Thursday , 28 March 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC, Manispaa Ilala watoa elimu ya biashara kwa wajasiriamali

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo tarehe 16 Septemba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rugemalira aachiwa huru

  MFANYABIASHARA James Rugemalira leo tarehe 16 Septemba, 2021 ameachiwa huru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP)...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Exim wachangia matibabu mtoto mwenye matatizo ya moyo

  Kaimu Mkurugenzi Idara ya Fedha Benki ya Exim Bw Issa Rajabu (kushoto) akikabidhi msaada wa fedha taslimu kwa Muhasibu wa Taasisi ya...

Habari Mchanganyiko

Aweso atua Bukoba, aagiza milioni 420 za mkandarasi zilipwe

  WAZIRI wa Maji nchini, Jumaa Aweso amejionea hali ya mradi wa maji wa Kemondo-Maruku wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera huku akitoa maagizo...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kijaji awapa ujumbe watumishi wizara ya habari

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, Dk. Ashatu Kijaji ameitaka menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi...

Habari Mchanganyiko

GGML yatoa mafunzo ya Covid-19 kwa waandishi wa habari 60 

KAMPUNI  ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita (GGML) kwa kushirikiana na Ofisiya Mkuu wa Mkoa huo, imetoa mafunzo kwa waandishi wa...

Habari Mchanganyiko

Royal tour’ ya Rais Samia yaanza kumiminia watalii, KITS wachangamkia fursa

  WAKATI filamu ya ‘Royal Tour’ ikiwa katika maandalizi kabambe kutangaza vivutio vya utalii Tanzania, Kampuni ya kimataifa inayojihusisha na masuala ya utalii...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ripoti uchunguzi soko la Kariakoo kutua kwa Rais Samia

  RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro atuma salamu kwa magaidi wa Msumbiji waliojificha Dar 

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania , IGP Sirro, amesema wanazifanyia kazi taarifa za uwepo wa watuhumiwa wa vitendo vya  ugaidi waliokimbilia nchini, ...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kisa agizo la RC Dar…wamachinga waangua kilio, wamkumbuka JPM

  WAFANYABIASHARA wadogo maarufu kama ‘wamachinga’ wameiomba Serikali kupitia upya uamuzi wake wa kutaka kuwaondoa katika maeneo ya pembezoni mwa barabara katika soko...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 174,222 wapandishwa vyeo

  SERIKLI imesema hadi kufikia tarehe 1 Septemba, 2021 jumla ya watumishi wa umma 174,222 wamepandishwa vyeo na kubadilishiwa mishahara yao. Pia imesema...

Habari Mchanganyiko

Aweso atangaza vita na wakandarasi wababaishaji

  WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ametangazia vita kwa wakandarasi na wahandisi ambao watakwamisha miradi ya maji inayotekelezwa serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

Mapacha waoa mwanamke mmoja… wanatarajia kupata mtoto

  STORI za mapacha kushare au kuvaliana nguo, kusomea taaluma moja, kufanya kazi ya aina moja, kufunga harusi siku moja na wakati mwingine...

Habari Mchanganyiko

Kamati ya kitaifa kuratibu matumizi mabaya mitandaoni yaundwa

  SERIKALI ya Tanzania imeunda kamati ya Taifa ya kusimamia utatuzi wa matumizi mabaya ya huduma na bidhaa za mawasiliano. Anaripoti Noela Shila,...

Habari Mchanganyiko

Mbunge alilia maslahi askari polisi wanaojeruhiwa, kuuawa

  MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) nchini Tanzania, Fakharia Shomr Khamis ameitaka Serikali kueleza ni maslahi yapi askari polisi anayapata pindi anapopata madhira...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya, wenzake wasomewa mashtaka ya uhujumu uchumi

  ALIYEKUWA Mkuu waWilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, wamesomewa upya mashtaka matano katika Kesi ya Uhujumu Uchumi...

Habari Mchanganyiko

Tanzania kupunguza gharama za hereni kwa mifugo

  SERIKALI ya Tanzania, imepanga kupunguza gharama za hereni maalum ya utambuzi wa mifugo nchini ili kumpunguzia gharama mfugaji. Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari Mchanganyiko

Aliyekuwa Rais Afghanistan aomba msamaha, adai hakunuia kuikimbia nchi

  Wiki chache baada ya wanamgambo wa Taliban kuchukua madarakani na kuunda Serikali yao huko nchini Afghanistan, aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Ashraf...

Habari Mchanganyiko

Bei ya vyakula yashuka, kodi ya pango na ‘guest’ yaongezeka

  BEI ya bidhaa za vyakula kwa mwezi Agosti 2021, ilipungua huku ya bidhaa zisizo za vyakula ikiwemo mavazi, kodi ya pango na...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro atua Rwanda, kushirikiana kukabili ugaidi

  SERIKALI ya Tanzania na Rwanda, zimekubaliana kushirikiana katika kukabiliana na vitendo vya ugaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aanzisha mashindano ya utamaduni Tanzania

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanzishwa kwa kombe la mashindano ya utamaduni nchini katika matamasha yajayo yatakayohusisha makabila yote nchni. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wizara, taasisi zaagizwa kujiunga huduma pamoja

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...

