Kimataifa
WAKILI wa Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kutwaa mali mbalimbali zinazohusishwa na familia mwanasiasa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023RAIS wa Marekani Joe Biden amesisitiza kuwa ataendelea kumwita Rais wa China Xi Jinping ‘Dikteta.’ Imeripotiwa na VOA … (endelea). Biden alitoa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023WATU takribani 31 wamepoteza maisha huku kadhaa wakijeruhiwa, baada ya mtungi wa gesi ya kupikia kulipuka katika mgahawa wa Fuyang, ulioko mjini Yinchuan...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amefanya mabadiliko makubwa kwa vikosi vya ulinzi jana Jumatatu na kuwasimamisha kazi wakuu wa usalama na mkuu wa...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023TAIFA la China limepunguza idadi ya uchomaji maiti uliofanyika msimu wa baridi uliopita kutoka kwa ripoti ya robo mwaka. Imeripotiwa na Gazeti...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023RIPOTI ya waandishi wa Habari wasiokuwa na mipaka duniani wanaosimamia tovuti ya ‘Just Earth News’ iliyotolewa mwezi Mei mwaka huu inaiweka China...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023WANAJESHI wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya kupatikana, Wanajeshi wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023KUTOHUDHURIA kwa China katika mkutano wa kurekebisha deni la Sri Lanka huko Washington kilichoitishwa mwezi Aprili mwaka kumetoa taswira ya Beijing kuendelea...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda, pamoja na maafisa wengine 14 wa Jeshi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023SERIKALI mjini Kyiv nchini, Ukraine imeushutumu utawala wa Rais Vladimir Putin wa Urusi, kwa kulipua bwawa lake kubwa katika kituo cha kuzalisha umeme...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amefanye uteuzi wa wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi nchini mwake, katika mojawapo ya mabadiliko makubwa kabisa ya...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023TAKRIBANI watu 260 wamefariki na wengine karibu 650 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea nchini India, huku mamlaka zikisema, “waokoaji hawajaweza kuwapata...
By Mwandishi WetuJune 4, 2023KAULI ya hivi karibuni ya Rais wa China, Xi Jinping ya kuwataka vijana watafute kwa uchungu kwa mikono yao wenyewe imewakatisha tamaa....
By Mwandishi WetuJune 2, 2023JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023SHIRIKA la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP), limetangaza kuwa zaidi ya wakimbizi laki mbili waliopo nchini Tanzania, wataanza kupokea nusu ya...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023JITIHADA za mazungumzo ya Pande Nne (Quad), hazikuthaminiwa na baadhi ya nchi kwa sababu ya ubinafsi na tamaa. Imeripotiwa na mitandao ya...
By Mwandishi WetuMay 28, 2023MMOJA wa watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda (1994), Fulgence Kayishema, amekamatwa nchini Afrika Kusini, baada ya msako wa zaidi...
By Mwandishi WetuMay 25, 2023WAKATI kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana nchini China kinazidi kuongezeka ikiwa wengine mamilioni wakikaribia kuhitimu vyuo vikuu. Imeripotiwa na ANI...
By Mwandishi WetuMay 24, 2023OPERESHENI ya kiuchunguzi inayofanywa na Serikali ya China kwa kampuni za kigeni imeibua wasiwasi kwa kampuni hizo na kupelekea kufunga biashara zao nchini...
By Mwandishi WetuMay 17, 2023CHAMA tawala cha China (CCP), kimewaadhibu zaidi ya maofisa 110,000, katika mapambano ya ufisadi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023AKAUNTI 15 zinazomilikiwa na Mchungaji mtata, Ezekiel Odero, zimeamriwa na Mahakama nchini Kenya kuzuiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zinasema, amri...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023MHUBIRI mwenye utata kutoka nchini Kenya, Paul Mackenzie pamoja na mkewe ambao wamedaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100 ambao waliwalazimisha kufunga...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023MFALME Charles wa tatu wa Uingereza ametawazwa leo Jumamosi huko Westminster Abbey kama ilivyokuwa kwa wafalme wengi wa nchi hiyo waliomtangulia. Mara ya...
