TAASISI isiyokuwa ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kulinda na kutetea haki za wanawake Tanzania (Tasuwori) imezitaka Azaki zote nchini kuungana na kuwa...
By Christina HauleJune 14, 2017MKURUGENZI Mtendaji wa kituo cha msaada wa kisheria cha Parallegal, Morogoro, Frola Masoi ameitaka jamii kuzingatia na kuzifuata sheria zilizopo kwenye katiba ya...
By Christina HauleMay 31, 2017MRADI wa kuhamasisha shule za msingi kushiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira na uzalishaji mali shuleni, “eco school” umefanikiwa kuongeza mahudhurio ya...
By Christina HauleMay 30, 2017WANANCHI wa vijiji vya Kunke na Mlumbilo, Mvomero mkoani Morogoro wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi uliopo baina yao na Uongozi wa...
By Christina HauleMay 24, 2017BODI ya kahawa Tanzania inakusudia kuongeza uzalishaji kutoka tani 80,000 za mwaka 2017 hadi kufikia tani 100,000 mwaka 2021, anaandika Christina Haule. Hayo...
By Christina HauleMay 19, 2017VIFO vya wajawazito vimeonekana kuongezeka mkoani Morogoro hadi kufikia vifo 83 mwaka 2016 dhidi ya 68 vilivyotokea mwaka 2015 kutokana na kutokuwepo na mchakato...
By Christina HauleMay 17, 2017WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harison Mwakyembe amepiga marufuku watangazaji wa vipindi vya magazeti kwenye redio na televisheni kusoma habari...
By Christina HauleMay 4, 2017VIJANA waliohitimu elimu ya juu nchini wameshauriwa kuanzisha shughuli za ujasiriamali na kukuza uchumi wao kwa kujitokeza kwenye ofisi za mikopo badala ya...
By Christina HauleApril 26, 2017MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...
By Christina HauleApril 21, 2017SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na...
By Christina HauleApril 19, 2017WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira,...
By Christina HauleApril 18, 2017MFUKO wa Rais wa Kujitegemea (PTF) umewataka vijana wakiwemo waliohitimu vyuo vya ufundi stadi na taasisi zingine, kuitumia vyema fursa ya mikopo inayotolewa...
By Christina HauleApril 5, 2017WATAFITI wa mbegu ndani na nje ya nchi wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI)...
By Christina HauleApril 5, 2017SERIKALI imeombwa kurekebisha na kupanua miundombinu ya skimu ya umwagiliaji maji iliyo chakavu kwenye kijiji cha Mlali, Mvomero ili iweze kusaidia wananchi wanaoikosa...
By Christina HauleApril 3, 2017MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba ameushauri Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)...
By Christina HauleMarch 28, 2017ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada...
By Christina HauleMarch 15, 2017WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda...
By Christina HauleMarch 14, 2017SULEIMAN Jaffo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, amempa mwezi mmoja Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro...
By Christina HauleMarch 14, 2017OPERESHENI ya kukamata pombe ambazo hufungwa katika vifuko maalum maarufu kama viroba, imeendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambapo sasa jeshi la polisi limewakamata...
By Christina HauleMarch 10, 2017REGINA Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro amewataka wanawake nchini kutoa ushirikiano katika kufichua wanaohusika na biashara ya dawa ya kulevya ili kurahisisha...
By Christina HauleMarch 8, 2017WANAKIJIJI wa kijiji cha Mtipule kilichopo kata ya Msongozi wilayani Mvomero mkoani hapa wameyatelekeza mashamba yao kwa takribani miaka minne mfululizo wakihofia kuvamia...
By Christina HauleMarch 6, 2017HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa inatarajia kuwafikisha mahakamani watu 21 wanaodaiwa kujichukulia sheria mikononi na kujimilikisha hekari 66 za kijiji na kujenga nyumba...
By Christina HauleMarch 6, 2017MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...
By Christina HauleFebruary 1, 2017ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika...
By Christina HauleJanuary 21, 2017VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro vimeonywa, anaandika Christina Haule. Vyama hivyo...
By Christina HauleJanuary 17, 2017CHUKI na visasi kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kumea baada ya wafuasi wa vyama...
By Christina HauleJanuary 14, 2017