Friday , 17 May 2024

Month: June 2022

Habari Mchanganyiko

Treni yapata ajali Tabora, mabehewa 6 yaanguka

  TRENI ya abiria kutoka Kigoma kwenda jijini Dar es Salaam leo Jumatano tarehe 22 Juni 2022 imepata ajali eneo la Kata ya...

Kimataifa

Rais wa Malawi amng’oa Makamu wake kwa tuhuma za ufisadi

  RAIS wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua makamu wake Saulos Chilima mamlama yote aliyokabidhiwa, baada ya kutajwa katika kashfa ya ufisadi iliyohusisha kandarasi...

Kimataifa

Wafanyakazi wa ushuru Kenya kuvaa kamera kuzuia rushwa

  MAMLAKA ya Mapato nchini Kenya (KRA), imesema kuwa itaanza kutumia kamera zitakazovaliwa na wafanyakazi wake ili kushughulikia tatizo la wizi wa ushuru...

Habari za Siasa

Mbunge akataa taarifa ya Waziri kuhusu sakata la loliondo,

  MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, amekataa kupokea taarifa ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, iliyoeleza kuwa...

Habari Mchanganyiko

NGO’s zaomba Serikali iwape nafasi wadau sakata Ngorongoro

  BARAZA la NGO’s la Taifa, limeiomba Serikali kuzipa nafasi taasisi hizo zishauriane na wadau wake ili kutoa ushauri wa namna bora ya...

Habari Mchanganyiko

DAWASA yawaita wakazi Buza iwaunganishie maji

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) nchini Tanzania, imewaomba wananchi wa Mtaa wa Amani, Kata ya Buza...

Habari za Siasa

Mbunge CCM awatukana wenzake bungeni ‘pumbavu kabisa’

  MBUNGE wa Viti Maalum kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lucy Mayemba amechangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23...

Habari Mchanganyiko

Ufaransa yaeleza inavyotumia njia jumuishi uhifadhi

  BALOZI wa Ufaransa nchini Tanzania, Nabil Hajlaoui, amesema kwa miaka 60 ya uhifadhi katika nchi hiyo wamekuwa wakitumia njia ya kushirikisha wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbatia wafikisha kilio chao kwa Rais Samia, Dk. Mwinyi

  MGOGORO wa kiuongozi unaoendelea ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi umeendelea kukitikisa na upande wa Mwenyekiti, James Mbatia umeibuka na kuzitaka mamlaka zote...

Habari za Siasa

Mbunge apinga watumishi waliotenguliwa kushushwa mishahara

  MBUNGE wa jimbo la Kilwa Kusini nchini Tanzania, Ally Kassinge, amepinga hatua ya Serikali kutaka kushusha mishahara ya watumishi wanaomaliza nafasi zao...

Habari za SiasaTangulizi

Ni kina Mdee au Chadema leo

  HATIMA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kuendelea kuupigania ama kuutema, ubunge wao wa Viti Maalum, wanaodaiwa kuupata kinyemela, utajulikana leo...

Habari Mchanganyiko

Waziri Aweso awaonya RUWASA, atoa maagizo

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amewataka Mameneja wa Wilaya na Mikoa wa Mamlaka za Usambazaji Maji Vijijini (RUWASA) kufanya kazi...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuiwezesha DMI majengo, vifaa vya kisasa

  SERIKALI imeahidi kukiwezesha Chuo cha Bahari cha Dar es Salaam (DMI) kwa miundombinu bora na vifaa vya kisasa vya kufundishia ili kiweze...

Habari Mchanganyiko

Wakuu FDC wapewa ujumbe

  WAKUU wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) nchini Tanzania wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali...

Habari za Siasa

Mbunge Chikota aonesha njia zao la Korosho

  MBUNGE wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri Serikali ichukue maamuzi magumu wa kufufua viwanda 12 vya kubangua korosho kwa kuwa waliopewa wamegeuza...

Habari Mchanganyiko

Fedha za CSR za Barrick zafanikisha miradi ya Elimu, Afya  Nyang’hwale

  MGODI wa Barrick Bulyanhulu uliopo mkoani Geita umefanikiwa kuboresha miundombinu ya elimu, afya na maji kutokana na fedha za kusaidia huduma za...

