July 5, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Safari ya NMB kujenga maghala Tanzania yaanza

Spread the love

BENKI ya NMB nchini Tanzania imesaini randama ya makubaliano kati yake na Ofisi ya Mrajisi wa Vyama vya Ushirika wa kujenga maghala kwenye vyama vya ushirika nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea).

Makubaliano hayo yamesainiwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Juma Kimori na Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Nchini, Dk Benson Ndiege jijini Dodoma.

 

Picha hizi zinaonesha matukio mbalimbali wakati wa kusaini makubaliano hayo ambapo Kimori yuko kushoto.

error: Content is protected !!