekano wa kuibuka kwa vita...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki ufunguzi wa Mjadala Mkuu katika Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...
By Mwandishi WetuSeptember 22, 2021KLABU ya soka ya Simba imeingia mkataba na kampuni ya Emirates Aluminium leo 21 septemba 2021 katika makao makuu ya Emirates Aluminium...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021ASKARI saba wa Jeshi la Polisi Tanzania wamefukuzwa kazi baada ya kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi kinyume cha utaratibu wa jeshi....
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema, mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), zilipuuza tahadhari za...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021ALEXANDER Litvinenko, jasusi wa zamani wa Urusi, aliuawa kwa sumu na majasusi yaliyotumwa na taifa hilo, Mahamaka ya Haki za Binadamu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021KAMPUNI ya Huawei Tanzania kwa kushirikiana na Tume ya Tehama imetoa mafunzo kwa wataalamu 19 wa Tehama kutoka katika sekta ya umma...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021MASHINDANO ya Ngoma za Jadi ‘Tulia Traditional Dances Festival’ yanayohusisha tamaduni kutoka mikoa mbalimbali yataanza Alhamisi hii tarehe 23 hadi 25 Septemba...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MAPACHA wawili raia wa Japan, Umeno na Koume wenye miaka 107, wamevunja rekodi ya kuwa pacha wazee zaidi duniani. Anaripoti Noela Shila,...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza na mwandishi wa habari mkongwe...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na Kikristu zinatofautiana...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MKUTANO wa wadau wa vyama nchini Tanzania, unatarajiwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021, jijini Dodoma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeSeptember 21, 2021MAPADRE Stephano Msomba na Henry Mchamungu wamewekwa wakfu wa kuwa maaskofu wasaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania....
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021JOTO la miamba ya soka nchini Tanzania maarufu Kariakoo Derby limeanza kushika kasi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza viingilio ambavyo...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MAMLAKA ya usalama nchini Sudan imeripoti kuwa jaribio la mapinduzi lililofanywa leo asubuhi tarehe 21 Septemba 2021 na kundi la wanajeshi walioasi...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea ubunge wa Mkuranga, Mkoa wa Pwani (ACT-Wazalendo), ameviomba vyama vya upinzania nchini Tanzania kuanza maandalizi mapema kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021SHAHIDI namba tatu wa Jamhuri, katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Askari Polisi H4323 Msemwa,...
By Regina MkondeSeptember 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) uliojadili athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba dunia...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021TAKRIBAN watu wanane wameuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya na mtu mwenye bunduki aliyefyatua risasi katika Chuo kikuu Perm kilichopo katika mji...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kusikiliza kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi,...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Anaripoti Helena Mkonyi, TUDARCo … (endelea). Taarifa ya uteuzi imefanyika leo...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021DAKTARI mmoja mkazi wa Nakuru nchini Kenya anadaiwa kuwaua wanawe wawili kisha kujaribu kujitoa uhai usiku wa Jumamosi tarehe 18 Septemba mwaka...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021KIONGOZI wa jopo la mawakili wa utetezi katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Peter Kibatala,...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021KLABU ya Yanga imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea Nigeria ilikokwenda kupepetana na River United ikiwa ni mchezo wa marudiano wa...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021WAKATI fununu za aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kwamba anarejea jangwani zikiendelea kushika kasi, kocha huyo amefunguka ujumbe mzito unaoashiria...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021SHAHIDI wa pili katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021ANAFUATA nyayo za Hayati Mwalimu Nyerere? Ndilo swali linaloibuka miongoni mwa Watanzania baada ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuelekea nchini Marekani...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha mikopo wa benki hiyo, Zainab Nungu (katikati) wakishiriki zoezi la usafi...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, Yesse Kaganda baada ya kutoridhishwa...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Jumatatu, tarehe 20 Septemba 2021, watafikishwa tena...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021POLISI wilayani Mazabuka mkoa wa Kusini nchini Zambia wamemtia mbaroni mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) katika Hospitali Kuu ya Mazabuka...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021UWEKEZAJI nchini Tanzania kwa mwaka 2020/2021, umeongezeka tofauti na ilivyokuwa 2019/2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa (CCM) amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati akiwa kwenye ziara...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021SERIKALI ya Tanzania imeongeza vituo vya utoaji huduma ya chanjo ya ugonjwa wa Corona (UVIKO-19), kutoka 550 hadi 6,784 nchi nzima. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021SEPTEMBA 18, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), ikisema Chama upinzani cha Wananchi (CUF), kitashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde, Zanzibar,...
By Regina MkondeSeptember 19, 2021VYAMA vya siasa 16, vimejitokeza kushiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, huku Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, vikijitokeza vyama...
By Regina MkondeSeptember 19, 2021RAIS wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika aliyefariki dunia siku ya juzi, anatarajiwa kuzikwa leo tarehe 19 Septemba 2021 katika makamburi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2021KUELELEKEA kwenye tamasha la Simba maarufu kama ‘Simba Day’ kocha mkuu wa klabu hiyo, Didier Gomes amesema atacheza kwa heshima kubwa dhidi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2021MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya FC Horsed kutoka Somalia, klabu ya soka ya Azam FC, sasa...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021SERIKALI ya Marekani chini ya utawala wa Rais Joe Biden inaendelea na mpango wake wa kuwarudisha nyumbani wahamiaji kutoka Haiti. Anaripoti Glory...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi, uaminifu na uadilifu ili waweze kuleta matokeo chanya...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya uendelezaji na ujenzi wa miradi...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2021