February 28, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mo Dewji apatikana, awashukuru Watanzania

Mohamed Dewji 'MO Dewji'

Spread the love

MFANYABIASHARA Bilionea nchini akiyetekwa na watu wasiojulikana Mohammed Dewji ‘Mo’ apatikana alfajiri ya leo akiwa hai. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).

Kupitia mtandao wa Twitter MeTL Group, Mo ameandika kuwa amerejea salama na kwamba anamshukur mwenyezi Mungu.

“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi Salama Nyumbani nashukuru watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao.

“Nashukuru Mamlaka zote ikiwemo Jeshi la Polisi zilizfanya kazi kuhakikisha narudi salama.”

Baba mzazi wa Mo amethibitisha kuwa Mwanawe amerejea nyumbani salama.

Mo alitekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11

Collosium Hotel.

 

error: Content is protected !!