Tuesday , 23 April 2024
Home danson
968 Articles61 Comments
Habari Mchanganyiko

Hati 500,000 za kimila kupatikana katika wilaya 6

WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Miliki za Ardhi (LTIP) inakusudia kupanga, kupima na kusajili...

Habari Mchanganyiko

Wastaaafu wengi wanakufa kutokana na kutumia vibaya mafao

IMEELEZWA kuwa kitendo cha wastaafu kuwekeza fedha zao za fao katika miradi ambayo hawana uzoefu nayo imetajwa kuwa ni moja ya chanzo cha...

Habari Mchanganyiko

TAWA wacharuka ujenzi wa hifadhi

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeitahadharisha jamii kuacha tabia ya kujenga makazi yao karibu na hifadhi za wanyamapori zikiwemo shughuli za...

Habari Mchanganyiko

Wadau wa TASAF washauri kuondoa dosari

  WADAU wanaofadhiri fedha kwa ajili ya kuwezesha mpango wa kunusuru kaya maskini katika kipindi cha pili kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...

Habari Mchanganyiko

Mkazi wa Kakonko amwangukia Samia, Majaliwa kuingilia mgogoro wake wa ardhi

JUMA Nyakanyenge, mkazi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Rais  Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wake...

Habari Mchanganyiko

Asilimia 30 ya watoto nchini wana udumavu wa akili

IMEELEZWA kuwa asilimia 30 ya watoto wenye umri kuanzia siku 0 hadi miaka nane wanakabiliwa na udumavu wa akili huku mikoa yenye uzalishaji...

Biashara

TASAF yafaidisha kaya 160 Kondoa

KATIKA mwaka wa fedha wa 2021/23 jumla ya fedha kiasi cha Sh 102  milioni zimewanufaisha wakazi wa Kijiji cha Itundwi kata ya Mnina...

Biashara

CMSA yawekeza trilioni 35 katika masoko ya mitaji

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji ya Dhamana (CMSA) imesema mpaka sasa thamani ya uwekezaji kwa masoko na mitaji imefikia  Sh 35 trilioni. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Machifu wajinasibu kufanya kazi kwa ukaribu na makanisa, serikali

UMOJA wa Machifu wa Chigogo katika Mkoa wa Dodoma umesema kuwa umejipanga kufanya  kazi kwa ukaribu na mashirika ya dini pamoja na serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yasaini mikataba saba ya ujenzi wa Barabara ya Sh. 3.7 trilioni

SERIKALI ya Tanzania chini ya usimamizi wa Wakala wa barabara nchini (TANROAD) imsaini mitakaba 7 ya ujenzi wa barabara 7 kwa kiwango cha...

Habari Mchanganyiko

Askofu Dk. Chande ahimiza Watanzania kuweka akiba ya chakula

ASKOFU mkuu wa Kanisa la Karmali Assembles of God Tanzania,( KAGT) na Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano mkoa wa Dodoma ,Dk. Evance Chande...

Habari Mchanganyiko

Dk. Gwajima atoa maelekezo kwa maofisa maendeleo nchini

  WAZIRI wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto, Wazee na Makundi Maalum Dk.Dorothy Gwajima leo tarehe Mosi Juni 2023 amewaagiza  maafisa...

Habari Mchanganyiko

Migogoro ndani ya familia chanzo cha watoto wa mitaani

IMETAJWA kuwa migogoro ndani ya ndoa au kwenye familia zilizo nyingi imechangia kwa kiasi  kikubwa cha kuwepo kwa kazi kubwa ya watoto wa...

Biashara

IFC yazindua programu ya kuwawezesha wanawake kiuchumi nchini

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua mpango mpya wa kuwezesha wanawake kiuchumi ujulikanao kwa jina la...

Habari Mchanganyiko

Wachafuzi wa mazingira Dodoma ‘kukiona cha moto’

AFISA  Mazingira wa Jiji la Dodoma Dickson Kimaro amewaagiza watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya jiji la Dodoma kuwakamata watu ambao...

Habari Mchanganyiko

Halmashauri Dodoma yadaiwa kuwaliza bilioni 2 wafanyabiashara soko la Majengo

  KWA kipindi cha miezi 16 mpaka sasa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo Jijini Dodoma wamedai kupata hasara ya zaidi ya Sh...

