Sunday , 5 February 2023

Kimataifa

Kimataifa

KimataifaMichezo

Chumba alicholala Messi nchini Qatar kugeuzwa makumbusho

  CHUO kimoja nchini Qatar kimetangaza kuwa kina mpango wa kugeuza chumba ambacho staa wa Argentina, Lionel Messi alikuwa akitumia kama malazi yake...

Kimataifa

Upinzani DRC wawaponza mawaziri 3, wajiuzulu

  MAWAZIRI watatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni wanachama wa chama cha mgombea urais, Moise Katumbi wamejiuzulu leo tarehe 29...

Kimataifa

Wanajeshi wa Urusi walio vitani kuruhusiwa kugandisha mbegu zao za kiume bure

  WANAJESHI wa Urusi ambao wamekuwa katika sehemu ya harakati za operesheni za kijeshi nchini Ukraine watakuwa na haki ya kupata mbegu zao...

Kimataifa

Putin aweka marufuku uuzaji mafuta kwa nchi za magharibi

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin jana tarehe 27 Disemba, 2022 amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za...

Kimataifa

Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo kwa mauaji ya Mchina

  WANAJESHI nane na raia moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa DRC lililogubikwa na vita, wamehukumiwa kifo kwa mauaji raia mmoja wa...

Kimataifa

Mapigano ya kikabila yasababisha vifo vya watu 56 Sudan Kusini

  MAPIGANO yamesababisha vifo vya watu 56 wakati wa vurugu za siku nne katika jimbo la Jonglei mashariki mwa Sudan Kusini, baada ya...

Kimataifa

Tajiri wa Urusi afariki baada ya kuanguka dirishani nchini India

  TAJIRI wa soseji za Kirusi Pavel Antov amepatikana amekufa katika hoteli moja ya India, siku mbili baada ya rafiki yake kufa wakati...

Kimataifa

Mzozo Kosovo na Serbia waongeza hatari ya kuzuka vita

JESHI la Serbia linasema liko katika “kiwango cha juu zaidi cha utayari wa mapigano” baada ya wiki kadhaa za mvutano unaoongezeka kati ya...

Kimataifa

Karantini ya Covid kwa wasafiri China mwisho Januari

  CHINA itaondoa karantini kwa wasafiri kuanzia tarehe 8 Januari, maafisa wamesema, kuashiria mabadiliko makubwa ya mwisho kutoka kwa sera ya sifuri ya...

Kimataifa

India yatoa hadhari juu hali ya Covid nchini China.

WIZARA ya mambo ya Nje ya India (MEA) imetoa hadhari juu ya hali ya mwenendo wa ugonjwa wa Uviko-19 nchini China pamoja na...

Kimataifa

Ntakarutima wa Burundi Spika mpya EALA

  HATIMAYE Joseph Ntakarutimana kutoka nchini Burundi ameshaguliwa na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), kuwa Spika wa bunge hilo....

Kimataifa

Ukweli dhidi ya uongo: Pakistan lazima ikubali ukweli usiofurahisha kuhusu vita vya 1971

  UKWELI mchungu na historia iliyofichwa kwa makusudi juu ya Vita vya mwaka 1971 kati ya Pakistan na India vilivyosababisha kuzaliwa kwa Taifa...

HabariKimataifa

Cyril Ramaphosa ashinda jaribio jingine

RAIS wa Afrika Kusini aliyekumbwa na kashifa, Cyril Ramaphosa amechaguliwa tena kuwa kiongozi wa chama tawala cha African National Congress (ANC). Alimshinda mpinzani...

Kimataifa

Rais Marekani kufanya ziara barani Afrika

Rais wa Marekani, Joe Biden ameahidi kufanya ziara barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara ambayo itakuwa ya kwanza tangu aliposhika wadhifa wake...

Kimataifa

Kiongozi wa waasi agonga mwamba ICC

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), iliyopo mjini The Hague, nchini Uholanzi, imetupilia mbali rufaa ya kiongozi wa zamani wa waasi...

HabariKimataifa

Marekani yaanza kujiimarisha Afrika, kutoa Sh. 128.4 trilioni

  RAIS wa Marekani Joe Biden ameahidi kuimarisha uhusiano na mataifa ya Afrika, huku akitangaza kusudio la Serikali yake kutoa kiasi cha Dola...

