Thursday , 28 March 2024

Kimataifa

Kimataifa

Kimataifa

Tinubu awaachisha kazi maofisa wa jeshi, polisi

RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amefanya mabadiliko makubwa kwa vikosi vya ulinzi jana Jumatatu na kuwasimamisha kazi wakuu wa usalama na mkuu wa...

Kimataifa

Uchomaji maiti China ni kuzuia kiashiria muhimu cha idadi ya vifo vya Covid-19

  TAIFA la China limepunguza idadi ya uchomaji maiti uliofanyika msimu wa baridi uliopita kutoka kwa ripoti ya robo mwaka. Imeripotiwa na Gazeti...

Kimataifa

Kiwango cha chini cha uhuru habari China chaongeza mashaka

  RIPOTI ya waandishi wa Habari wasiokuwa na mipaka duniani wanaosimamia tovuti ya ‘Just Earth News’ iliyotolewa mwezi Mei mwaka huu inaiweka China...

HabariKimataifaTangulizi

Ajali ya ndege Colombia: Mama aliwaambia watoto wamuache na waende kutafuta usaidizi

WANAJESHI wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya kupatikana, Wanajeshi wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya...

Kimataifa

China kutohudhuria mkutano wa Washington, ishara ya kutotoa nafuu ya deni la Sri Lanka?

  KUTOHUDHURIA kwa China katika mkutano wa kurekebisha deni la Sri Lanka huko Washington kilichoitishwa mwezi Aprili mwaka kumetoa taswira ya Beijing kuendelea...

Kimataifa

Kagame afumua tena Jeshi, awafuta kazi maofisa zaidi ya 200 wakiwemo majenerali

  RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda, pamoja na maafisa wengine 14 wa Jeshi...

Kimataifa

Urusi imelipua bwawa kuu la umeme nchini Ukraine

SERIKALI mjini Kyiv nchini, Ukraine imeushutumu utawala wa Rais Vladimir Putin wa Urusi, kwa kulipua bwawa lake kubwa katika kituo cha kuzalisha umeme...

Kimataifa

Rais Kagame afanyia mabadiliko makubwa jeshi, usalama wa taifa

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amefanye uteuzi wa wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi nchini mwake, katika mojawapo ya mabadiliko makubwa kabisa ya...

Kimataifa

Miili ya waliofariki kwenye ajali ya treni India, kukabidhiwa baada ya vipimo vya DNA

  TAKRIBANI watu 260 wamefariki na wengine karibu 650 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea nchini India, huku mamlaka zikisema, “waokoaji hawajaweza kuwapata...

Kimataifa

Kauli ya Rais wa China kuhusu ajira yawakatisha tamaa vijana

  KAULI ya hivi karibuni ya Rais wa China, Xi Jinping ya kuwataka vijana watafute kwa uchungu kwa mikono yao wenyewe imewakatisha tamaa....

KimataifaMakala & Uchambuzi

Jeshi la Sudan lasitisha mazungumzo na wanamgambo wa RSF

  JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...

Kimataifa

Wakimbizi laki mbili wa Kongo, Burundi kuhemea chakula

  SHIRIKA la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP), limetangaza kuwa zaidi ya wakimbizi laki mbili waliopo nchini Tanzania, wataanza kupokea nusu ya...

Kimataifa

Mkutano wa Quad Hiroshima waibuka na kutafuta amani na ustawi wa Indo-Pacific

  JITIHADA za mazungumzo ya Pande Nne (Quad), hazikuthaminiwa na baadhi ya nchi kwa sababu ya ubinafsi na tamaa. Imeripotiwa na mitandao ya...

KimataifaTangulizi

Mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki ya Rwanda akamatwa Afrika Kusini

  MMOJA wa watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda (1994), Fulgence Kayishema, amekamatwa nchini Afrika Kusini, baada ya msako wa zaidi...

Kimataifa

Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini China chaongezeka

  WAKATI kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana nchini China kinazidi kuongezeka ikiwa wengine mamilioni wakikaribia kuhitimu vyuo vikuu. Imeripotiwa na ANI...

Kimataifa

Kampuni za kigeni zahofia kuendelea na biashara China

OPERESHENI ya kiuchunguzi inayofanywa na Serikali ya China kwa kampuni za kigeni imeibua wasiwasi kwa kampuni hizo na kupelekea kufunga biashara zao nchini...