Habari Mchanganyiko

11,580 wasota mahabusu kusubiri kesi zao kusikilizwa

  MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa mpaka kufikia Aprili mwaka huu, takwimu...

Habari Mchanganyiko

Mfumo wa barcodes, Qrcodes mkombozi kwa wafanyabiashara na nyaraka muhimu

  WAFANYABIASHARA nchini wameshauliwa kulinda bidhaa zao na kuziongezea ubora wa  thamani kwa kutumia mfumo wa Barcodes huku watumiaji wa nyaraka muhimu ambazo...

Habari Mchanganyiko

Watu milioni 2.9 hufariki dunia wakiwa sehemu za kazi

  SERIKALI imesema kuwa takwimu zilizokusanywa mwaka 2022 zinaonesha jumla ya watu milioni 2.9 hupoteza maisha duniani wakiwa katika mazingira ya kazini huku...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kuthamini bunifu za ndani

  MKURUGENZI  Mkuu wa  COSTECH, Dk. Amos Nungu amewataka watanzania kuziamini na kuzitumia bunifu zinabuniwa na vijana wa kitanzania ikiwemo kuzinunua na kurejesha...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dodoma waua wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limewathibiti na kuwaua majambazi wanne wa kiume ambao majina yao bado hayajatambulika wenye umri kati ya miaka kati...

Habari Mchanganyiko

Mradi mpya wa AMDT, TARI wazalisha tani 40 za mbegu za alizeti

  MFUKO wa Maendeleo ya Masoko ya Kilimo (AMDT) kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) umeanza kutekeleza mradi endelevu...

Habari Mchanganyiko

Jamii yatakiwa kuwajibika kulinda maadili

  SHEIKH wa mkoa wa Dodoma Alhaji Mustapha Rajabu Shaabani amesema suala la kukemea au kupinga vitendo haramu vya ushoga na ndoa za...

Habari Mchanganyiko

Mzee Malecela aipa mbinu Serikali kukomesha ushoga

MWANASIASA nguli nchini ambaye pia Waziri Mkuu mstaafu,John Samwel Mallecela ameitaka serikali kuweka sheria ngumu au kifungo cha muda mrefu kwa mtu yeyote...

Habari Mchanganyiko

Ukosefu wa maadili kwa wakunga, wauguzi bado changamoto

IMEELEZWA kuwa vitendo vya uvunjifu wa maadili kwa  wauguzi na wakunga pamoja na ‘vishoka’ ambao wamekuwa wakijiingiza katika taaluma hiyo bado ni kikwazo...

Habari Mchanganyiko

BAKWATA wafanya matembezi ya kupinga ushoga

UONGOZI wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Kata ya Chamwino mkoani Dodoma umefanya matembezi ya amani ya kuunga mkono kauli ya Muft Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutembelea hifadhi za Taifa ili kuongeza mapato

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya utalii wa ndani ili kuinua pato la Taifa ikiwa ni pamoja na kujivunia rasilimali muhimu za nchi...

Habari Mchanganyiko

IRUWASA yafunga mita za maji 6,700 za malipo ya kabla

  MAMLAKA ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Iringa (IRUWASA) imefanikiwa kufunga dira za maji 6700 za malipo ya kabla...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutojitumbukiza kwenye mikopo bila malengo

WATANZANIA  wameshauriwa kutopenda kujitumbukiza kwenye masuala ya mikopo kama hawajajipanga kwa kujua wanachotakiwa kukifanya. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Rai hiyo imetolewa...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya WRRB yaweka wazi mafanikio yake kwa mwaka 2021/22

MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangya Bangu amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa bodi hiyo kumeonesha kuwepo kwa...

Habari Mchanganyiko

TBA yakabiliwa na uhaba wa watumishi, vifaa

  PAMOJA na Wakala wa Majengo Tanzania TBA kuweza kufanya kazi kwa mafanikio makubwa lakini bado inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa watumishi....

Habari Mchanganyiko

Dodoma haina shida ya ujenzi wa majengo marefu

  SERIKALI imesema haijawahi kutangaza kuwa mkoa wa Dodoma haufai kujengwa majengo marefu kwa sababu ya kutitia kama ilivyokuwa ikivumishwa na watu ambao...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ruzuku ya bil 199 kujenga minara ya mawasiliano vijijini nchi nzima

SERIKALI imeeleza kuwa imetoa ruzuku ya Sh. 199 bilioni kwa ajili ya kuwezesha kampuni za mawasiliano kujenga minara ya mawasiliano 1,087  katika kata...