Kimataifa

Rais Kagame akana Rwanda kuchochea vita Congo DRC

  RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amedai kwamba Serikali yake haichochei mgogoro wa kivita unaoendelea mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

HabariKimataifa

Rais Ruto, Odinga kukutana ana kwa ana Marekani

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto leo tarehe 13 Disemba, 2022 atakutana ana kwa ana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila...

Kimataifa

Marekani yajipanga kuziwekea vikwazo vipya Urusi, China

MAREKANI imepangakutangaza vikwazo vipya dhidi ya nchi zq Urusi na China kuanzia tarehe 16 Disemba, 2022 kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu...

KimataifaTangulizi

Madaktari Uganda wapiga magoti kumuomba Museveni agombea muhula wa saba

KUNDI la madaktari nchini Uganda limezua mjadala mwishoni mwa wiki baada ya kupiga magoti mbele ya Rais wa muda mrefu wan chi hiyo,...

Kimataifa

Ushawishi wa Tik Tok wafichua siri ya China ya kujihusisha kisiasa Malaysia

  WAKATI nchi ya Malaysia ikiwa kwenye uchaguzi mkuu, China inaonyesha nia ya kufanya ushawishi wa kisiasa nchini humo kupitia mtandao wa kijamii...

Kimataifa

Rais wa zamani wa China afariki dunia

  ALIYEKUWA Rais wa China, Jiang Zemin, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na matatizo ya saratani ya damu na...

Kimataifa

Masharti ya kudhibiti Covid-19 yapingwa kwa maandamano Urumqi

  KATIBU wa Chama cha Kikomunisti cha Xinjiang, Ma Xingrui alifanya ziara katika mji mkuu Urumqi kaskazini-magharibi mwa China ambako maandamano ya kupinga...

Kimataifa

Huawei rewards African cloud developers’ sky-high ambitions

Kenyan financial product Spark Money, built by wealth management startup Dvara, walked away with the first prize at the Huawei Developers Competition (HDC)...

Kimataifa

Sera ya Uviko-19 ya Beijing inavyoihamisha dunia kwenye utegemezi wa viwanda vya China

  SERA ya udhibiti ugonjwa wa Uviko-19 nchini China imetajwa kuwa sababu ya kudorora uzalishaji kwenye viwanda na kupelekea kampuni za Marekeni kuanza...

Kimataifa

Mahakama yaamuru Zuma arejeshwe gerezani

  MAHAKAMA Kuu ya Rufaa nchini Afrika Kusini jana tarehe 21 Novemba, 2022 imesema Rais wa zamani wa taifa hilo, Jacob Zuma, alipewa...

Kimataifa

Rwanda wadai kumuua mwanajeshi wa DRC

JESHI la Rwanda limedai kumuua mtu anayeaminiwa kuwa mwanajeshi kutoka nchi jirani ya DRC, katika Wilaya iliyopo mpakani ya Rubavu. Tukio hilo limejiri...

Kimataifa

Kenyatta, Kagame waitaka M23 kusitisha mapigano na kujiondoa DRC

  JUMUIYA ya Afrika Mashariki imesema Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta na Rais wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana juu ya haja...

Kimataifa

Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa haki za Xinjiang

  JOPO la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa tarehe 26 Oktoba lilishutumu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea Beijing katika...

Kimataifa

Trump atangaza kugombea urais uchaguzi wa 2024

  WAKATI kura za uchaguzi wa bunge hazijamalizika kuhesabiwa, rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza nia ya kugombea urais kwa mara...

Kimataifa

Rais Ramaphosa akalia kuti kavu

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa “atajiuzulu” iwapo atashtakiwa kwa madai ya kuficha wizi katika shamba lake la kibinafsi, kulingana na msemaji...

Kimataifa

Biden, Xi wasisitiza haja ya kupunguza migogoro

  VIONGOZI wa Marekani na China wamekutana katika hatua ambayo inalenga kutuliza joto la mzozo kati ya nchi zao. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...

Kimataifa

Shambilio la waziri mkuu wa Pakistan laongeza joto na mzozo nchini humo

SHAMBULIO dhidi Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan latoa taswira ya vugugugu na mgawanyiko nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Kimataifa

Wanandoa mbaroni kwa utapeli wa bilioni 14, ni kupitia sarafu ya kidijitali

JESHI la Polisi nchini Sri Lanka limeanzisha uchunguzi kuhusu udanganyifu mpya wa fedha ambao hadi sasa umehusisha utapeli wa Sh bilioni 14 huku...

