WADAU wa misitu wameomba mabadiliko ya Sheria na Sera za misitu ili ziwekwe vizuri, kusaidia kuondoa uharibifu wa misitu nchini. Anaripoti Christina Haule,...
By Christina HauleNovember 25, 2019MWITA Waitara, Naibu Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ameagiza wanafunzi milioni 12 wa...
By Christina HauleNovember 18, 2019MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Taifa, Philiph Mangula amesema, wasiasa ndio wamekuwa chanzo cha viashiria vya kuteteresha amani ya nchi. Anaripoti...
By Christina HauleNovember 18, 2019WAJUMBE wa Kamati ya Ukimwi, Manispaa ya Morogoro, wanajipanga kutoa elimu ya ujasiriamali, kwa makundi mbalimbali wakiwemo vijana. Anaandika Christina Haule, Morogoro … (endelea)....
By Christina HauleNovember 14, 2019UVUNAJI misitu kwa njia endelevu nchini unapaswa kuendelezwa ili kunusuru uharibifu wa misitu uliopo unaosababisha upotevu wa hekta zaidi ya 469,000 kila mwaka...
By Christina HauleNovember 11, 2019WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Kampeni ya Linda ardhi...
By Christina HauleNovember 8, 2019MWALIMU Mohamed Utaly, Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, amewataka wavunaji wa misitu, wabebaji na wauzaji wa mkaa kwenye pikipiki na fuso...
By Christina HauleNovember 6, 2019SERIKALI wilayani Mvomero mkoani Morogoro imesema, itashughulikia mtu yeyote ambaye atathubutu kuwarejesha nyuma kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji ambayo wameshayasahau. Anaripoti Christina...
By Christina HauleNovember 1, 2019MAHAKAMA ya Mwanzo Mikongezi, Mvomero imelazimika kuahirisha kesi ya kujeruhi iliyowahusisha wafugaji watatu waliowajeruhi askari wanyamapori sehemu mbalimbali za miili yao baada ya...
By Christina HauleOctober 28, 2019MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Kibena Kingo amewataka Madiwani wanawake nchini kuzidisha upendo baina yao na kuacha unafiki jambo litakalowasaidia kushika...
By Christina HauleOctober 28, 2019MRADI wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), utaweza kuwa endelevu endapo uhifadhi na utunzaji wa misitu hasa ya vijiji utakuwa endelevu na...
By Christina HauleOctober 22, 2019WAKULIMA nchini wametakiwa kutumia ardhi ndogo ya kilimo waliyonayo, kuzalisha kwa tija na kufikia malengo ya kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabia nchi (CSA). Anaripoti...
By Christina HauleOctober 22, 2019WAZEE mkoani Morogoro wameiomba Mamlaka ya maji safi na maji taka mkoa (MORUWASA) kuhakikisha huduma ya maji inafika kila eneo ili kuwasaidia wazee...
By Christina HauleOctober 1, 2019MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Morogoro, Adam Mgowi amewataka watendaji wa kata kufanya kazi ya kusimamia mambo yanayotolewa na Serikali ikiwemo rasilimali fedha,...
By Christina HauleSeptember 24, 2019SHIRIKA la kuwahudumia wakimbizi la Tanganyika (TCRS) lililopo mkoani hapa limewataka wafanyabiashara kutii sheria za miji na majiji zilizopo bila shuruti huku akiwaasa...
By Christina HauleSeptember 20, 2019WAKAZI wilayani Kilosa wametakiwa kufuatilia na kusimamia kikamilifu matumizi ya rasilimali za Umma hasa kwenye sekta ya elimu ili kuboresha miundombinu ya shule...
By Christina HauleSeptember 8, 2019WAFUGAJI wa kuku nchini wameshauriwa kufuata maelekezo ya wataalam na kuongeza uzalishaji ili bei ya kuku kuweza kushuka na jamii kununua na kula...
By Christina HauleSeptember 4, 2019MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Steven Kebwe ameiagiza ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) mkoa, kuongeza vituo vya kutolea...
By Christina HauleAugust 22, 2019WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeunda tume ya wataalam mbalimbali kuchunguza kama mamlaka za serikali ziliwajibika ipasavyo katika kudhibiti ajali ya moto...
By Christina HauleAugust 11, 2019SAID Stephen na mtoto wake wa kike (jina linahifadhiwa), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya mtoto...
By Christina HauleJuly 24, 2019MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na mazingira, Suleiman Sadiq ameshauri elimu zaidi kutolewa kuhusu Mradi wa Kuleta Mageuzi katika Sekta...
By Christina HauleJuly 17, 2019MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wameazimia kutenga asilimia 25 wanayokusanya kutoka vijiji vya mradi wa mkaa endelevu kila mwaka na kuanzisha...
By Christina HauleJuly 15, 2019MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Kibena Kingu ameuomba Mradi wa kuleta mageuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS) usiwasahau katika awamu...
By Christina HauleJuly 12, 2019MWANAUME mmoja Saidi Kasti (35) mkazi wa kitongoji cha Kimangakene Kijiji cha Diyovuva kata ya Kiroka wilayani Morogoro anashikiliwa polisi kwa tuhuma za...
By Christina HauleJuly 10, 2019JUMLA ya kaya za wazee 10 za kata ya Ngerengere wilayani Morogoro mkoani hapa zimekabidhiwa kadi za mfuko wa Bima ya Afya ya...
By Christina HauleJuly 9, 2019WAFUGAJI wa mifugo mbalimbali nchini wameshauriwa kutumia hospitali ya Rufaa ya Magonjwa ya Mifugo Tanzania iliyopo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)...
