Friday , 17 May 2024

Month: November 2022

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango aagiza Ma-RC, DC kuwaondoa waliojenga kwenye vyanzo vya maji

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewaagiza wakuu wilaya na mikoa kushirikiana na mamlaka zingine kuwaaondoa wananchi wote wanaoishi na kuendesha shughuli za...

Habari Mchanganyiko

Makada wa Chadema waliofungwa maisha waachwa huru baada ya kusota miaka 2

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Shinyanga, imewaacha huru wanachama wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Katala Kikaja na Ng’hulima Lilanga, baada ya...

Kimataifa

Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa haki za Xinjiang

  JOPO la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa tarehe 26 Oktoba lilishutumu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea Beijing katika...

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kuiba milioni 60 kisha kujiteka

  DEODATUS Thadeo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kujiteka baada ya kudaiwa kuiba kiasi...

Habari za Siasa

Miss Tz 2018 achomoza kinyang’anyiro ujumbe NEC-CCM

  MISS Tanzania 2018 – Queenelizabeth Makune ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...

Habari Mchanganyiko

Mbarouk amhakikishia ushirikiano Balozi DRC

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amepokea Nakala za Hati za Utambulisho za...

Habari Mchanganyiko

Mwakibete ataka wahandisi SGR kupima vifaa vya ujenzi kikamilifu

  NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete amewataka Wahandisi wa Shirika ya Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha vifaa vyote vinavyotumika katika ujenzi wa reli...

Habari Mchanganyiko

Viongozi watakiwa kutoingiza siasa katika utunzaji wa misitu

  VIONGOZI nchini wametakiwa kuacha kufanya siasa kwenye ardhi bali waitumie katika kuboresha shughuli za usimamizi endelevu wa misitu ikiwemo kuweka mipaka ya...

GazetiHabari

Makamu wa Rais kukabidhi tuzo za mzalishaji bora wa mwaka

MAKAMU wa Rais Dk. Phillip Mpango, anatarajaiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), zitakazotolewa...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi ateua viongozi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, leo Jumatano, tarehe 16 Novemba 2022, amefanya uteuzi wa viongozi wawili, akiwemo Dk. Sharifa Omar Salim,...

Habari za SiasaTangulizi

ACT hatarini kujiondoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

  KAMATI maalum ya Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, imeagiza Sekretarieti ya chama hicho kuratibu vikao vya viongozi na wanachama kwa...

Tangulizi

Mbunge ajiuzulu kwa kuendesha gari akiwa amelewa

  MBUNGE wa Rwanda, Gamariel Mbonimana ambaye alijiuzulu ubunge juzi tarehe 14 Novemba, 2022, ameomba msamaha kwa kuendesha gari akiwa mlevi. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Trump atangaza kugombea urais uchaguzi wa 2024

  WAKATI kura za uchaguzi wa bunge hazijamalizika kuhesabiwa, rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza nia ya kugombea urais kwa mara...

Michezo

FIFA waomba vita kati ya Russia, Ukraine isitishwe kupisha Kombe la Dunia

  RAIS wa shirikisho la kandanda duniani, Gianni Infantino ametoa wito wa kusitishwa kwa muda wa mwezi mmoja vita kati ya Urusi na...

Habari Mchanganyiko

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yazuru TCRA

  KAMATI ya kudumu ya Miundombinu ya Bunge imefanya ziara katika Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kupata maelezo ya usimamizi...

Habari Mchanganyiko

NMB yapongezwa kusaidia wakandarasi Zanzibar

WIZARA ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi ya Zanzibar imeipongeza Benki ya NMB kwa kuleta masuluhisho maalum yalio rafiki kwa ajili ya wakandarasi huku...

Michezo

NBC yamwaga mikopo ya mabasi kwa vilabu

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara (NBC Premier League) imesisitiza kuhusu...

Habari za Siasa

Kilango aanzisha miradi kusaka kura Serikali za mitaa

  MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango (CCM) ameazisha miradi ya viti vya kukodisha kwa ajili ya biashara kwenye kata 14 katika jimbo...

Habari Mchanganyiko

Mbarawa aridhishwa ujenzi barabara DSM

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameelezea kuridhishwa na Ujenzi wa Barabara ya Mabasi yaendayo haraka – (BRT) sehemu ya...

Habari Mchanganyiko

CRDB yatwaa tuzo mbili Consumer Choice Awards

BENKI ya CRDB imeendelea kudhihirisha kuwa benki bora na kinara nchini kwa kutunikiwa tuzo mbili za umahiri katika sekta ya fedha nchini katika...

Habari Mchanganyiko

Mwakibete aipa majukumu mazito bodi mpya ya MSCL

  Serikali imeiagiza Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), kusimamia kwa karibu taasisi hiyo ili miradi inayotekelezwa inakamilika...

Habari Mchanganyiko

Wawili mbaroni kwa kuuza biskuti, pipi zenye bangi

  MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watu wawili jijini Arusha kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Kocha Simba, Cambiasso, Matola mbaroni kwa dawa za kulevya

  JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yashiriki Kongamano la kwanza Kigoda cha Utafiti cha Mkapa

BENKI ya NMB imepongeza uanzishwaji wa kongamano la Kigoda cha utafiti cha Mkapa na Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT). Kwani hiyo ni...

