November 29, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Haya hapa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba 2021

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde

Spread the love

 

BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) mwaka 2021.

Akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 30, 2021, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde amesema kuwa mkoa wa Dar es Salaam umefanya vizuri zaidi katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2021, ikifuatiwa na mikoa ya Iringa na Mbeya.

Kutazama matokeo ingia hapa 

error: Content is protected !!