Friday , 29 March 2024
Home Habari Mchanganyiko Gladness Lugenge wa Sinza avuna Milioni 10 za Biko
Habari Mchanganyiko

Gladness Lugenge wa Sinza avuna Milioni 10 za Biko

Spread the love

MKAZI wa Sinza, jijini Dar es Salaam, Gladness Gaithan Lugenge, ameingia kwenye orodha ya mamilionea baada ya kushinda fedha taslimu Sh Milioni 10, kutoka kwenye bahati nasibu ya Biko inayoongoza kutoa washindi wengi, akicheza kwa kuingia live www.biko.co.tz pamoja na kuweka namba ya kampuni 505050 na kumbukumbu 2456. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Gladness alisema ni bahati kubwa kupata fedha ambazo hajawahi kuzishika tangu azaliwe, akiamini kuwa ni mwanzo mzuri katika kuyaweka sawa maisha yake kutokana na ushindi huo.

Mkazi wa Sinza, jijini Dar es Salaam, Gladness Gaithan Lugenge akiwa amezishika fedha zake Sh Milioni 10 kwa bashasha kubwa wakati alipokabidhiwa katika bank ya CRDB, Tawi la Palm Beach Primier, jijini Dar es Salaam. Picha na Mpigapicha Wetu.

Mbali na wanaocheza kwa kupitia www.biko.co.tz, pia wanaotumia simu za kawaida nao wataendelea kucheza kama zamani kwa kutumia namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu namba 2456 na wote kujishindia kuanzia sh 2500 hadi milioni tano papo kwa hapo pamoja na kuingia kwenye droo kubwa zinazofanyika kila Jumapili.

Kianzio cha kucheza Biko ni sh 1000 na kuendelea ambapo Watanzania wengi wameendelea kushinda zawadi za papo kwa hapo pamoja na kuingia kwenye droo kubwa za kushinda hadi sh milioni 40, zikiwa na lengo la kuboresha maisha ya wote wanaocheza Biko.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mtandao watetezi wa haki za mazingira Tanzania waundwa

Spread the loveMTANDAO wa watetezi wa haki za mazingira nchini Tanzania, umeundwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kapinga kuongoza usambazaji wa mitungi ya gesi 10,000 ya Taifa Gas

Spread the loveNaibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameahidi kuongoza kwa ufanisi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara, wawekezaji China waridhia kuwekeza bil. 800 katika sekta 5 nchini

Spread the loveUJUMBE wa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka Jimbo la Changzhou...

Habari Mchanganyiko

Bil. 4.42 kumaliza uhaba maji kata 2 Musoma Vijijini

Spread the loveWANANCHI wa kata za Busambara na Kiriba, Jimbo la Musoma...

error: Content is protected !!