July 3, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Treni yapata ajali Tabora, mabehewa 6 yaanguka

Spread the love

 

TRENI ya abiria kutoka Kigoma kwenda jijini Dar es Salaam leo Jumatano tarehe 22 Juni 2022 imepata ajali eneo la Kata ya Malolo, Mkoa wa Tabora kwa mabehewa sita kuanguka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea).

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), Richard Abwao amesema kuhusu majeruhi na vifo bado jeshi la polisi linaendelea kufuatilia kutokana na abiria wengi kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Tabora Kitete kwa ajili ya matibabu.

Abwao amesema chanzo cha ajili hiyo mpaka sasa bado hakijulikani na ufuatiliaji bado unaendelea.

error: Content is protected !!