July 3, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mbunge CCM awatukana wenzake bungeni ‘pumbavu kabisa’

Spread the love

 

MBUNGE wa Viti Maalum kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lucy Mayemba amechangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 akiwakosoa vikali baadhi ya wabunge wanaotaka kuonesha udhaifu wa Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Lucy amechangia bajeti hiyo leo Jumatano tarehe 22 Juni 2022 akienda mbali zaidi na kuwatukana “pumbavu kabisa” wale wote wanaotaka kumkwamisha.

Fuatilia mchango wake wote.

error: Content is protected !!