Friday , 29 March 2024
Home Gazeti Tangulizi Kesi ya Makonda: Serikali, Mahakama mtegoni
Tangulizi

Kesi ya Makonda: Serikali, Mahakama mtegoni

Paul Makonda
Spread the love

 

HATUA ya kufunguliwa kesi mahakamani, kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda na mtu binafsi, kumeelezwa kumeiweka mtegoni serikali na Mahakama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mmoja wa mawakili mashuhuri nchini, Profesa Abdallah Safari amesema, uamuzi wa kumfungulia kesi Makonda, ni kipimo tosha kwa serikali iliyopo madarakani, kwamba “inachokisema ndicho inachokitenda.”

Alisema, “…serikali imewekwa mtegoni kwenye jambo hili. Kwamba, baada ya kuwapo tuhuma kadhaa dhidi ya Makonda, itaruhusu mtu huyo kushitakiwa? Hili ni moja ya jaribu kubwa kwa serikali na Mahakama.”

Kwa nini ni jaribu kwa serikali na Mahakama. Undani wa habari hii na rejea alizozifanya wakati wa utawala wa awamu ya kwanza ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Soma Gazeti la Raia Mwema, toleo la leo Jumatatu, tarehe 29 Novemba 2021.

1 Comment

  • Majukumu aliyokuwa amepewa makonda ni makubwa na ya hatari hata mh. Lipumba anajua alipokuwa anasema mnakamata vidagaa, serikali inatakiwa ilijue hilo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Samia aunde tume kuchunguza mauaji mgodi wa Barick

Spread the loveRAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameombwa aunde tume huru kwa...

KimataifaTangulizi

Zuma akataliwa kugombea urais

Spread the love  TUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

Spread the loveRIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

Spread the loveVIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19...

error: Content is protected !!