September 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Familia ya Dewji kuvunja ukimya kutekwa kwa MO

Mohamed Dewji 'MO Dewji'

Spread the love

FAMILIA ya mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ na Kampuni za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo wanatarajia kuvunja ukimya juu ya kutekwa kwa bilionea huyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Mkutano huo na waandishi wa habari utafanyika leo tarehe 15 Oktoba, 2018, saa 6.30 mchana katika ofisi za MeTL zilizopo jengo la Golden Jubilee, Posta jijini Dar es Salaam.

Baba wa ‘Mo’ Gullam Dewji amethibitisha uwepo wa mkutano huo na waandishi wa habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi.

error: Content is protected !!