July 3, 2022

Uhuru hauna Mipaka

VIDEO: Loliondo yamuibua Ole Sendeka bungeni, Spika na waziri wamtuliza

Mbunge wa Simanjiro (CCM) nchini Tanzania, Christopher Ole Sendeke

Spread the love

 

MBUNGE wa Simanjiro (CCM) nchini Tanzania, Christopher Ole Sendeka ameibua sakata la wilaya nne za mikoa ya Arusha na Manyara ambazo zinaweza kuathirika na wananchi wake ambao wengi ni jamii ya Masai kuahmishwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Alikuwa akichangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 leo Jumatatu, tarehe 20 Juni 2022 na kuibua mvutano baina yake, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja huku Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akiingilia kati kuweka mambo sawa.

Fuatilia video hii hali ilivyokuwa.

error: Content is protected !!