WAKATI Tanzania Bara kesho Alhamisi, tarehe 9 Desemba 2021, inatimiza miaka 60 ya Uhuru, Watanzania wametakiwa kutorudia kosa la kuwaachia viongozi jukumu...
By Regina MkondeDecember 8, 2021ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Steven Munga, amewakingia kifua wachungaji sita....
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza amekutana kwa mazungumzo na Meya wa mji wa Dallas, Meya Eric Johsnon pamoja na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka sekta binafsi iweke kipaumbele na kuzingatia usawa wa kijinsia katika utoaji wa ajira hasa wanawake...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) limesaini mkataba wa makubaliano ya awali na Kampuni ya Suness Limited ya Italia kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia amesema kuna makundi yaliyopo ndani ya serikali ambayo yanaendekeza ubadhirifu na kugeuka kusema kwamba ufisadi na mambo ya hovyo yamerudi...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021WADAU wa ukatili wa jinsia nchini Tanzania, wameshauri waajiri wote pamoja na Serikali kuchukua hatua madhubuti ya kukomesha vitendo vya ukatili vinavyorejesha...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imeamuru Serikali ya Tanzania, imlipe fidia ya zaidi ya Sh. 50 milioni,...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MNUFAIKA wa mpango wa tatu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wa awamu ya kwanza Antusa Mchau (38), ameiomba serikali kupitia TASAF...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu wa zamani wa Lesotho, Thomas Thabane amefikishwa mahakamani anakoshitakiwa kwa mauaji ya mke wake, Lipolelo Thabane, yaliyotokea mwaka 2017. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kithuleri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo ametoa wito kwa wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini kuhakikisha...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhumuku Uchumi, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imetupilia mbali pingamizi la jamhuri la...
By Regina MkondeNovember 30, 2021Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kuhusu vitendo vya rushwa, ulaghai na utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021Katika hafla ya hisani iliyofanyika jijini Mbeya chini ya uongozi wa Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson kuelekea siku ya Ukimwi...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania, Stephen Wasira amesema, shabaha ya chuo hicho ni kutoa elimu...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeamua kuwarejesha shule watoto wote walioacha shule kwa sababu mbalimbali kama vile, utoro, sababu za kisheria...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2021Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania imetoa msaada wa maabara ya TEHAMA kwa Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa na nia ya kuibua mawazo ya...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, Angeline Mabula ameagiza watu wote wanaoishi nyumba za Shirika la Nyumba...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021JUMLA ya watu sita wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 11 wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Micheweni baada ya...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021LICHA ya janga la corona kuathirika ukopeshaji, Benki nchini Tanzania, zimeahidi kuongeza mikopo kwa ajili ya sekta binafsi kufuatia kuimarika kwa uchumi...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021MAJAJI wa Mahakama Kuu Zanzibar na mahakimu visiwani humo, wameombwa kuwa mstari wa mbele katika kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wa haki za...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MKUU wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, amewaomba wananchi watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama katika kukabiliana na...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021VIONGOZI wawili wa madhehebu ya Kikristo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo na Mkuu wa...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsi na haitavumilia aina yoyote ya ukatili wa...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021BENKI ya Exim imetangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe!’inayoendeshwa na benki hiyo ikilenga kuhamasisha watanzania kujiwekea...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mgawo wa maji jijini humo utaendelea kuwepo mpaka pale mvua zitakapoanza...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kupinga marekebisho ya Sheria ya Utekelezaji wa...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021KATIKA kipindi cha miaka mitano, Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO), imefanikiwa kutekeleza miradi...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021KAMPUNI ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC), imesema mipango yake, ifikapo mwaka 2025 iwe imezalisha megawati 200 za nishati jadidifu na megawati 500...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo Alhamisi tarehe 25 Novemba 2021, inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimeshauri wadau wa masuala ya ukatili wa kijinsia, kukaa pamoja na kupanga mikakati mipya na madhubuti...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2021MGOGORO umeibuka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya wakimshutumu Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu Fredrick...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2021RAIS Samia ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kutoa kipaumbele cha elimu ya usalama barabarani kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda kwa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozungumza kuhusu neno ‘tozo’ huwa linamgusa ndani ya moyo wake kwa sababu sasa mitandaoni wanamuita ‘Bi...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021RAIS Samia Suluhu amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kufuatilia na kumpa majibu kuhusu sababu za askari wengi...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Wizara ya Maliasili na Utalii...
By Masalu ErastoNovember 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021MKUU wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga amewashauri wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Lindi na Mtwara kujiwekea akiba sambamba...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia zaidi ya Sh.390 bilioni kujenga bwawa la kuhifadhia maji katika Kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro vijijini mkoani...
By Danson KaijageNovember 22, 2021JUMLA ya watumishi waandamizi 18 wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021MACHUNGU ya mgawo wa maji kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania yaliyodumu kwa takribani wiki tatu, yanaanza kupungua...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021WANAWAKE vijana walioko kwenye taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania, wametakiwa kumiliki na kutumia vyema mitandao ya kijamii kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021SHIRIKA la LEAD Foundation linalojihusisha na utunzaji wa mazingira mkoani Dodoma limetangazwa miongoni mwa mashirika 20, yanayoongoza katika miradi ya ustawishaji miti...
By Danson KaijageNovember 21, 2021WIZARA ya Nyumba na Maendeleo ya Makazi imenunua ndege isiyokuwa na rubani (drone) maalum kwa ajili ya upigaji picha za anga zinazowezesha...
By Danson KaijageNovember 21, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini mkoani Lindi, Said Bungara ‘Bwege’, amelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akiugua kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka wasimamizi na wafanyakazi wa mizani nchini kujitafakari kuhusu mienendo yao ya utendaji kazi...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2021KATIKA kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, Tanzania imefanikiwa kuchimba visima 96 vya mafuta na gesi ambapo visima 44 vimegundulika kuwa na...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Seleman Jafo kukamilisha andiko...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance wamezindua huduma ya bima maalum ya kilimo...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021WAJUMBE wa Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (TUZ) wametembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini Dar es Salaam....
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021