HabariHabari Mchanganyiko

Serikali kuiwezesha DMI vifaa vya kisasa na majengo

  SERIKALI imeahidi kukiwezesha Chuo cha Bahari (DMI), cha jijini Dar es Salaam kwa miundombinu bora na vifaa vya kisasa vya kufundishia ili...

Kimataifa

Mgahawa maarufu Hong Kong wazama

  MGAHAWA kutoka Hong Kong uliofanya kazi takribani miaka 50 , umezama siku chache baada ya kuvutwa kutoka bandarini. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...

Habari za Siasa

Waziri, Mbunge waparuana kisa Dodoma kuongoza kwa dhulma

  WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amesema mkoa wa Dodoma sasa ndio mkoa unaoongoza kitaifa kwa migogoro ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yasaidia serikali kukusanya trilioni 8.6

BENKI ya NMB nchini Tanzania kupitia mifumo yake mbalimbali ya malipo imesaidia Serikali ya nchi hiyo kukusanya Sh.8.6 trilioni kupitia Mfumo wa Kielektroniki...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya alia na kikokotoo kipya ataka kirudishwe asilimia 50

  MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Esther Bulaya ameitaka Serikali kuachana na kikokotoo kipya cha mafao kinachompa mstaafu asilimia 33 ya mafao yake...

Kimataifa

Waziri Mkuu ajiuzulu, Rais amgomea

  WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Elisabeth Borne amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Emmanuel Macron ambaye naye amepinga uamuzi huo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Sanga amwomba Rais kuingilia kati uagizaji mbolea

  MBUNGE wa jimbo la Makete nchini Tanzania, Festo Sanga, amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia katika suala la uagizaji mbolea kutokana na...

Kimataifa

Mauzo ya figo yaongezeka mtandaoni

  HOSPITALI kuu ya umma kutoka nchini Kenya, imeripoti kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaoulizia nakujitolea kuuza figo zao....

Michezo

Simba waachana na Pascal Wawa, kumuaga Alhamisi

  BENKI kisiki wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Pascal Wawa ametangazwa kuachana na timu hiyo aliyoitumikia kwa...

Habari za Siasa

Mbunge ataka nyongeza bajeti ya mazingira

  MBUNGE Viti Maalum, Mariam Omary amesema bajeti inayotengwa kwa ajili ya sekta ya mazingira ni ndogo, hivyo Serikali ianzishe sheria itakayoelekeza viwanda...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge waibana Serikali gharama matibabu figo, Spika atoa maagizo

  WABUNGE wa viti maalum, wamehoji mkakati wa Serikali kupunguza gharama za matibabu ya ugonjwa wa figo ili kunusuru wagonjwa wasiokuwa na uwezo...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya aivaa Takukuru akisema ‘gerezani si pikiniki’

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania,Lengai Ole Sabaya amecharuka mahakamani na kudai mashtaka dhidi yake ni ya...

Kimataifa

Viongozi wa Afrika Mashariki watoa wito kusitishwa mapigano DR Congo

  VIONGOZI wa nchi za Afrika Mashariki wametoa wito wa kusitisha mapigano pamoja na uhasama kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa...

Habari za Siasa

Kamati Kuu CCM kukutana Dodoma

  KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumanne, tarehe 21 Juni 2022 inakutana jijini...

Habari Mchanganyiko

Katibu Mkuu Uchukuzi awataka watumishi kuwa wabunifu

SERIKALI imetoa wito kwa watumishi wa Taasisi zilizo chini ya Sekta ya Uchukuzi kuongeza ufanisi na ubunifu ili kuongeza tija kazini na kukuza...

Habari

Prof. Mbarawa kufungua kongamano la uchumi wa bluu

  CHUO cha Bahari (DMI), kimewataka Watanzania kuchangamkia fursa ya mafunzo ya fani ya ubaharia kwa kuwa ina soko kubwa la ajira ndani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Marekebisho ya sheria: Wanahabari walilia uhuru, maslahi

  IKIWA vuguvugu la marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari likizidi kuongezeka nchini Tanzania, wanahabari wamepaza sauti zao kuhusu uboreshwaji wa uhuru...

