Tuesday , 7 May 2024

Month: October 2018

Habari Mchanganyiko

Lugha tatizo utafiti wa kilimo cha umwagiliaji

WATAFITI kutoka Vyuo vikuu mbalimbali nchini wametakiwa kutafsiri tafiti zinazofanyika kwa lugha nyepesi ili kuweza kutumika na kutatua matatizo yanayopatikana kwenye maeneo mbalimbali...

Elimu

Walimu wakana kumuua mwanafunzi

WALIMU wa Shule ya Msingi Kibeta, Respicius Mtaganzira na Herieth Gerald wanaotuhumiwa kumuua kwa kukusudia aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo, Sperius Eradius, wamekana...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu astukia ufisadi Dodoma

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu amestukia ufisadi wa Sh. 1.2 bilioni  katika sekta ya kilimo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akiwa kwenye ziara  yake...

Michezo

Ammy Ninje Mkurugenzi wa Ufundi TFF

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemteuwa kocha Ammy Ninje kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Ufundi ndani ya shirikisho hilo leo Oktoba 22,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaja na kibano cha AZAKI

SERIKALI imezikemea baadhi ya asasi za Kiraia ambazo zimekuwa zikitumia vibaya fedha za ruzuku zinazotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti...

Elimu

Prof. Ndalichako aokoa jahazi UDSM

PRESHA imeshuka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wanafunzi 682 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliofutiwa usajili kutakiwa kurejeshwa. Anaandika Regina Mkonde …...

Habari za Siasa

Godbless Lema aitikia wito wa polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameitikia wito wa Jeshi la Polisi uliomtaka kuwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha bila kukosa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

January Makamba akamatwa, kisa kutekwa kwa MO

JESHI la Polisi nchini, jana lilimhoji kwa saa kadhaa, January Makamba, kufuatia madai kuwa alikuwa chanzo kikuu cha taarifa za kutekwa kwa mfanyabiashara...

Habari za Siasa

Lema mikononi mwa polisi Arusha

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha ametakiwa kufika Polisi Arusha leo tarehe 21 Oktoba 2018 kabla hakujakucha. Anaripoti Mariam Seleman … (endelea). Mpaka sasa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wizara ya Kilimo yapata pigo, watumishi watano wafariki ajalini

WATUMISHI watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Njirii, Manyoni mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo aitwa Singida, wazee wataka kufanya yao

MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya...

Habari za Siasa

Mkurugenzi Dodoma ajitosa migogoro ya ardhi

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema  migogoro yote ambayo inatokana na kero za ardhi ndani ya jiji ni lazima itatuliwe kwa mujibu...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu kufungua maonyesho ya Azaki

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki la Asasi za kiraia  nchini leo ambapo zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 400...

Makala & UchambuziTangulizi

Ya TANU, Afro Shirazi sio ya CCM

UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...

Habari za Siasa

Chadema, serikali wavimbiana

SERIKALI mkoani Simiyu imepiga marufuku kufanyika Mkutano wa ndani wa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) kesho tarehe 21 Oktoba 2018, hata hivyo...

Afya

Mabinti waongoza kupata maambukizi mapya ya VVU

KUNDI la vijana wa kike wenye umri kuanzia miaka 10 hadi 24 limetajwa kuongoza kwa kupata maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (UKIMWI)....

Michezo

Hiki hapa kilichomuua Mashaka wa ‘Kaole’

RAMADHANI Mrisho Ditopile, msanii wa maigizo katika Kundi la ‘Kaole Sanaa Group’ amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 20 Oktoba 2018 katika hospitali...

Habari Mchanganyiko

Silaha za kivita zakutwa kwenye gari lililomteka Mo

MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema silaha ya kivita aina ya AK-47, pisto tatu pamoja na risasi 19 zimekutwa katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo Dewji apatikana, awashukuru Watanzania

MFANYABIASHARA Bilionea nchini akiyetekwa na watu wasiojulikana Mohammed Dewji ‘Mo’ apatikana alfajiri ya leo akiwa hai. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kupitia mtandao...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Lema, Lissu njia panda, wamvaa IGP Sirro

PICHA ya gari iliyoibuliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo tarehe 19 Oktoba 2018 kwamba ndilo lililotumika kumteka...

Habari Mchanganyiko

URA Saccos watakiwa kuanzisha viwanda

SERIKALI imeushauri Ushirika wa Kuweka na kukopa cha Polisi Tanzania (URA-SACCOS) kuona haja ya kuingia katika uwekezaji kwa kuanzisha viwanda vidogo vitakavyosaidia mambo...

Michezo

Rais Magufuli aichangia ‘Taifa Stars’ mil 50

RAIS John Magufuri ameichangia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kiasi cha Sh. 50 milioni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata...

Michezo

Rais Magufuli: Mkifungwa watasema nimewapa mkosi

RAIS John Magufuli amewataka wachezaji wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kuifunga timu ya taifa ya Lesotho katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro asema uchunguzi sio sawa na kubeba ‘changudoa’

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amesema suala la kufanya uchunguzi sio sawa na kwenda barabarani na kumkuta mwanamke anayefanya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Gari lililomteka MO hili hapa

MKUU wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro amesema polisi wamefanikiwa kumtambua dereva na  gari lililohusika katika tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu...

Habari Mchanganyiko

Isaac Gamba afariki dunia

ALIYEWAHI kuwa Mtangazaji wa Radio One na ITV, ambaye baadaye alijiunga na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani (DW), Isaac Gamba amefariki dunia mjini...