By Christina HauleJune 27, 2019SERIKALI na wadau mbalimbali wameombwa kutoa msaada taulo za kike (pedi) kwa mabinti waliopo kwenye vituo vya kulelea watoto yatima na walemavu kufuatia...
By Christina HauleJune 24, 2019WANANCHI wa kata za tano za wilaya mbalimbali mkoani Morogoro wameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupunguza gharama za fomu sambamba na...
By Christina HauleJune 19, 2019JUMLA ya Sh. 20 milioni zimetenwa na wanakijiji wa kijiji cha Mlilingwa, Ngerengere mkoa wa Morogoro walizokusanya kutokana na mapato ya mkaa endelevu...
By Christina HauleJune 12, 2019MENEJA wa mradi wa kuleta maeuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS), Leonard Charles ameishukuru Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuamua kuunda...
By Christina HauleJune 10, 2019WANANCHI wa vijiji 22, wazalishaji mkaa maarufu kama mkaa endelevu na Halmashauri za wilaya wamenufaika kwa kupata fedha zaidi ya Sh. 3 bilioni...
By Christina HauleJune 7, 2019SERIKALI imesema ina mpango wa kuboresha sera ya mbegu ili kuimarisha suala la upatikanaji wa mbegu kimfumo zitakazowasadia wakulima na kuleta tija katika...
By Christina HauleJune 4, 2019MWANAUME mmoja, Boniphace Agustino (46) mkazi wa Chamwino, Morogoro ameuawa na watu watatu akiwemo mke wake na mwanae kwa kumpiga kitu kizito kichwani...
By Christina HauleMay 29, 2019WANAWAKE mkoani Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa...
By Christina HauleMay 23, 2019HALMASHAURI ya wilaya ya Morogoro ina mpango wa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi mazao ghalani kwa wakulima wilayani humo katika msimu wa...
By Christina HauleDecember 20, 2018KIKUNDI cha wanawake 36 kijulikanacho kama Loleni kilichopo Kijiji cha Mwarazi Kata ya Kibuko, Morogoro kinachojihusisha na uchimbaji wa kokoto aina ya “Doromate” kinaiomba...
By Christina HauleNovember 2, 2018WATAFITI kutoka Vyuo vikuu mbalimbali nchini wametakiwa kutafsiri tafiti zinazofanyika kwa lugha nyepesi ili kuweza kutumika na kutatua matatizo yanayopatikana kwenye maeneo mbalimbali...
By Christina HauleOctober 22, 2018SERIKALI imeushauri Ushirika wa Kuweka na kukopa cha Polisi Tanzania (URA-SACCOS) kuona haja ya kuingia katika uwekezaji kwa kuanzisha viwanda vidogo vitakavyosaidia mambo...
By Christina HauleOctober 19, 2018JUMLA ya Sh. 3.9 milioni zimekusanywa na wanavijiji wa vijiji vinne vya kata ya Tomondo wilayani Morogoro na kutatua tatizo la uhaba wa...
By Christina HauleOctober 12, 2018KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amewataka wavuja jasho wakiwemo wakulima kutokata tamaa au kuwa na tamaa ya mabadiliko...
By Christina HauleOctober 5, 2018WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Khasim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi...
By Christina HauleOctober 1, 2018MWENYEKITI wa kijiji cha Kikundi, kata ya Tomondo, Morogoro, Musa Muhongo ameahirisha mkutano mkuu wa kijiji mara baada ya wanakijiji kuchachamaa wakidai kuelezwa...
By Christina HauleSeptember 28, 2018SERIKALI imeanzisha kitengo maalum cha kitakachowezesha kupatikana kwa masoko sahihi ndani na nje ya nchi ili kuwafanya wakulima kutozalisha kwa mazoea bali kwa...
By Christina HauleSeptember 10, 2018NAIBU Waziri wa Kilimo Omari Mgumba amezitaka Taasisi zinazojihusisha na masuala ya mbegu nchini kuweka mipango mikakati wa miaka minne itakayoendana na mpango wa...
By Christina HauleAugust 17, 2018VIJANA nchini wametakiwa kukitumia vyema Chuo cha Kilimo – Mati Ilonga ili kupata elimu mbalimbali ikiwemo ya usindikaji wa mazao itakayowasaidia kujikwamua kiuchumi...
By Christina HauleAugust 10, 2018WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko Charles Mwijage amewataka wazalishaji wa mbegu ya Mpunga zinazotoa harufu ya kunukia aina ya Aroma kuongeza uzalishaji...
By Christina HauleAugust 9, 2018WADAU wa kilimo na wakulima wakubwa kwa ujumla wameshauriwa kuanzisha makampuni ya mbegu ili kuifanya Sekta ya Mbegu kuwa na uzalishaji wa kutosha...
By Christina HauleAugust 7, 2018WAFUGAJI hapa nchini wameshauriwa kuzingatia matumizi ya dawa za mifugo wanayopewa na wataalamu ili kuongeza kipato na kuboresha uchumi wao na Taifa kwa...
By Christina HauleAugust 3, 2018MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeshauriwa kuweka mikakati thabiti itakayowezesha kudhibiti upotevu wa makusanyo ya kodi yatokanayo na sekta madini kuanzia kwa wachimbaji...
By Christina HauleAugust 3, 2018WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti akiwemo mwanamke mmoja Rose Mngwe (43) mkulima na mkazi Njage wilayani Kilombero kuuawa kwa kukatwa na...
By Christina HauleAugust 1, 2018