WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika madhimisho ya miaka 10 ya Shirika la Legal Services Facility (LSF) yanayotarajiwa kufanyika tarehe...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021MWAKA 2018 LSF ilizindua mpango wake wa uwezeshaji wa wanawake waishio mijini ili wapate uelewa wa kisheria kuhusu masuala ya haki za mazingira,...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021MAASKOFU wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu la Tabora na Severin Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge-Ngara mkoani Kagera,...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ina jumla ya mabilionea 5,740 sawa na asilimia 4.2 ya utajiri katika...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeagiza kurudiwa upya kwa mitihani iliyovuja ya utabibu ndani ya wiki sita kuanzia tarehe...
By Danson KaijageNovember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi, tarehe 4 Novemba 2021, amerejea nchini mwake akitokea Glasgow, Scotland, alikokwenda kuhudhuria Mkutano wa...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021SAKATA la kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ katika maeneo yasiyoruhusiwa nchi nzima, limetua bungeni kwa Mbunge wa Viti Maalum (asiye na chama), Halima...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dk. Juma Malik Akili amepongeza jitihada zinazoendelea kufanywa na Shirika la Bima Zanzibar (ZIC)...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021MRAJISI wa leseni za bunduki kutoka Jeshi la Polisi, Kamisheni ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kitengo cha Udhibiti na Usajiliwa Silaha...
By Regina MkondeNovember 4, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na upande wa utetezi,...
By Regina MkondeNovember 4, 2021MASWALI yameibuka kuhusu usalama wa mchezo wa masumbwi nchini Zimbabwe baada ya Bondia mmoja chipukizi mwenye umri wa miaka 24 kupoteza maisha...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetoa wito kwa wadau wa utalii kuwekeza katika maeneo ya vitalu 12 vya uwekezaji maalumu...
By Danson KaijageNovember 4, 2021MVUTANO umeibuka baina ya mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake...
By Regina MkondeNovember 4, 2021ASKARI Polisi, SSP Sebastian Madembwe (46), ambaye ni Mrajisi wa leseni za bunduki wa Jeshi la Polisi anatoa ushahidi wake katika kesi...
By Regina MkondeNovember 4, 2021Kundi la Taliban limetangaza kupiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni nchini Afghanistan hatua ambayo inazidi kuongeza mdororo wa uchumi nchini humo...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2021WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza hali ya hatari katika maeneo yote ya nchi hiyo baada ya waasi wanaopambana na wanajeshi...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2021MARA baada ya kushindwa kwenda kucheza mchezo wa marudiano nchini Libya dhidi ya Al Ahly Tripol, kamati ya mashindano ya Shirikisho la...
By Kelvin MwaipunguNovember 3, 2021UPATIKANAJI wa haki kwa wote ni jambo linalotarajiwa na kila mtu bila kujali mazingira aliyopo kwa wakati huo. Ndio maana hakuna mtu...
By Kelvin MwaipunguNovember 3, 2021KLABU ya soka ya Simba itakosa huduma ya wachezaji wake wanne, ambao wanakabiliwa na majeraha kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
By Kelvin MwaipunguNovember 3, 2021JANA Jumanne, tarehe 2 Novemba 2021, Dk. Hussein Ali Mwinyi alitimiza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 3, 2021USHINDI wa mabao 3-1, dhidi ya Ruvu Shooting umzidi kuifanya klabu ya Yanga, kujichimbia kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Profesa Maulid Mwatawala kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema athari za mabadiliko ya tabianchi hazichagui nchi tajiri wala maskini hivyo kuna umuhimu kwa mataifa yote duniani kuwa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa kumbukumbu ya Maalis Seif Sharif Hamad unaotarajiwa kufanyika kwa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021ANTONIO Conte, kocha raia wa Itary aemeingia kandarasi ya miaka miwili kukinoa kikosi cha Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu nchini England mara...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2021SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano nwa Tanzania, Job Ndugai ameiagiza Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje kuwaita viongozi wa...
By Gabriel MushiNovember 2, 2021Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Zuberi Homera ameonyesha kuridhishwa na huduma pamoja na jitihada za Benki ya Exim katika kuwahudumia wafanyabiashara...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021FREDY KAPARA (38), shahidi wa tano upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kukaa na wizara ya nishati ili kupata ufafanuzi unaoridhisha...
By Gabriel MushiNovember 2, 2021Kampuni ya Anglogold Ashanti – Geita Gold Mining Limited(GGML) na Halmashauri ya Mji Geita na halmashauri ya Wilaya ya Geita,zimetiliana saini Mkataba wa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Nicolaus Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021MKUTANO wa Tano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unatarajiwa kuanza kesho tarehe 2 Novemba, mwaka 2021 huku matumizi ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021TAHARUKI imeibuka katika mitaa ya Mbezi – Mwisho baada ya daladala aina ya Coaster inayofanya safari zake Mbezi – Mkata kumgonga mama...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazaendo – Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu kama ‘Babu Duni’ amejiuzulu wadhifa wake ndani ya chama...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021USAHIHI wa saini ya shahidi wa nne wa Jamhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 1, 2021SHAHIDI wa nne wa Jumhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, Rau Madukani mkoani Kilimanjaro ameelezea jinsi Adam Kasekwa na...
By Regina MkondeNovember 1, 2021WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka wavuvi nchini kuchangamkia bima maalum ijulikanayo kama Jahazi, ili iwasaidie kuwakinga wanapokumbwa na majanga mbalimbali....
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021KATIKA kukabiliana na changamoto ya umeme nchini Serikali imesema itashirikiana na wawekezaji kuzalisha megawati 700 za nishati jadidifu ifikapo mwaka 2024. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021SERIKALI ya awamu ya sita imekuja na mbinu mpya ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika baadaye Tanzania....
By Danson KaijageNovember 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Boris Jonson, Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021