Kimataifa

Ripoti: Chanjo za Corona zinaweza kuathiri hedhi

  WATAALAM kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya barani Ulaya (EMA) wameonya kuwa baadhi ya chanjo za Covid 19 zinaweza kusababisha akina...

Kimataifa

Mumewe Spika avamiwa, atwangwa nyundo

  IMEELEZWA kuwa Paul Pelosi, mume wa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi, amepata nafuu kutokana na upasuaji baada ya...

Kimataifa

Mtoto wa Museveni aandaa kongamano la mapinduzi, aalika viongozi kimataifa

  LUTENI Jenerali, Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema baba yake ameruhusu kufanyika kwa kongamano la vijana wazalendo, lenye...

Kimataifa

Kukutana kwangu na baba wa Xi Jinping nimejifunza haya

  KHEDROOB Thondup mtoto wa Mwanadiplomasia Gyalo Thondup, kaka mkubwa wa Dalai Lama na mwakilishi wake wa kibinafsi wa zamani nchini China, amepata...

Kimataifa

Aliyekaa nusu karne bila kuoga afariki baada ya kuoga

  MTU mchafu zaidi duniani Amou Haji aliyekaa zaidi ya miaka 50 bila kuoga amefariki duniani miezi michache baada ya kuogeshwa kwa lazima....

KimataifaTangulizi

Wahariri wataka uchunguzi mauaji ya mwandishi wa habari

CHAMA cha Wahariri nchini Kenya (KEG) kimetoa wito ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji ya kushtua ya mwanahabari wa Pakistani, Arshad Sharif. Sharif...

KimataifaTangulizi

Mwanasiasa mwenye asili ya Tanzania, Kenya aukwaa uwaziri mkuu Uingereza

  MWANASIASA wa Uingereza Rishi Sunak amechaguliwa jana tarehe 24 Oktoba, 2022 kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na atakuwa waziri mkuu ajaye,...

Kimataifa

Miguna atoa masharti kukubali uteuzi wa Ruto

WAKILI maarufu nchini Kenya, Miguna Miguna aliyerejea nchini humo Alhamisi wiki hii amesema kwamba hatokubali wadhifa wowote serikalini ikiwa utakuwa umebuniwa kinyume cha...

Kimataifa

Borris Johnson arejea kumrithi Liz Truss

  WAZIRI Mkuu wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson na aliyekuwa waziri wake wa fedha, Rishi Sunak wanaongoza katika kinyang’anyiro cha kuwania wadhifa...

KimataifaTangulizi

Zimbabwe yawa nchi ya kwanza Afrika kukubali chanjo ya VVU

ZIMBABWE imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika na ya tatu duniani kuidhinisha dawa ya kuzuia VVU iliyopendekezwa hivi karibuni na Shirika la Afya...

KimataifaTangulizi

Waziri Mkuu Uingereza ajiuzulu, avunja rekodi ya mwaka 1827

  Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss leo tarehe 20 Oktoba, 2022 amejiuzulu uongozi wa chama cha Conservative na uwaziri mkuu baada ya...

Kimataifa

China yadaiwa kuajiri wanajeshi wa zamani wa UK kuwafunza PLA

  CHINA imetajwa kuajiri  makumi ya marubani wa zamani wa Jeshi la Anga la Kifalme  la Uingereza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Jeshi...

Kimataifa

Miguna Miguna arejea nchini Kenya

Wakili Miguna Miguna, ambaye alifurushwa kutoka nchini Kenya tangu mwaka 2018, amewasili jijini Nairobi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Miguna amewasili katika...

Kimataifa

Mwanaye Museveni agomea magizo ya baba yake

  SIKU moja baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuweka wazi kwamba atamlazimisha mwanaye Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni jenerali mkuu wa...

Kimataifa

Wanne mbaroni kwa kukutwa na simu ya ofisa wa tume uchaguzi aliyeuawa

WATU wanne wamekamatwa jana tarehe 18 Oktoba, 2022 baada ya kupatikana na simu ya mkononi ya Daniel Musyoka – Ofisa wa Tume Huru...

Kimataifa

Mwanaye Museveni awapiga mkwara wapinzani, ‘nitawashinda baba akistaafu’

  MTOTO wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amezua mjadala mpya nchini Uganda kwa kudai kuwa ndiye rais anayefuata wa nchi...

error: Content is protected !!