August 19, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Haya hapa majina 16,676 ya Watanzania waliopata ajira Sekta ya Elimu, Afya

Spread the love

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta ya Elimu na Afya nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)

Orodha hiyo inatokana na waombaji wenye sifa waliokidhi vigezo baada ya Aprili, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan kutoa kibali cha ajira kwa kada za Ualimu na Afya, kwa ajili ya kuajiri walimu 9,800 wa shule za msingi na sekondari na wataalam wa afya 7,612;

MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU 

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA AFYA NA UALIMU JUNI, 2022.pdf

TANGAZO LA TAARIFA KWA UMMA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA JUNI 2022.pdf

KUONA MAJINA KADA ZA AFYA  BOFYA HAPA  AFYA_AJIRA_JUNI2022.pdf

KUONA MAJINA KADA YA ELIMU BOFYA HAPA  ELIMU_AJIRA_JUNI2022_compressed.pdf

 

error: Content is protected !!