Afya

JKCI yasaini mkataba na Poland kutibu moyo

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesaini mkataba wa ushirikiano na chuo Kikuu cha Jagiellonian nchini Poland, wenye lengo la kubadilishana ujuzi...

Afya

Sheria ya bima ya ajali ipitiwe upya – Spika Tulia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Ackson Mwansasu, ameitaka serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), kuangalia upya utaratibu wa mashirika...

Habari za SiasaTangulizi

Baraza la Mawaziri latoa maelekezo ajali ya Precision

BARAZA la Mawaziri nchini Tanzania limeelekeza vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga viimarishwe ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

TCRA kuwezesha wabunifu wapya wa TEHAMA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na wadau wengine, imeanza utaratibu wa kutoa rasilimali za mawasiliano kwa wabunifu wapya wa Teknolojia ya...

Habari Mchanganyiko

Wanawake Ubungo waandamana hadi kwa DC kudai maji

WANAWAKE kadhaa wa Kata ya Luguruni wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Herry James, wakidai kutopata huduma ya maji kwa...

Kimataifa

Rais Ramaphosa akalia kuti kavu

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa “atajiuzulu” iwapo atashtakiwa kwa madai ya kuficha wizi katika shamba lake la kibinafsi, kulingana na msemaji...

Kimataifa

Biden, Xi wasisitiza haja ya kupunguza migogoro

  VIONGOZI wa Marekani na China wamekutana katika hatua ambayo inalenga kutuliza joto la mzozo kati ya nchi zao. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...

Habari Mchanganyiko

Kundi la wananchi lenye mifugo 1,038 kutoka Ngorongoro lahamia Msomera

KUNDI la 16 la wananchi wanaohama kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera limeondoka leo tarehe 14 Novemba,...

Habari Mchanganyiko

NICOL kutoa gawio  kwa wanahisa wake

KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL imepata faida ya shilingi bilioni 3.8 baada ya kodi na imepitisha gawio kwa wanahisa wake litakalotolewa mwezi ujao....

Elimu

Waliokosa mikopo elimu ya juu wapewa siku 7 kukata rufaa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa ndani ya siku saba kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na...

MichezoTangulizi

Yanga waikamua Kagera Sugar, warejea kileleni

KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...

ElimuTangulizi

566,840 kidato cha IV kuanza mitihani ya Taifa kesho

WATAHINIWA 566,840 wa kidato cha nne nchini Tanzania wanatarajia kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu tarehe 14, Novemba, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Zaidi ya milioni 300 kutolewa msimu wa 4 NMB- ‘MastaBataKotekote’

  KATIKA kuhamasisha wateja wa Benki ya NMB kutumia kadi ‘master card’ pamoja na mfumo wa NMB Mkononi kufanya miamala badala ya kutumia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Dk. Mwinyi kukutana na mabalozi 45 wa Tanzania

    JUMLA ya mabalozi 45 wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Ndalichako aitaka CBE kujitanua zaidi mikoani

SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...

Habari za Siasa

Tanzania kupokea bilioni 121 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema mwaka huu Tanzania inatarajia kupokea mgawo wa Dola...

Habari za Siasa

Bilioni 60 zatengwa kuchangamkia fursa ya mabondo ya samaki China

KATIKA kuchangamkia fursa ya soko la mabondo ya samaki nchini China, Serikali imeongeza bajeti ya kiasi cha Sh bilioni 60 katika sekta ya...

Habari Mchanganyiko

Wenye magonjwa sugu washauriwa kuachana na uzushi wapate chanjo

  MRATIBU wa huduma za chanjo mkoa wa Morogoro Dk. Masumbuko Igembya amewahimiza watu wote wakiwemo wenye magonjwa sugu kuachana na maneno ya...

ElimuHabari

Siku ya wahasibu duniani yafana Dar

WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...

Habari Mchanganyiko

Halmashauri zisimamie miradi shirikishi ya misitu

  HALMASHAURI za Wilaya zenye vijiji vinavyotekeleza miradi ya usimamizi shirikishi wa misitu na biashara endelevu ya mazao ya misitu nchini zimetakiwa kufanya...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aeleza mipango kuondoa uhaba wa maji

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mipango ya sekta ya maji, ili kuongeza...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka wananchi wazoee tozo “ile kitu bure kidogokidogo itaondoka”

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wazoee tozo zinazotozwa katika baadhi ya huduma za usafirishaji, kwa kuwa barabara za kulipiwa zitajengwa nyingi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa tahadhari upungufu wa chakula, yatoa maagizo

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya upungufu wa mazao ya chakula unaosababishwa na ukame uliotokana na ukosefu...

Habari za Siasa

Wabunge wamchangia Majaliwa Sh. 5 Mil, Spika amtaka awakumbuke waliomwokoa

  MAJALIWA Jackson, mvuvi aliyesaidia zoezi la kuwaokoa manusura wa ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision Air mkoani Kagera, amechangiwa pesa kiasi...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wapinga uteuzi wa Mkurugenzi wa ZEC

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Taifa, kimeinga uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous...

Afya

Muswada Bima ya Afya kwa wote wakwama bungeni

  MUSWADA wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, umeshindwa kusomwa kwa mara ya pili bungeni jijini Dodoma, kutokana na mhimili huo...

error: Content is protected !!