October 21, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Walioitwa kujiunga na polisi hawa hapa

IGP Simon Sirro

Spread the love

 

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limetangaza orodha ya majina 1,475 waliomba kujiunga na jeshi hilo. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo … (endelea).

Vijana hao wenye elimu ya shahada, stashahada na astashahada walioomba kujiunga na jeshi kupitia makao makuu ya Polisi Dodoma usaili wao utafanyika kuanzia kesho Jumatatu hadi tarehe 30 Septemba 2021.

Taarifa ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro imesema, usaili huo utafanyikia jijini Dar es Salaam eneo la Polisi (Baracks) barabara ya Kilwa karibu na Hospital Kuu ya Polisi saa 02.00 asubuhi.

“Kwa wale wenye elimu ya kidato cha nne na sita waliowasilisha maombi yao kwa makamanda wa polisi mikoa watafanya usaili kwenye mikoa yao,” imeeleza taarifa hiyo

Orodha ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili Jiji la Dar es salaam hi hapa

error: Content is protected !!