Monday , 4 March 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Hapatoshi uchaguzi ngome vijana ACT-Wazalendo, wajitosa kumng’oa Nondo

JOTO la uchaguzi ndani ya Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, limezidi kupanda baada ya makada wake machachari kujitokeza  kutaka kumng’oa Abdul...

Habari za Siasa

Bei za mafuta zaendelea kushuka

BEI za mafuta zitakazotumika mwezi Februari 2024, zimeshuka ambapo kwa Jiji la Dar es Salaam, imeshuka kwa wastani wa Sh. 33 kwa kila...

Habari za Siasa

Makonda adai kuna watu wanapanga kumuua kwa sumu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amedai kuna watu wanapanga njama za kumuuwa kwa sumu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Samia apangua, ateua wakurugenzi taasisi za umma

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wanne katika taasisi mbalimbali ikiwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Kinana

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema mazungumzo ya maridhiano kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wacharuka bungeni sakata la umeme

SAKATA la uhaba wa umeme limeteka mjadala wa taarifa ya  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa 2023, baada ya...

Habari za Siasa

Mbunge ataka Serikali iweke ruzuku kutibu wagonjwa kisukari, tezi dume

KUTOKANA na ongezeko la wagonjwa wa kisukari na tezi dume, Serikali imetakiwa kuweka fedha za ruzuku zitakazosaidia kutibu wananchi wasiokuwa na uwezo ili...

Habari za Siasa

Wizara ya fedha yabanwa bungeni miradi ya fedha za UVIKO-19

WIZARA ya Fedha, imebanwa bungeni jijini Dodoma, juu ya hatua ilizochukua kuhusu ubadhirifu uliojitokeza katika miradi iliyotekelezwa na fedha za mkopo nafuu kutoka...

Habari za Siasa

Msuya awataka viongozi CCM kuisimamia serikali

Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilayani Kilombero, wametakiwa kuisimamia serikali ili iendelee kutekeza ilani ya uchaguzi ya chama hicho ipasavyo. Anaripoti Victor Makinda,...

Habari za Siasa

AfDB kuendeleza ushirikiano na sekta ya nishati nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya...

Habari za Siasa

Mbunge ataka vigoli kuzuiwa kuingia disko

MBUNGE wa Gando (CCM), Mussa Omar Salim, ameitaka Serikali kuweka mikakati ya kuzuia wimbi la wasichana wenye umri chini ya miaka 18 kwenda...

Habari za Siasa

Madereva bodaboda wachongewa bungeni

SERIKALI imetakiwa kuweka mikakati ya kudhibiti ajali za barabarani zinazosababishwa na uzembe wa baadhi ya madereva wa pikipiki (bodaboda), ili kunusuru maisha ya...

Habari za Siasa

CCM yamlilia Thadei Ole Mushi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemlilia kada wake, Thadei Ole Mushi, aliyefariki dunia jana tarehe 4 Februari 2024, akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amlilia Rais Namibia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Hage Gottfried Geingob kilichotokea leo Jumapili...

Habari za Siasa

Samia awaita wawekezaji, ‘sekta hii ina faifa kubwa”

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewaita wawekezaji wa sekta binafsi kuja kushirikiana na serikali katika sekta ya uchimbaji gesi asilia. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Wabunge CCM wafunguka miswada uchaguzi kupitishwa bungeni

BAADHI ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kukubali marekebisho ya sheria za uchaguzi imeonesha...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema kuwasilisha muswada binafsi bungeni kudai katiba mpya

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani, amesema anakusudia kuwasilisha bungeni muswada binafsi wa kudai ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya. Khenani amenuia...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Mwinyi alazwa hospitali

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge ataka mikopo ya halmashauri irejeshwe kuwaepusha wanawake na kausha damu

MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mwantum Zodo, ameiomba Serikali irejeshe mikopo inayotolewa na halmashauri kwa makundi maalum hususan wanawake, ili kuepusha na...

Habari za Siasa

Mbunge aichongea wizara ya maji kwa Samia, Spika atoa maagizo

MBUNGE wa Momba (CCM), Condester Sichalwe, ameichongea Wizara ya Maji kwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akidai imeshindwa kutekeleza agizo lake la kutatua...

Habari za SiasaTangulizi

Simai amjibu Rais Mwinyi “Nilisema ukweli”

NI ‘majibizano’! Ndivyo uanavyoweza kutafsiri kile kinachoendelea kati ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi na aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi amgusa Simai, “atakayejiuzulu aseme ukweli”

RAIS Dk. Hussein Mwinyi ameapisha mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni huku akiasa kwa anayeamua kujiuzulu “aseme ukweli.” Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar…(endelea). “Kujiuzulu si...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yabanwa mgawo wa umeme, yaomba uvumilivu hadi Feb. 16

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaomba Watanzania waendelee kuvumilia makali ya mgawo umeme hadi tarehe 16 Februari mwaka huu ambapo majaribio ya...

Habari za Siasa

Makamba anadi fursa za biashara, uwekezaji Italia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amenadi fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana nchini katika mkutano wa...

