Friday , 17 May 2024

Month: June 2022

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kutinga, Dk. Tulia awaruhusu kuuliza maswali

  WABUNGE wa viti maalum nchini Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wasio na chama bungeni, leo Jumatatu tarehe 27 Juni 2022 wameendelea...

HabariMichezo

Yanga waiteka Dar, Pitso awavuliwa kofia

  Klabu ya soka ya Yanga, hii leo tarehe 26 Juni 2022, ilisimamisha jiji la Dar es Salaam, kwa hafla yao ya kusherekea...

HabariMichezo

Simba mambo magumu Mbeya

  KLABU ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu, kufuatia kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukubali kichapo cha bao 1-0,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamng’ang’ania Spika Tulia ajiuzulu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumapili kimemtaka Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ajiuzulu nafasi hiyo kwa kushindwa kuwatimua bungeni wabunge...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa atoa maagizo 10 kwa waajiri na waajiriwa wapya

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa (Mb) ametoa maelekezo ya msingi mbalimbali yanayopaswa...

HabariTangulizi

Haya hapa majina 16,676 ya Watanzania waliopata ajira Sekta ya Elimu, Afya

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...

HabariTangulizi

Ajira 736 kutangazwa upya baada ya kukosekana waombaji wenye sifa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa amesema nafasi 736 kada za afya zimekosa...

HabariTangulizi

16,676 kati ya 165,948 wapata ajira kada za Afya, Ualimu

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...

Habari Mchanganyiko

Gesi asilia kuinua uchumi wa wananchi

IMEELEZWA kwamba iwapo Tanzania itawekeza kwenye utafutaji na uchimbaji wa gesi asilia iliyogundulika nchini uchumi utakuwa na kupunguza ugumu wa maisha. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watu 17 wafariki dunia kwa mkanyagano ‘Night Club’

JUMLA ya watu 17 wamepoteza maisha katika klabu moja ya usiku iliyopo katika Mji wa London Mashariki nchini Afrika Kusini, kutokana na hali...

Habari Mchanganyiko

Tani 5,623 za salfa zawasili bandari Mtwara, wakulima wamshukuru Rais Samia

BANDARI ya Mtwara pamoja na wakulima wa korosho wameendelea kupata neema baada ya tarehe 24 Juni mwaka huu kupokea meli nyingine kubwa iliyobeba...

Tangulizi

Ripoti:Viwanda haviweki virutubishi

ASILIMIA 90 ya viwanda 33,000 vya kusindika vyakula vilivyofanyiwa sensa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) vimebainika kutoweka virutubishi. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

NMB yakubaliwa kuitunzaji bustani ya Forodhani Zanzibar

BENKI ya NMB imefikia makubaliano na Serikali ya Zanzibar kutunza bustani ya Forodhani Zanzibar ikiwa ni moja ya juhudi za kuunga mkono azma...

Habari Mchanganyiko

Serikali Mbeya yaziita mezani NGO’s

  KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Said Maditto, ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) na Asasi za Kiraia, kufikisha malalamiko yao...

Habari za Siasa

Viongozi CHASO wataja sababu za kuikacha kuhamia ACT-Wazalendo

  BAADHI ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (CHASO), wametaja sababu...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara kortini kwa kuisababishia Serikali hasara Bil 10.5

  WAFANYABIASHARA watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa 13 yakiwamo kukwepa kodi iliyopelekea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupata...

Habari za Siasa

LHRC yataja mwarobaini changamoto mchakato wa katiba kuvurugwa na wanasiasa

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa mapendekezo manne juu ya namna bora ya ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Kura ya Bajeti: Kina Mdee washindwa kuamua

  BAADHI ya wabunge wa viti maalum wasio na chama katika Bunge la Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wameshindwa kuamua juu ya...

Habari za Siasa

Serikali yatoa ufafanuzi watumishi kukopeshwa magari, wanaotumbuliwa

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa ufafanuzi kuhusu pendekezo lake la kuwakopesha magari watumishi wa umma, pamoja na kusitisha mishahara ya wanaovuliwa nyadhifa zao...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi wa TUDARCo wamuunga mkono Rais Samia

  WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini mkoani Dar es Salaam (TUDARCo) wameunga mkono juhudi za Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hasssan...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yataja sababu ongezeko la deni la taifa

  SERIKALI ya Tanzania, imesema ongezeko la deni la taifa linatokana na hatua yake ya kukopa fedha, kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuja na masharti mapya usajili maduka ya fedha za kigeni

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kutangaza masharti mapya ya usajili wa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni, ili kuchochea ukuaji wa biashara hiyo...

Elimu

Baada ya kufuta ada, Serikali kupitia miongozo kupunguza michango shuleni

  SERIKALI ya Tanzania, inajipanga kupitia upya miongozo ya kujiunga shule za sekondari na kidato cha tano na sita, ili kupunguza masuala yanayoongeza...

Habari Mchanganyiko

Sekta ya mbolea kufumuliwa kudhibiti mfumuko wa bei

  WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema wizara yake inafanya maboresho katika sekta ndogo ya mbolea , ili kudhibiti mfumuko wake wa bei...

