WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amepiga marufu wakandarasi wanaoharibu miradi, kuhamishiwa maeneo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mbarawa...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2018MADIWANI wa CCM katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamegoma kushiriki kikao cha baraza la madiwani kilichotarajiwa kufanyika leo tarehe 7 Novemba 2018....
By Mwandishi WetuNovember 7, 2018JESHI la Polisi limetakiwa kufanya upelelezi wa waliohusika kumteka Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Masalu ErastoNovember 7, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 wanaodaiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari,ikiwemo magari ya umma....
By Regina MkondeNovember 6, 2018MKUU wa shule pamoja na wanafunzi wa kiume 79 wametekwa nyara na makundi ya waasi katika jiji la Bamenda nchini Cameroon. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2018WATU sita wamepoteza maisha huku saba wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria iliyotokea leo tarehe 6 Novemba 2018 maeneo ya Segera mkoani...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2018UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge...
By Danson KaijageNovember 6, 2018HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...
By Mwandishi MaalumNovember 6, 2018JESHI la Polisi mkoa wa Kinondoni linamshikilia Mohamed Hassani (65) mkazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2018Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amesema hawezi kurudi nyuma katika harakati zake za kutetea haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2018BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu hatimaye Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Malangwe Mchungahela imetangaza...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2018RAIS wa Iran, Hassan Rouhani ameahidi kupinga vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa lake, vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa leo tarehe 5 Novemba 2018. Anaripoti...
By Regina MkondeNovember 5, 2018MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gift Msuya ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kutapeli wananchi sita kiasi cha Sh....
By Regina MkondeNovember 5, 2018MKURUGENZI mkuu wa kampuni ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ ametangaza ujio wa tamasha kubwa la burudani Wasafi Festival ambalo linatarajia...
By Masalu ErastoNovember 5, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kamati ya maadili imemfungia maisha kujihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2018NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbulu mkoa wa Manyara,...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetangaza tarehe 8 Januari, 2019 itafanyika hafla ya utoaji tuzo mbalimbali za wachezaji pamoja na timu...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2018MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Iringa leo imemkuta Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2018PAMOJA na kilio cha muda mrefu kutoka kwa taasisi mbalimbali zinazotetea haki za binadamu cha kuitaka serikali kufuta adhabu ya kifo, bado adhabu...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2018BAADA ya Rais wa Marekani Donald Trump mwanzoni mwa mwezi Mei 2018, kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa nyuklia na Iran wa mwaka...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2018WATUMISHI saba wamefariki dunia wakati watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la Ofisi ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mfuko...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2018KOCHA Mkuu wa Simba, Patric Aussems ameonekana kutorizishwa na nyasi za uwanja wa Mkwakwani uliopo mkoani Tanga mara baada ya kufanya mazoezi ya...
By Kelvin MwaipunguNovember 3, 2018UTATA umeibuka juu ya hatima ya baadaye ya Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini Tanzania, Roeland Van De Geer. Anaaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2018MAHAKAMA ya Hakim Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imempa dhamana mwanasiasa machachari wa upinzani nchini, Zitto Zuberi Kabwe. Anaripoti Faki Sosi …...
By Faki SosiNovember 2, 2018KIKUNDI cha wanawake 36 kijulikanacho kama Loleni kilichopo Kijiji cha Mwarazi Kata ya Kibuko, Morogoro kinachojihusisha na uchimbaji wa kokoto aina ya “Doromate” kinaiomba...
By Christina HauleNovember 2, 2018MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, muda huu wa mchana wa leo...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2018SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International limeitaka Jeshi la Polisi kumpa dhamana au kumfikisha mahakamani, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2018TAASISI ya Vicoba endelevu Temeke imeiomba serikali kuiunga mkono katika jitihada zake za kuanzisha viwanda vidogo, ili kufikia uchumi wa kati kwa wanachama...
By Regina MkondeNovember 2, 2018WATU tisa wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 2 Novemba 2018 maeneo ya Karakata wilayani Ilala jijini Dar es...
By Regina MkondeNovember 2, 2018SHIRIKISHO la Mpiwa wa Miguu Duniani (FIFA) limemfungia maisha kujihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ghana (GFA), Kwesi Nyantakyi...
By Kelvin MwaipunguNovember 1, 2018MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokana na kuwa nje ya nchi kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018WEMA Sepetu, Msanii wa Filamu nchini, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kuchapisha video yake ya ngono...
By Faki SosiNovember 1, 2018RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amefunga mjadala kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya, akisema kuwa hategemei kutenga...
By Regina MkondeNovember 1, 2018BODI ya Wadhamini ya CUF imefungua shauri Na. 343/01/2018 katika Mahakama ya Rufaa, kupinga amri ya zuio la kutolewa ruzuku ya chama hicho...
By Regina MkondeNovember 1, 2018IKIWA imepita siku moja tangu Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam, leo Jeshi la Polisi...
By Regina MkondeNovember 1, 2018SAMADU Hassan aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha luninga cha Star Tv na Radio Free Africa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe mosi...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018WEMA Sepetu, Miss Tanzania mwaka 2006 na mwigizaji wa filamu Tanzania, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018....
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limethibitisha kutaka kupunguza wafanyakazi 550 kati ya 1,500 walioko nchi nzima, ambao hawana sifa za kitaalamu na kushindwa...
By Regina MkondeNovember 1, 2018KATIBU Mwenezi wa CCM Kata ya Mkolani, Zephilin Michael na Katibu Mwenezi wa chama hicho katika kata ya Buhongwa, Hassan Bushangama wanasakwa na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018