WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021TIMU ya Taifa ya Tannzania Taifa Stars italazimika kucheza bila mashabiki kwenye mchezo wao wa pili wa kufuzu fainali kombe la Dunia,...
By Kelvin MwaipunguSeptember 6, 2021MJADALA juu ya tozo mbalimbali zilizoanzishwa na serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa lengo la kupeleka maendeleo ya...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameachiliwa kwa dhamana katika gereza la Estcourt mashariki mwa nchi hiyo kutokana na sababu...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, ameitisha mkutano wa pamoja kati ya viongozi wakuu wa vyama vya siasa...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2021JAJI Elinaza Luvanda, aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 6, 2021ZIKIWA zimebaki siku 23 kabla ya Ligi Kuu Tanzana Bara kuanza kutimua vumbi kwa msimu mpya wa 2021/22, mpaka sasa mdhamini mpya...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021MPAMBANO wa soka wa kufuzu kwa kombe la dunia, kati ya timu ya taifa ya Guinea na Morocco, uliokuwa umepangwa kufanyika jana...
By Kelvin MwaipunguSeptember 6, 2021ALPHA Condé, Rais wa Jamhuri ya Guinea, amekamatwa na jeshi linalodai limechukua madaraka ya kuongoza taifa hilo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021NANI alikuambia wameachana? Hawajaachana ng’o! ndivyo walivyowathibitishia mashabiki wao wasanii wa Bongofleva, Faustina Mfinanga ‘Nandy’ na William Lyimo ‘Billnass’ waliposhusha shoo kali...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021POLISI wa kupambana na ugaidi nchini Mali wamelalamikiwa baada ya maofisa wenye silaha kuandamana kwenda gerezani kushinikiza kamanda wao aachiliwe huru. Inaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya West Ham ameueleza uongozi wa klabu hiyo inayoshiriki Ligu kuu ya England kwamba hana mpango wa kurejea...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema licha ya kwamba jezi za Simba ni nzuri ila za Yanga ni kiboko. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021SERIKALI ya Tanzania imesitisha leseni ya Gazeti la Raia Mwema, kwa muda wa siku 30 kuanzia kesho tarehe 6 Septemba 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021MKUU wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi amesema anachelea kuamini taarifa iliyotolewa na wizara ya afya kuhusu tukio la daktari aliyemfumua mshono...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema madhumuni makubwa ya mzunguko anaoufanya kwenye vituo vya utalii na rasilimali nyingine za Tanzania, ni kuionesha dunia...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021MBUNGE wa Kawe mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amewaeleza waumini wake wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, kwamba yeye...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewaomba Watanzania wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan, katika mkakati wake wa kutangaza...
By Regina MkondeSeptember 5, 2021HASSAN Mwakinyo, Bondia wa wa Tanzania, ametoa shukuran kwa watu mbalimbali kwa ushirikiano ambao wamemuonesha katika maandalizi ya pambano lake na Julius...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameshirikiana na wananchi kusafisha eneo ambalo litajengwa kituo cha Afya Katika kata ya Narungombe, Ruangwa mkoani...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amekagua mtambo mkubwa wa kuchuja maji chumvi katika eneo la Serengeti, Wilaya ya Gairo mkoani...
By Danson KaijageSeptember 4, 2021MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam, imetangaza kuahirisha shughuli ya uzinduzi rasmi wa jezi...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva Nandela Charles Mfinanga maarufu Nandy leo Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021 anahitimisha kilele cha tamasha lake ‘Nandy...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, imewataka vijana kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa maslahi mapana ya nchi...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021SERIKALI imeahidi kushirikiana na kuunga mkono jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi na kuwaendeleza wanawake katika sekta ya...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ili kuhahakikisha inafikia lengo la kukusanya zaidi ya Sh.22.18 trilioni kwa mwaka wa fedha 2021/2022 watazingatia,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021KAMPUNI ya Usafirishaji ya World Logistics (WLC), imeanzisha huduma mpya ya kuagiza na kufikishia bidhaa kwa mteja (Corgo Pickup & Delivery Services),...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021RIPOTI ya awali ya uchunguzi wa tukio la mauaji ya maofisa watatu wa jeshi la Polisi nchini Tanzania, mlinzi mmoja wa kampuni...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Said Hassan Said (26) ambaye ni askari Magereza, Mkazi...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021HATMA ya kusikilizwa ama kutosikilizwa kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi iliyoko katika Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeSeptember 3, 2021SERIKALI imesema itatekeleza ahadi zote zilizotolewa na Rais wa awamu ya tano hayati Dk. John Magufuli ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameitaka Serikali kutoa mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita kama ilivyo kwa wanafunzi...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021KLABU ya soka ya Simba imetangaza kuwa leo tarehe 3 Septemba 2021 jezi zake zitakazotumika katika msimu ujao wa mwaka 2021/2022 zitaanza...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021ZAIDI ya wafanyakazi 7,000 walioajiriwa kwenye kampuni ya uchimbaji wa madini Geita (GGML) wameupaisha mkoa wa Geita baada ya michango yao katika michahara...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, inaendelea kusikilizwa...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021KAMPUNI ya Johnson & Johnson kutoka nchini Marekani imesitisha majaribio ya chanjo ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) Barani Afrika baada ya chanjo...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2021MAWAKILI wanawake 40 kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamepewa mafunzo ya kuendesha kesi zenye maslahi ya umma ‘kesi zakimkakati’ na Mtandao wa Watetezi...
By Regina MkondeSeptember 3, 2021WABUNGE wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima wa Kawe, Jerry Silaa wa Ukonga na Humphrey Polepole...
By Danson KaijageSeptember 3, 2021MKURUGENZI wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ hivi karibuni aliweka ratiba ya shoo zake nyingi za nchini Marekani, Bara la...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021KIRUSI kipya cha Corona kilichopewa jina la ‘Mu’ au B.1.621 kimeanza kutikisa nchi kadhaa za Bara la Amerika kusini na Ulaya huku...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021WABUNGE watatu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), watawekwa ‘kitimoto’ na Kamati ya Maadili ya chama hicho, juu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021SERIKALI imesema ipo tayari kushirikiana na watafiti kufanya utafiti wa vinasaba kwa makabila mbalimbali nchini ili kurahisisha upatikanaji wa matibabu ya magonjwa...
By Gabriel MushiSeptember 2, 2021SARE ya bao 1-1, ilitosha kuifanya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuondoka na pointi moja kwenye mchezo wa kusaka tiketi...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021UPELELEZI katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke (DED), mkoani Dar es Salaam, Lusubilo Mwakabibi na Mratibu...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2021MBUNGE wa Muhambwe mkoani Kigoma (CCM), Dk. Florence Samizi, ameihoji Serikali lini itatekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya, cha Kata...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamehoji mikakati ya Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji wa mafao ya wastaafu...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, mradi wa ujenzi wa Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam unatarajia kuanza Julai 2022. Anaripoti Helena Mkonyi, (TUDARCo)...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021Kuelekea hufuzu kwa fainali la kombe la dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022, michezo mbalimbali jana ilipigwa ulimwenguni kote kwa mataifa mbali mbali...
By Kelvin MwaipunguSeptember 2, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mkakati mpya kwa wanafunzi waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito kuwawezesha kuwaendelea kimasomo. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo … (endelea)....
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021