Habari za Siasa

Serikali yataja sababu za kuondoa kikokotoo cha mafao 50%

  SERIKALI ya Tanzania, imesema haitarudisha kikokotoo cha zamani cha mafao ya wastaafu cha asilimia 50, kwa kuwa hakileti usawa katika ugawaji wa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yasitisha kuwapa mikopo ya halmashauri wamachinga

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali imefuta pendekezo lake kuwapa wamachinga asilimia tano kati ya 10, ya fedha...

Habari Mchanganyiko

Benki Ya NBC Yafungua Milango Zaidi Kwa Wafanyabiashara Wa Tanzania Na Afrika Kusini

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu utayari wake katika kufanikisha ustawi wa biashara baina ya Tanzania na Afrika kusini kupitia huduma...

Michezo

Kill Challenge 2022 kuanza kutimua vumbi Julai 15

MASHINDANO ya Kill Challenge 2022 yanayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 15 mwaka huu yakianzia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mme atuhumiwa kumuua mkewe kwa kuvunjwa vufu kwa jembe

  CHANZO cha ugomvi uliosababisha kifo cha Esther Gadeu anayedaiwa kuuawa na mumewe, Godbles Sawe kimetajwa kuwa ni madai ya wivu wa kimapenzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kutinga bungeni, wauliza maswali

  SIKU mbili kupita tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yapongeza ufufuaji mchakato Katiba Mpya

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya Kumalizika Kikao Cha Halmashauri Kuu kilichofanyika jana Dodoma,...

Habari za SiasaTangulizi

CHADEMA yamkumbusha Spika kuwaondoa bungeni wabunge 19

  CHAMA cha Chadema, kimemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumkumbusha kuhusu utekelezaji wa barua yake ya tarehe 12 Mei 2022,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yashauriwa namna ya kushawishi wananchi kuhama Ngorongoro

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kutumia njia shirikishi katika utatuzi wa mgogoro wa ardhi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha, ili wananchi watoe...

Habari za Siasa

Wabunge waijia juu Toyota Tanzania, Spika aomba majibu

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Akson, ameitaka Serikali kutoa majibu hoja ya suala la Serikali kushindwa kuagiza magari moja kwa...

Habari za Siasa

Majaliwa awatangazia neema wakazi Ngorongoro wanaohamia Msomera

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha...

Habari Mchanganyiko

THRDC yataka tume huru uchunguzi sakata la Loliondo

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ihakikishe maridhiano yanapatikana katika utatuzi wa sakata la Loliondo, kwa kuunda...

Makala & Uchambuzi

Sensa ya watu na makazi Tanzania ni zaidi ya kuhesabiwa

  NIKIWA kwa babu miaka fulani hivi nikienda kumjulia hali, tukiwa katikati ya mazungumzo yetu, babu alinishangaza kwa jinsi alivyokuwa anawajua na kuwatambua...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mhagama azindua ‘Mwalimu Spesho’ ya NMB, atoa maagizo

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora nchini Tanzania, Jenista Mhagama ametoa rai kwa Benki ya NMB...

Habari za Siasa

Spika afuta maneno ya Waziri kwenye kumbukumbu za Bunge

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson ameagiza maneno ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...

Habari Mchanganyiko

DC Ilala: Tutumie kondom kudhibiti magonjwa, uzazi wa mpango

  MKUU wa Wilaya ya Ilala (DC) jijini Dar es Salaam, Ng’wilabuzu Ludigija ameishauri jamii kutumia kondom ili kudhibiti mimba zisizotarajiwa pamoja ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee watinga bungeni, Spika awaruhusu kuuliza maswali

  LICHA ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba kufungua kesi...

Habari Mchanganyiko

Korosho zote Mtwara zanunuliwa na kusafirishwa nje

  HATIMAYE leo tarehe 22 Juni, 2022 meli ya mwisho kupitia kampuni ya Sibatanza ya nchini Vietnam imeng’oa nanga katika Bandari ya Mtwara...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yakubali kufufua mchakato Katiba mpya, kesi za kisiasa…

  KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi kina Mdee: Chadema yampa zigo AG, Spika Tulia

  BAADA ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu kuyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi ya kupinga...

Habari

Kongamano uchumi wa bluu laibua fursa lukuki

  SERIKALI imesema inaweka mazingira mazuri kuhakikisha kipaumbele kwenye fursa zilizoko kwenye uchumi wa bluu kinakuwa kwa watanzania kabla ya wageni kunyakua fursa...

ElimuHabari

CoNAS yajivunia kutoa watafiti wengi wa sayansi asilia nchini

KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...

HabariMichezo

Yanga kukabidhiwa kombe jijini Mbeya

  Mara baada ya tarehe 15 Juni 2022, kutangzwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Yanga itakabidhiwa rasmi kombe...

Kimataifa

Prince Charles, Camilla kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Madola Rwanda

  MWANAMFALME wa Wales na Duchess wa Cornwall, wamewasili nchini Rwanda katika mji mkuu wa Kigali siku ya Jumanne usiku , kabla ya...

Habari Mchanganyiko

Siku 10 operesheni kusaka wahamiaji haramu Loliondo

  KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Tanzania, Dk. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku 10 kusaka wahamiaji haramu...

HabariMichezo

Rasmi Mane amtikia Bayern

  MARA baada ya kuhudumu katika kipindi cha misimu sita, hatimaye klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza immemruhusu rasmi kuondoka kwenye klabu hiyo,...

error: Content is protected !!