Kimataifa

Maofisa 110,000 wakalia koti kavu kwa ufisadi China

  CHAMA tawala cha China (CCP), kimewaadhibu zaidi ya maofisa 110,000, katika mapambano ya ufisadi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...

Kimataifa

Mahakama yaagiza akaunti 15 za mchungaji mwenye utata Ezekiel Odero kuzuiliwa

  AKAUNTI 15 zinazomilikiwa na Mchungaji mtata, Ezekiel Odero, zimeamriwa na Mahakama nchini Kenya kuzuiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zinasema, amri...

Kimataifa

Mhuhiri Mackenzie, mkewe walalamika polisi kuwanyima chakula

MHUBIRI mwenye utata kutoka nchini Kenya, Paul Mackenzie pamoja na mkewe ambao wamedaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100 ambao waliwalazimisha kufunga...

Kimataifa

Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza atawazwa rasmi

MFALME Charles wa tatu wa Uingereza ametawazwa leo Jumamosi huko Westminster Abbey kama ilivyokuwa kwa wafalme wengi wa nchi hiyo waliomtangulia. Mara ya...

Kimataifa

Mhubiri Paul Mackenzie, mkewe, wenzie 16 wafikishwa mahakamani

MHUBIRI mwenye utata wa kanisa la Good News International lililopo kaunti ya Kilifi Malindi, Kenya na mkewe Rhoda Mackenzie pamoja na watuhumiwa wengine...

Kimataifa

Uhaba wataalam wa kidijitali waitia dosari China

KUKITHIRI kwa uhaba wataalam wa kidijitali nchini China huku mahitaji ya watalaam hayo yakiongezeka wakati wa kujiimarisha kiuchumi kumetajwa kuwa ni dosari nchini...

Kimataifa

Wabunge wapitisha muswada wa ushoga, wapinga pendekezo la Museveni

BUNGE la Uganda jana Jumanne limepitisha rasimu mpya ya muswada wa kupambana na ushoga nchini humo, huku likibakisha baadhi ya vipengele ambavyo Rais...

Kimataifa

Waziri Uganda auawa na mlinzi wake

  MWANAJESHI wa Jeshi la Uganda amempiga risasi na kumuua waziri katika Serikali ya Uganda ambaye alikuwa akimlinda. Kanali mstaafu Charles Okello Engola,...

Kimataifa

Hofu ya ukosefu wa ajira yatanda China

  WAKATI Serikali ya Kikomonisti nchini China ikiweka mkakati wa kukuza ajira hofu ya vijana kukosa ajira mijini imeongezeka. Imeripotiwa na Bloomberg …...

Kimataifa

Al-Bashiru bado anashikiliwa na jeshi

  MAMLAKA ya kijeshi nchini Sudan limesema, aliyekuwa rais wa taifa hilo aliyepinduliwa Omar Hassan al-Bashir, bado yuko mikononi mwa jeshi. Aidha, jeshi...

Kimataifa

Joe Biden atangaza kuwania urais muhula wa pili

  RAIS wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa mwaka 2024. Biden mwenye umri wa miaka 80...

Kimataifa

Waliokufa kwa njaa Kenya wafikia watu 73, walifunga ili kukutana na Yesu

  IDADI ya maiti zilizofukuliwa na polisi nchini Kenya zimefikia 73. Watu hao waliofunga hadi kufa walikuwa wafuasi wa Kanisa la Good News...

Kimataifa

Ruto asema mchungaji Mackenzie ni gaidi, waliokufa wafikia 58, mwenyewe agoma kula

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto amemtaja mchungaji Paul Mackenzie kama mhalifu na gaidi kufuatia kufukuliwa kwa maiti 58 kutoka kwenye  ardhi yake...

Kimataifa

Miili ya waliojiua kwa njaa wakitaka kukutana na Yesu yafukuliwa

  POLISI nchini Kenya kwamba wamefukua miili ya watu watatu inayodhaniwa kuwa ya wafuasi wa dhehebu la kidini wanaoaminika walijiua kwa njaa, mashariki...

Kimataifa

Ongezeko la idadi ya watu India, waitishia usalama wa Beijing

  CHINA imeingia katika wasiwasi baada ya baada ya India kutangazwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya watu, ambao wanaonyesha kutishia usalama wa...

Kimataifa

400 wapoteza maisha mapigano Sudani

  MAPIGANO yaliyozuka katikati ya mwezi wa Aprili nchini Sudan tayari yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 400 na wengine zaidi ya 3,500...