Habari za Siasa

Bunge lacharuka mikopo makundi maalumu isipunguzwe

  WABUNGE wameiomba Serikali isipunguze kiwango cha mikopo inayotolewa na halmashauri kupitia mapato ya ndani kwa watu wa makundi maalum. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Balozi Mulamula apokea hati za Balozi Japan

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amepokea nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi...

Habari Mchanganyiko

Watatu mbaroni tuhuma kumjeruhi mtendaji Kata Morogoro

  JESHI la Polisi Mkoa wa Morogogo nchini Tanzania linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumshambulia Geoge Kaloya, ofisa mtendaji wa Kijiji ya...

Habari za SiasaTangulizi

VIDEO: Loliondo yamuibua Ole Sendeka bungeni, Spika na waziri wamtuliza

  MBUNGE wa Simanjiro (CCM) nchini Tanzania, Christopher Ole Sendeka ameibua sakata la wilaya nne za mikoa ya Arusha na Manyara ambazo zinaweza...

Habari Mchanganyiko

ZIC Yahitimisha Maadhimisho Ya Miaka 53 Kwa Kuzindua “ZIC App’’

SHIRIKA la Bima Zanzibar (ZIC) limehitimisha maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwake kwa kuzindua program ya online (Online App) ijulikanayo kama ZIC...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina alilia kamati ya Bunge kuchunguza Bwawa la Nyerere

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpinga, ameliomba Bunge liunde tume kwa ajili ya kuchunguza masuala mbalimbali yenye tija kwa taifa, ikiwemo Mradi wa...

Habari za Siasa

Mbunge ashauri mabadiliko Sheria kuruhusu mifumo ya fedha ya Kiislamu

  MBUNGE wa jimbo la Wawi nchini Tanzania, Bakari Hamad Bakari, ameitaka Serikali kufanya marekebisho ya Sheria ili kuruhusu mfumo wa fedha wa...

Habari za Siasa

Sijawahi kupata heshima kama hii: Prof. Kabudi amshukuru Samia

  MBUNGE wa jimbo la Kilosa nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumteua kuwa Mwenyekiti wa Timu Maalumu...

Habari za Siasa

Mbunge asema malengo na mipango haviendani ukarabati viwanja

  MBUNGE wa jimbo la ziwani nchini Tanzania, Ahmed Juma Ngwali, amesema mpango wa Serikali wa kuweka nyasi bandia katika viwanja vitano, hauendani...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Wabunge Tanzania wakiijadili Bajeti ya Serikali 2022/23

  MKUTANO wa saba, Kikao cha 47 cha Bunge la Tanzania kinaendelea leo Jumatatu tarehe 20 Juni 2022 jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Safari ya NMB kujenga maghala Tanzania yaanza

BENKI ya NMB nchini Tanzania imesaini randama ya makubaliano kati yake na Ofisi ya Mrajisi wa Vyama vya Ushirika wa kujenga maghala kwenye...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Tusizalishe ‘panya road’ wanatusumbua!

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea vizuri watoto wao kwani wasipolelewa ipasavyo watazalisha ‘panya road’ wengi, ambao wanaisumbua...

HabariTangulizi

CUF, CHADEMA walia Katiba Mpya kutotengewa fungu bajeti 2022/203

VYAMA vya CUF na Chadema vimesema Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita na Waziri wa Fedha na Mipango,...

HabariTangulizi

Prof. Lipumba: Waziri fedha anarejesha kodi ya kichwa kinyemela

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi- CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita...

Habari Mchanganyiko

ZIC yatoa msaada wa vifaa tiba hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saada Mkuya hii jana tarehe 18 Juni, 2022 amewaongoza maofisa waandamizi pamoja na wafanyakazi...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yataka mapendekezo kikosi kazi cha Rais yaheshimiwe

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri maoni na mapendekezo yatakayotolewa na Kikosi Kazi kilichoundwa na Rais Samia kwa ajili ya kutafuta muarobaini wa changamoto za...

HabariHabari Mchanganyiko

“Tume huru kwanza” yampeleka ACT-Wazalendo kigogo Chadema

KATIBU wa Chadema mkoani Ruvuma, Tasilo Bathlomew Milinga, leo Jumamosi, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha ACT-Wazalendo, huku akitaja sababu zilizopelekea kuchukua uamuzi...

error: Content is protected !!