Saturday , 27 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Samia afanye uteuzi
Habari Mchanganyiko

Rais Samia afanye uteuzi

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Profesa Maulid Mwatawala kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Uteuzi wa Profesa Mwatawala umeanza tarehe 30 Oktoba 2021, akichukua nafasi ya Profesa Bernadeth Kilian ambaye amemaliza muda wake.

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Jumanne, tarehe 2 Novemba 2021 na Jaffar Haniu, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu akiwa Glasgow nchini Scotland ambako Rais Samia yupo huko akihudhuria mkutano Mkutanowa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26).

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

Spread the love  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

Spread the love  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule...

Habari Mchanganyiko

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

Spread the loveBenki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule...

error: Content is protected !!