ANTHONY Joshua (31), raia wa Uingereza amepoteza ubingwa wa dunia uzani wa juu kwa kutwanga na Oleksandr Usyk wa Ukraine. Anaripoti Damas Ndembela, TUDARCo … (endelea).
Joshua aliyekuwa akitetea mikanda hiyo, amepigwa kwa pointi 117-112, 116-112, 115-113 za majaji wote watatu.
Pambalo hilo limefanyika usiku wa kumkia leo Jumapili, tarehe 26 Septemba 202, Tottenham, London nchini Uingereza.
Kwa kipigo hicho, Usyk mwenye miaka 34 ametwaa mikanda yote aliyokuwa akiitetea Joshua ya WBA, WBO, IBF na IBO.
Leave a comment