Kimataifa

Rais Museven aagiza muswada wa adhabu ya kifo kwa mashoga ufanyiwe marekebisho

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wenye utata  dhidi ya mashoga na wasagaji, ambao umezungumzia adhabu ya kifo katika...

Kimataifa

Montana mbioni kupiga marufuku matumizi ya ‘Tiktok’

  JIMBO la Montana ya Marekani lipo Mbioni kupiga marufuku ya matumizi ya mtandao wa kijamii wa Kichana wa ‘TikTok.’ Gazeti la Montana...

Kimataifa

“Diplomasia ya Yuan China ni aina mpya ya mtego wa madeni

  INAELEZWA kuwa China imekuja na mkakati mpya wa kupunguza ushawishi wa Marekani pamoja na kuishusha dola kwa kuanzisha Diplomasia ya Yuan ambapo...

Kimataifa

Muuaji aliyetoroka jela Sauzi adakwa kimafia Arusha

MHALIFU wa makosa ya mauaji na ubakaji kutoka Afrika Kusini, Thabo Bester amekamatwa jijini Arusha nchini baada ya kusakwa kwa muda mrefu toka...

Kimataifa

Lori laparamia na kuua madereva bodaboda 10

WATU 10 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya lori lililokuwa likisafirisha changarawe kupoteza mwelekeo na kuparamia kijiwe cha bodaboda katika eneo lao mjini Migori...

Kimataifa

Waziri aburuzwa kortini kwa kuuza mabati ya msaada

  MAHAKAMA nchini Uganda imemfungulia rasmi mashtaka ya ufisadi na rushwa Waziri Marie Goretti Kitutu kutokana na tuhuma za kuuza mabati 14,500 ya...

Kimataifa

Rwanda yaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari

  WANANCHI wa Rwanda leo Ijumaa, tarehe 7 Aprili 2023, wanaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari, ambapo Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua...

Kimataifa

Mpango wa Ukraine, Marekani na NATO kushambulia Urusi wavuja kwenye mitandao ya kijamii

  PICHA za hati za siri kutoka Pentagon na NATO juu ya utayarishaji wa shambulio la Ukraine dhidi ya Urusi zimevuja katika mitandao...

Kimataifa

Israel yashambulia Lebanon, Gaza baada yakushambuliwa kwa roketi

  JESHI la Israel limesema kuwa limeshambulia maeneo yenye uhusiano na kundi la wapiganaji wa Palestina Hamas ndani ya Lebanon na katika Ukanda...

Kimataifa

Trump ajitetea mahakamani kesi ya ngono, alia kuhujumiwa urais

  RAIS wa zamani Marekani, Donald Trump jana Jumanne amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kumlipa mwanamke mmoja nyota wa filamu za ngono kabla...

Kimataifa

Kenya kurusha satelaiti yake ya kwanza ya uchunguzi wa dunia

  KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...

Kimataifa

Benki ya Dunia yaonesha wasiwasi juu mikopo ya China kwa Afrika

  RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...

Kimataifa

Marekani yatia mguu maaandamano Kenya, yatoa maagizo kwa Rais Ruto, Odinga

  Mabalozi kutoka nchi sita za Magharibi, zikiongozwa na Marekani, zimeonesha wasiwasi kuhusu maandamano yanayoendelea nchini Kenya na kutaka kuwepo kwa maridhiano kati...

Kimataifa

Papa Francis alazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu

  KIONGOZI wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis jana Jumatano amelazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...

Kimataifa

Nyumba ya babu yake Makamu wa Rais wa Marekani yatafutwa Zambia

  KAMALA Harris, makamu wa rais wa Marekani, amepanga kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi yeye na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo...

Kimataifa

Benki ya Uswizi mbioni kuziwekea vikwazo akaunti za siri za Wachina

  WAKATI Serikali na Benki ya Uswizi ikichukua hatua kali kwa kuzifungia akaunti za watu wa Urusi kutokana na operesheni zake za kijeshi...

Kimataifa

Netanyau asitisha mipango yenye utata marekebisho mfumo wa sheria

  WAZIRI Mkuu wa nchini Israel, Benjamin Netanyahu amesema atachelewesha sehemu muhimu ya mipango yenye utata ya kurekebisha mfumo wa sheria ambao umefanya...

Kimataifa

Raila ahutubia waandamanaji, mabomu yarindima

MSAFARA wa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga umepita katika eneo la Kawangware jijini Nairobi nchini Kenya na kupata fursa ya...

error: Content is protected !!