Habari Mchanganyiko

Mvua kubwa yatabiriwa Dar, Pwani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini,( TMA) imetahadharisha ujio wa mvua kubwa kuanzia tarehe 23 Novemba 2018 hadi Aprili 2019, katika mikoa mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Mwanafunzi afariki kwa kujinyonga Mwanza

ALIYEKUWA Mwanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya Sekondari Sengerema mkoani Mwanza, Ayoub Yahya (19) amekutwa amefariki dunia baada ya kujinyonga asubuhi...

Habari Mchanganyiko

‘Sugar Dady’ achoma moto nyumba 12, kisa wivu wa mapenzi

POLISI mjini Mombasa nchini Kenya inamtafuta baba mmoja (40) anayetuhumiwa kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake iliyoko maeneo ya Magongo, kutokana na wivu...

Habari za SiasaTangulizi

Utetezi wa Kubenea, Komu Chadema huu hapa

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea pamoja na wa Moshi Vijijini, Anthony Komu wametoa ufafanuzi wao kuhusu sauti iliyosambaa katika mitandao ya kijamii hivi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Komu wapewa onyo kali, wawekwa chini ya uangalizi

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewapa onyo kali wabunge wake Saed Kubenea wa Ubungo na Anthony Komu wa Moshi...

Habari Mchanganyiko

Vigogo Acacia wasomewa mashtaka 39

VIGOGO katika kampuni ya madini ya Acacia, akiwemo aliyekuwa Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Mshauri wa Serikali ndani ya kampuni hiyo, Alex...

Afya

Serikali yazitoa kifungoni hospitali za Marie Stopes

SERIKALI imeruhusu hospitali na zahanati za Shirika la Marie Stopes kuendelea kutoa huduma baada ya kufungiwa wiki kadhaa zilizopita kutokana na kukiuka miongozo...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Komu waanza kuhojiwa na Kamati Kuu Chadema

WABUNGE Saed  Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini) wameanza kuhojiwa na Kamati Kuu ya Chadema katika kikao cha kamati hiyo kinachoendelea leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Radi yaua wanafunzi sita Geita

SHULE ya Msingi Emaco Vision English Medium ya mjini Geita mkoa wa Mwanza imepata pigo baada ya kuondokewa na wanafunzi wake sita waliofariki...

Michezo

Hans Poppe aachiwa kwa dhamana  

BAADA ya kufikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka mawili, hatimaye mwenyekiti wa kamati ya usajiri wa klabu ya Simba...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yakomaa Umeya wa Jiji Dar, serikali yasalimu amri

VUTA nikuvute kwenye Uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam jana imesababisha serikali kuahirisha uchaguzi huo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za Siasa

Chadema wataka wachunguzi wa kimataifa sakata la MO

CHAMA cha Chadema kimeitaka serikali kuruhusu wachunguzi wa kimataifa kuchunguza tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ lililofanywa  na watu wasiojulikana tarehe...

Habari Mchanganyiko

Manara achomoka sakata la MO

MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Manara pamoja na watu 19 waliokuwa wanashikiliwa kutokana na sakata la...

Michezo

Hans Pope aburuzwa mahakamani, aunganishwa na Aveva, Kaburu

ZACHARIA Hans Pope, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa kwenye kesi...

Makala & Uchambuzi

Z’bar itarejea asili yake?

HIVI ninavyojadili haja ya kuiona Zanzibar inarudia asili yake ya kuwa nchi yenye wastaarabu na iliyopiga hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi, kunatokea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Familia ya Dewji kutoa bil 1 kwa atakayesaidia kupatikana MO

FAMILIA ya Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ aliyetekwa tangu Alhamisi ya Oktoka 11 2018, maeneo ya Osterbay jijini Dar es Salaam, imetangaza zawadi nono...

Habari za Siasa

NEC yatangaza Uchaguzi wa Marudio Simanjiro, Serengeti

TUME ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetangaza tarehe ya Uchaguzi wa Marudio katika majimbo ya Serengeti na Simanjiro utakaofanyika tarehe 2 Desemba, 2018. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Familia ya Dewji kuvunja ukimya kutekwa kwa MO

FAMILIA ya mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ na Kampuni za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo wanatarajia kuvunja ukimya juu ya kutekwa kwa bilionea...

Habari MchanganyikoTangulizi

DART yatoa tamko kuhusu hujuma za madereva wa Udart

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema madereva wa kampuni ya mtoa huduma, (Udart) waliohusika kufanya hujuma ya kuzuia mabasi yaliyokuwa yameegeshwa katika...

Habari Mchanganyiko

Sakata la MO, Manara akamatwa

HATUA ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kusambaza habari za kutekwa kwa Mohammed Dewji (MO) kwa madai ya kutumwa na familia, sasa...

Michezo

Mkuu wa Mkoa atimua uongozi Ndanda FC

MKUU wa mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa ameamua kuuweka pembeni uongozi wa klabu ya Ndanda FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: CCM kuna wezi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, ndani ya chama chake amekuta wezi. Anaandika Faki Sosi…(endelea). Na kwamba,...

Habari za Siasa

Tukio la kutekwa kwa MO Dewji laiibua LHRC

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la kupotea kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji lililotokea jana alfajiri katika hoteli ya Colosseum...

Habari Mchanganyiko

Mil 3.9 kujenga vyoo Morogoro

JUMLA ya Sh. 3.9 milioni zimekusanywa na wanavijiji wa vijiji vinne vya kata ya Tomondo wilayani Morogoro na kutatua tatizo la uhaba wa...

error: Content is protected !!