MBUNGE viti maalum (asiye na chama bungeni), Halima Mdee, amehoji mikakati ya ziada ya Serikali katika kukabiliana na Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19)....
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, Hamza Mohamed aliyewaua askari polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha kuuawa, alikuwa...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021MSHINDI wa mashindano ya Miss East Africa 2021, anatarajia kujinyakulia gari jipya aina ya Nissan x Trail, toleo la mwaka 2021 lenye...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo tarehe 2, Septemba inashuka dimbani katika Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumbashi katika Jamhuri...
By Gabriel MushiSeptember 2, 2021RAPA kutoka Marekani, Dominique Jones ‘Lil Baby’ amejitolea kumsaidia Msanii Pierre Delince (Jack Boy) katika ujenzi wa hospitali huko nchini Haiti. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, tozo zitakazotozwa katika miamala ya simu Septemba na Oktoba 2021, zitakwenda kujenga vyumba vya madarasa...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM) amekwepa kujibu swali la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atachaja au hachanji chajo ya Corona...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo kwa simu na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusitisha bei mpya za mafuta zilizokuwa zianze kutumika leo Jumatano, tarehe 1 Septemba 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa wiki mbili kwa wanafunzi ambao hawajakamilisha maombi ya mkopo...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2021KAMATI ya maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) imesema jumla ya waandishi 59 wameteuliwa kuwania tuzo hizo...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2021MWANAFUNZI mmoja wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kapsumbeiywo, huko Kuresoi Kusini, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya ameuawa baada...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021NAIBU Rais wa Kenya, William Ruto amefanya mkutano na maofisa wapya wa ulinzi kutoka kitengo cha utawala nchini humo ambao amepewa na...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021KESI ya ugaidi, inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, imepangwa kusikiliza Ijumaa wiki hii. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021HATI ya mashitaka – Charge Sheet – yaweza kukosa uhalali wa kisheria, ikiwa Mkurugenzi wa Mashitaka ya Jinai nchini (DPP), atashidwa kuandaa...
By Mwandishi MaalumSeptember 1, 2021WATANZANIA wawili wamepandishwa kizimbani kwa wakikabiliwa na mashtaka ya kumtumia mlemavu kujitajirisha kupitia kwa kuombaomba katika barabara za jijini Nairobi nchini Kenya....
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021SERIKALI imesema tangu tozo za miamala ya simu ianze kukusanywa tayari zimepatikana Sh. 63 bilioni hadi kufiki tarehe 30 Agosti, mwaka huu....
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewataka wamiliki nyumbaamewataka wasihamishie mzigo wa kodi ya majengo kwa wapangaji na badala yake...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amerejea tena katika Ligi kuu ya Ubelgiji baada ya jana tarehe 31 Agosti, 2021 kusajiliwa...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2021