Habari Mchanganyiko

Nauli zisizoendana na wakati kikwazo Temesa

WAKALA wa Ufundi na Umeme (TEMESA) umesema kuwa kwa sasa unakabiliwa na changamoto ya nauli za vivuko zilizopitwa na wakati, zisizoendana na bei...

Habari za Siasa

Majaliwa ampa maagizo mkandarasi, RC Dodoma

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza mkandarasi anayejenga Kituo cha Taifa cha Maafa katika mtaa wa Nzuguni Jijini Dodoma kumaliza ujenzi kwa wakati...

Habari Mchanganyiko

DMI yaanika mikakati kukabiliana na kasi ya teknolojia

  KUTOKANA na kukua kwa kasi ya Teknologia nchini na duniani kwa ujumla, Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kinatarajia kuboresha karakana...

Habari Mchanganyiko

NSSF kuanzisha kiwanda cha sukari Julai mwaka huu

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema utapunguza uhaba wa sukari kufikia Julai mosi mwaka huu kwa kuzalisha sukari kupitia kiwanda...

Habari Mchanganyiko

Uvuvi bahari kuu wapaisha pato la Taifa

  SERIKALI imesema uvuvi wa bahari kuu umeliingizia Taifa pato la kiasi cha Sh 4.1 bilioni katika kipindi cha mwaka 2022 hadi kufikia...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Maji Wami Ruvu kuchimba visima 10 kupunguza uhaba maji mikoa mitatu

  BODI ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inamaliza changamoto ya tatizo la maji katika mikoa ya Dar...

Afya

Ma-RMO, DMO watakiwa kujitafakari ubadhirifu hospitali za mikoa, wilaya

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amewataka waganga wakuu wa Hospitali za Mikoa na Wilaya ambao unafanyika ubadhirifu katika vituo vyao...

Habari Mchanganyiko

Uhakiki laini za simu mwisho 13 Februari, 2023

  SERIKALI imeongeza siku 14 kwa Watanzania waliosajili laini zao za simu kuhakiki laini hizo kabla ya kufikia tarehe 13 Februari, 2023 saa...

Habari za Siasa

Chongolo awatahadharisha wana-CCM waliopewa dhamana na wananchi

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Danieli Chongolo, amewatahadharisha wanachama wa chama hicho ambao walipata dhamana ya uongozi wa Serikali za...

Habari Mchanganyiko

Tido Mhando kuongoza jopo la uchunguzi wa masilahi ya waandishi wa habari, wapewa siku 90

  SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknologia ya Habari imeunda kamati ya watu tisa itakayoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media...

Habari za Siasa

Simbachawene acharuka ufanyaji kazi wa mazoea

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amewataka watumishi wa ofisi yake kufanya kazi zenye ufanisi...

Afya

Waziri anusa ufisadi matumizi fedha za UVIKO-19

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya matumizi ya fedha za kukabiliana na athari za Ugonjwa wa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango aitaka TFS idhibiti vibali vya ukataji misitu

  MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ameutaka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kupitia upya sheria za utoaji vibali vya kuvuna...

Shamba la mpunga
Habari Mchanganyiko

CPB kuzalisha mafuta ya kupikikia yatokanayo pumba za mpunga

  BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), imesema ina mpango wa kuanza kutumia teknolojia ya kuzalisha mafuta ya kupikia yatokanayo na pumba...

Habari Mchanganyiko

Tatizo la uhaba wa sukari mwisho 2025/26

SERIKALI imeeleza kuwa ifikapo mwaka 2025/26 Tanzania itakuwa na sukari ya kutosheleza  matumizi ya ndani  na akiba ya kuuza nchi za nje kwa...

Elimu

Wito watolewa wananchi kujiunga elimu ya watu wazima

TAASISI  ya Elimu ya watu wazima (TEWW) imetoa wito kwa wananchi kujiunga na program za elimu ya watu wazima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

NFRA yaanza kugawa chakula kwa bei nafuu

  SERIKALI kupitia Wakala wa Taifa wa hifadhi ya Chakula (NFRA) umeanza kugawa chakula cha bei nafuu kwa mikoa ambayo ina mfumuko mkubwa...

error: Content is protected !!