MKUTANO ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, huwenda unaweza usifanyike baada ya baadhi ya wahusika kutangaza kuususia....
By Masalu ErastoSeptember 26, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, idadi ya wananchi waliochanjwa chanjo ya corona imefikia 400,000. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 26, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, limetangaza orodha ya majina 1,475 waliomba kujiunga na jeshi hilo. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo … (endelea). Vijana...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021KATIKA kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania hii...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021ANTHONY Joshua (31), raia wa Uingereza amepoteza ubingwa wa dunia uzani wa juu kwa kutwanga na Oleksandr Usyk wa Ukraine. Anaripoti Damas...
By Masalu ErastoSeptember 26, 2021SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limeendelea kusukwa upya baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kuteua vigogo kuwa wajumbe wa bodi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021CHAMA cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimetangaza kutoshiriki kikao baina ya jeshi la polisi na ofisi ya msajili wa...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021KLABU ya Soka ya Yanga wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao Simba Sc na kubeba Ngao ya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ameamua kushiriki mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), kwa kuwa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema vijana wa chama hicho wamekubaliana kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan hadi 2030....
By Regina MkondeSeptember 25, 2021MSANII wa Bongo Fleva, Rosary Robert maarufu ‘Rosa Ree’ amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, King Petrousse ambaye alimtambulisha kwa mashabiki...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali rufaa Mgombea Udiwani wa Kata ya Ndembezi, mkoani Shinyanga, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mvano...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021MKURUGENZI Mtendaji na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema kwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa...
By Danson KaijageSeptember 25, 2021WAKILI wa Serikali Mwandamizi, Abdallah Chavula, amemhoji shahidi katika kesi ndogo inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Adam...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021MWANDISHI wa habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Sosthène Kambidi amekamatwa na maofisa wa Jeshi la nchi hiyo na kuhojiwa kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021NDANI ya simu ya iPhone yenye almasi yaweza kukurejeshea kiasi cha dola za Kimarekani 95 milioni, lakini ikiwa kipande hiki cha johari hakina...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021WAZIRI wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema kilimo hakiwezi kuendeshwa kwa matamko au kaulimbiu bali kwa kuendesha kilimo chenye tija....
By Danson KaijageSeptember 25, 2021KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imesaini mkataba wa miaka minne na Kampuni ya Africarrier Group inayohusika na usambazaji wa magari...
By Masalu ErastoSeptember 25, 2021SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema, itahakikisha wananchi wanakuza uchumi wa kisasa unaoendana na falsafa ya uchumi wa kidijitali na uchumi wa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemtambulisha Omog Joseph Marious (49), raia wa Cameroon kuwa kocha mkuu wa timu hiyo....
By Masalu ErastoSeptember 25, 2021DEREK Chauvin (46), aliyekuwa askari polisi wa mji wa Minneapolis, Jimbo la Minnesota nchini Marekani, anayetumikia kifungo cha miaka 22 na nusu...
By Masalu ErastoSeptember 25, 2021ASASI za Kiraia nchini Tanzania (AZAKI), zimezindua mwongozi wa ulipaji kodi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ea Salaam … (endelea). Mwongozo huo umezinduliwa...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021MSHITAKIWA wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanda njama za ugaidi, Adam Kasekwa amedai mara baada ya kukamatwa...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021KITENDO cha msanii wa Bongofleva kutoka lebo Wasafi Classic Baby (WCB) na mwanzilishi wa lebo Next Level Music, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kutangaza...
By Masalu ErastoSeptember 24, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi amieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021RAIS wa Marekani, Joe Biden amedaiwa kumchefua Mwakilishi wake maalumu nchini Haiti, Balozi Daniel Foote baada ya kukataa mapendekezo yake kuhusu njia...
By Masalu ErastoSeptember 24, 2021KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamba kuwa Yanga itakuwa tishio ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla kutokana na wachezaji wazuri...
By Masalu ErastoSeptember 24, 2021UPANDE wa Jamhuri kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya uhujumu uchumi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021KESI ndogo katika kesi ya uhujumi uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya vitendo vya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameihakikishia dunia kuwa Tanzania ni ileile yenye amani na ushirikiano na nchi zote. Anaripoti Glory Massamu,...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2021MWANDISHI wa habari wa ITV na Redio One, Mkoa wa Songwe, nchini Tanzania, Gabriel Kandonga amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe …...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wajumbe wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), kwamba Serikali...
By Regina MkondeSeptember 23, 2021MSAJILI wa Vyama Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amesema kikao chake na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro, kimemsaidia kujua...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro, amemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, awashauri viongozi wa vyama...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya viwanda ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi na kuondoa umaskini nchini pamoja na...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021JUMUIYA ya Wazee wa Chama cha Wananchi (CUF) imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufufua mchakato wa Katiba mpya pamoja na kuruhusu mikutano...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021JUMUIYA ya Wazee wa chama cha upinzani cha wananchi nchini Tanzania (CUF), kimeonya wale wote wanaoendesha vuguvugu la kumng’oa kwenye nafasi hiyo,...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeifuta kesi ya kikatiba Na.21/2021, iliyofunguliwa na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 23, 2021MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo) mkoani Pwani ametoa Sh.500,000 kuchangia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Dondo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), “kimeendelea kukaidi,” maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, aliyeomba kusitishwa kwa mikutano...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021BAADA ya miaka 30 kupita pasina uongozi wa juu wa Zambia kualikwa White House ya Marekani, hatimaye Rais mpya wa Taifa hilo,...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021LIGI kuu ya Hispania maarufu kama ‘La liga Santander’ jana tarehe 22 Septemba imeendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali huku mshambuliaji wa...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021MICHUANO ya Carabao Cup inayoshirikisha timu za ligi kuu England na ligi za chini za nchini humo imezidi kupamba moto na kufikia...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021CHANGAMOTO ya huduma za kifedha iliyokuwa ikiwakabili wakulima wa korosho mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwemo kutopata mikopo kwa wakati na makato...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni imetangaza kulegeza masharti dhidi ya janga la maambukizi ya Uviko-19 ambapo nyumba za ibada zitafunguliwa huku idadi...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021WAANDAAJI wa tuzo za Afrimma (Afrian Music Magazine Awards) wametoa orodha mpya ya wasanii watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2021 huku Tanzania...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU), Charles Michel ambaye ametaka maoni kutoka...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, anatamani kuona biashara kati ya nchi yake na Marekani inaongezeka kwani kwa sasa ni ndogo...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021MPANGO wa Taifa wa Damu Salama umebadilisha mwelekeo wake wa kuigeukia jamii ili kukusanya damu kwa ajiri ya kukabiliana na changamoto ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa ajira zaidi ya 5000 kwa Watanzania huku asilimia zaidi ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021