By Mwandishi WetuMay 6, 2023MHUBIRI mwenye utata wa kanisa la Good News International lililopo kaunti ya Kilifi Malindi, Kenya na mkewe Rhoda Mackenzie pamoja na watuhumiwa wengine...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023KUKITHIRI kwa uhaba wataalam wa kidijitali nchini China huku mahitaji ya watalaam hayo yakiongezeka wakati wa kujiimarisha kiuchumi kumetajwa kuwa ni dosari nchini...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023BUNGE la Uganda jana Jumanne limepitisha rasimu mpya ya muswada wa kupambana na ushoga nchini humo, huku likibakisha baadhi ya vipengele ambavyo Rais...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023MWANAJESHI wa Jeshi la Uganda amempiga risasi na kumuua waziri katika Serikali ya Uganda ambaye alikuwa akimlinda. Kanali mstaafu Charles Okello Engola,...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023WAKATI Serikali ya Kikomonisti nchini China ikiweka mkakati wa kukuza ajira hofu ya vijana kukosa ajira mijini imeongezeka. Imeripotiwa na Bloomberg …...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023MAMLAKA ya kijeshi nchini Sudan limesema, aliyekuwa rais wa taifa hilo aliyepinduliwa Omar Hassan al-Bashir, bado yuko mikononi mwa jeshi. Aidha, jeshi...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023RAIS wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa mwaka 2024. Biden mwenye umri wa miaka 80...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023IDADI ya maiti zilizofukuliwa na polisi nchini Kenya zimefikia 73. Watu hao waliofunga hadi kufa walikuwa wafuasi wa Kanisa la Good News...
By Mwandishi WetuApril 25, 2023RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto amemtaja mchungaji Paul Mackenzie kama mhalifu na gaidi kufuatia kufukuliwa kwa maiti 58 kutoka kwenye ardhi yake...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023POLISI nchini Kenya kwamba wamefukua miili ya watu watatu inayodhaniwa kuwa ya wafuasi wa dhehebu la kidini wanaoaminika walijiua kwa njaa, mashariki...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023CHINA imeingia katika wasiwasi baada ya baada ya India kutangazwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya watu, ambao wanaonyesha kutishia usalama wa...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023MAPIGANO yaliyozuka katikati ya mwezi wa Aprili nchini Sudan tayari yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 400 na wengine zaidi ya 3,500...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wenye utata dhidi ya mashoga na wasagaji, ambao umezungumzia adhabu ya kifo katika...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023JIMBO la Montana ya Marekani lipo Mbioni kupiga marufuku ya matumizi ya mtandao wa kijamii wa Kichana wa ‘TikTok.’ Gazeti la Montana...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023INAELEZWA kuwa China imekuja na mkakati mpya wa kupunguza ushawishi wa Marekani pamoja na kuishusha dola kwa kuanzisha Diplomasia ya Yuan ambapo...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023MHALIFU wa makosa ya mauaji na ubakaji kutoka Afrika Kusini, Thabo Bester amekamatwa jijini Arusha nchini baada ya kusakwa kwa muda mrefu toka...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023WATU 10 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya lori lililokuwa likisafirisha changarawe kupoteza mwelekeo na kuparamia kijiwe cha bodaboda katika eneo lao mjini Migori...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023MAHAKAMA nchini Uganda imemfungulia rasmi mashtaka ya ufisadi na rushwa Waziri Marie Goretti Kitutu kutokana na tuhuma za kuuza mabati 14,500 ya...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023WANANCHI wa Rwanda leo Ijumaa, tarehe 7 Aprili 2023, wanaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari, ambapo Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023PICHA za hati za siri kutoka Pentagon na NATO juu ya utayarishaji wa shambulio la Ukraine dhidi ya Urusi zimevuja katika mitandao...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023JESHI la Israel limesema kuwa limeshambulia maeneo yenye uhusiano na kundi la wapiganaji wa Palestina Hamas ndani ya Lebanon na katika Ukanda...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023RAIS wa zamani Marekani, Donald Trump jana Jumanne amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kumlipa mwanamke mmoja nyota wa filamu za ngono kabla...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023Mabalozi kutoka nchi sita za Magharibi, zikiongozwa na Marekani, zimeonesha wasiwasi kuhusu maandamano yanayoendelea nchini Kenya na kutaka kuwepo kwa maridhiano kati...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KIONGOZI wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis jana Jumatano amelazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KAMALA Harris, makamu wa rais wa Marekani, amepanga kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi yeye na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023