Habari za Siasa

Samia akabidhi boti 160 za uvuvi, vizimba vya kufugia samaki

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka wizara ya mifugo na uvuvi kushirikiana na Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri kudhibiti na kutokomeza vitendo vya uvuvi...

Habari za Siasa

Haya hapa majina ya madiwani 5 walioteuliwa na NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Madiwani Wanawake wa Viti Maalum watano kujaza nafasi wazi katika Halmashauri tano za Tanzania Bara. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati: Isiwe lazima wakurugenzi kusimamia uchaguzi

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imependekeza kwamba sheria ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani isiweke ulazima kwa...

Habari za Siasa

Vigogo 51 kikaangoni kwa kufuja fedha za miradi 274

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika kipindi cha Julai 2022 hadi Desemba...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge kuanza na miswada 3 ya uchaguzi

Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 uliopangwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia kesho tarehe 30 Januari hadi tarehe 16 Februari...

Habari za Siasa

Utoaji hati wasitishwa Arusha

KAMISHNA wa Ardhi mkoani Arusha, Geofrey Msomsojo amezuia zoezi la utoaji hati za umiliki wa ardhi, katika eneo la ekari sita, lililopo kata...

Habari za Siasa

Ujenzi bomba la mafuta safi Dar – Ndola Zambia waiva

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala wamefanya kikao...

Habari za Siasa

Tanzania kunufaika na trilioni 14 za miradi Italia

Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo...

Habari za Siasa

Bawacha wamng’ang’ania Spika Tulia sakala la kina Mdee

Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (Bawacha), limesema iwapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk....

Habari za Siasa

Makamba amwakilisha Samia mkutano wakuu wa nchi Italia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili Roma, Italia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yajifungia kuchagua watendaji wa mikoa, majimbo

IKIWA umesalia takribani mwezi mmoja kwa Chama cha ACT-Wazalendo kufanya uchaguzi wake mkuu, chama hicho kimefanya kikao cha kuteua makatibu wa mikoa na...

Habari za Siasa

Gekul aitwa mahakamani, Nondo mkalia kooni

MAHAKAMA Kuu Tanzania Masjala ndogo ya Manyara imetoa wito kwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na  Mbunge wa Babati Mjini, Pauline...

Habari za Siasa

Rais Samia aadhimisha ‘birthday’ kwa tukio hili

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameadhimisha kumbumbuku ya siku ya kuzaliwa (Birthday) kwa kushiriki kupanda miti inayotarajiwa 4720, katika eneo la ekari 35.7...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba asema upatikanaji katiba mpya mfupa mgumu

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ni mfupa...

Habari za Siasa

Biteko akagua mtambo wa Umeme Pangani, atoa maagizo TANESCO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko amefanya ukaguzi wa mitambo ya umeme inayokarabatiwa katika kituo cha umeme cha...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwinyi apangua baraza la mawaziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Baraza la Mapinduzi kwa kuteua mawaziri wapya...

Habari za Siasa

Waziri mkuu atoa agizo wasimamizi mji wa serikali

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wasimamizi na wataalamu wa ujenzi wa Mji wa Serikali jijini Dodoma wahakikishe matarajio ya ujenzi huo yanafikiwa kama...

Habari za Siasa

Maimamu Tz waipongeza Afrika Kusini kwa kuishtaki Israel ICJ

SHURA ya Maimamu Tanzania, imewasilisha pongezi zake kwa Serikali ya Afrika Kusini, kufuatia uamuzi wake wa kuishtaki Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya...

Habari za Siasa

Kinara wa mtandao wa dawa za kulevya akamatwa Boko

Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata kinara wa mtandao wa wafanyabiashara wa dawa za kulevya aina ya Cocaine....

Habari za Siasa

Tanzania, Indonesia zasaini mikataba minne ya ushirikiano

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zimesaini mikataba minne ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

RC Mongela awaaga 818 wanaohama Ngorongoro

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewahakikishia wananchi wanaohama kwa hiari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo mengine nje ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema watinga UN, RPC Dar ampa maelekezo Lissu

HATIMAYE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetinga katika ofisi za Umoja wa Mataifa (UN), jijini Dar es Salaam, baada ya kuandamana Kwa...

Habari za Siasa

Ugumu wa maisha watawala maandamano ya Chadema

Ugumu wa maisha unaotokana na kupanda kwa gharama za bidhaa muhimu, umeteka maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaisimamisha Buguruni

Chama cha Chadema kimeibua shangwe kwa baadhi ya wananchi waliokuwa maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, huku Mwenyekiti wake Freeman Mbowe akiteka...

Habari za SiasaTangulizi

Mamia wajitokeza maandamano ya Chadema, Mbowe afunguka

MAMIA ya watu wamewasili katika maeneo ya Buguruni Sheli jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki maandamano ya amani yaliyoratibiwa na Chama...

Habari za SiasaTangulizi

RC Chalamila: Samia ameruhusu maandamano Chadema

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufanya maandamano yao kwa amani...

error: Content is protected !!