December 1, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Makonda kufikishwa kortini

Paul Makonda

Spread the love

 

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kufikishwa mahakamani, wakati wowote kuanzia sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani, pamoja na mambo mengine, kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, ikiwamo kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Dar es Salaam.

Undani wa habari hii soma Gazeti la Raia Mwema, toleo la leo Jumatatu, tarehe 15 Novemba 2021.

error: Content is protected !!