Habari Mchanganyiko

Askofu Shoo alalamikia tozo, akumbuka upinzani bungeni

  MJADALA juu ya tozo mbalimbali zilizoanzishwa na serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa lengo la kupeleka maendeleo ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yalifungia Raia Mwema siku 30

  SERIKALI ya Tanzania imesitisha leseni ya Gazeti la Raia Mwema, kwa muda wa siku 30 kuanzia kesho tarehe 6 Septemba 2021. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Aweso atoa maagizo kwa watalamu wizara ya maji

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amekagua mtambo mkubwa wa kuchuja maji chumvi katika eneo la Serengeti, Wilaya ya Gairo mkoani...

Habari Mchanganyiko

Vijana Tanzania watakiwa kuchangamkia fursa za tehama

  WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, imewataka vijana kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa maslahi mapana ya nchi...

ElimuHabari Mchanganyiko

Serikali, Huawei Kuwaendeleza Wanawake Sekta Ya TEHAMA

SERIKALI imeahidi  kushirikiana na kuunga mkono  jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi  na kuwaendeleza wanawake katika sekta ya...

Habari Mchanganyiko

TRA kutumia uwajibikaji, uadilifu kutimiza malengo 2021/22

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ili kuhahakikisha inafikia lengo la kukusanya zaidi ya Sh.22.18 trilioni kwa mwaka wa fedha 2021/2022 watazingatia,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ripoti ya Polisi sakata la Hamza, yaibua maswali magumu

  RIPOTI ya awali ya uchunguzi wa tukio la mauaji ya maofisa watatu wa jeshi la Polisi nchini Tanzania, mlinzi mmoja wa kampuni...

Habari Mchanganyiko

Askari magereza mbaroni tuhuma za kubaka, kujiua

  JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Said Hassan Said (26) ambaye ni askari Magereza, Mkazi...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi 7,000 GGML waipaisha Geita 

ZAIDI ya wafanyakazi 7,000 walioajiriwa kwenye kampuni ya uchimbaji wa madini Geita (GGML) wameupaisha mkoa wa Geita baada ya michango yao katika michahara...

Habari Mchanganyiko

THRDC yawanoa Mawakili wanawake kushiriki kesi za kimkakati

  MAWAKILI wanawake 40 kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamepewa mafunzo ya kuendesha kesi zenye maslahi ya umma ‘kesi zakimkakati’ na Mtandao wa Watetezi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafungua milango utafiti wa DNA kwa makabila Tanzania

  SERIKALI imesema ipo tayari kushirikiana na watafiti kufanya utafiti wa vinasaba kwa makabila mbalimbali nchini ili kurahisisha upatikanaji wa matibabu ya magonjwa...

Habari Mchanganyiko

Mto Msimbazi Dar kuanza kujengwa Julai 2022

  SERIKALI ya Tanzania imesema, mradi wa ujenzi wa Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam unatarajia kuanza Julai 2022. Anaripoti Helena Mkonyi, (TUDARCo)...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi Tanzania: Hamza alikuwa gaidi, hakuwa na fedha

  JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, Hamza Mohamed aliyewaua askari polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha kuuawa, alikuwa...

Habari Mchanganyiko

Bei mpya za mafuta zapigwa ‘stop’ Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusitisha bei mpya za mafuta zilizokuwa zianze kutumika leo Jumatano, tarehe 1 Septemba 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari MchanganyikoKimataifa

Watanzania wawili mbaroni kwa kumtumia mlemavu kuombaomba Nairobi

  WATANZANIA wawili wamepandishwa kizimbani kwa wakikabiliwa na mashtaka ya kumtumia mlemavu kujitajirisha kupitia kwa kuombaomba katika barabara za jijini Nairobi nchini Kenya....

Habari MchanganyikoTangulizi

Tozo miamala ya simu yapunguzwa kwa asilimia 30

  SERIKALI ya Tanzania, imefanya marekebisho ya tozo za miamala ya simu, kwa kupunguza viwango vyake kwa asilimia 30. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo...

Habari Mchanganyiko

Utafiti wa vinasaba (DNA) kwa makabila yote waja

  WATAFITI na wanataaluma wa vinasaba nchini  wamesema kuna uhitaji mkubwa ufanyikaji wa utafiti za vinasaba vya binadamu ili kubaini vyanzo mbalimbali vya...

Habari Mchanganyiko

Ujumbe wa mwanaye Manumba waliza wengi

  SAA chache baada ya Mkurugenzi Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, kufariki dunia, mwanaye Rose ameandika ujumbe wa...

Habari Mchanganyiko

Mwanafa asimulia alivyonusurika kifo… tulitoka kwa Rais mstaafu

  MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma (CCM) maarufu kama Mwana FA amesimulia namna alivyonusurika kifo katika ajali iliyotokea katika eneo la Mkambarani mkoani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Robert Manumba afariki

  MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwanaye...

Habari Mchanganyiko

Upanuzi wa huduma kidijitali waendelea kunufaisha I& M Group PLC

  KAMPUNI inayoongoza kwa utoaji wa huduma za fedha katika ukanda wa Afrika Mashariki, I&M Group PLC imetangaza kuongeza faida kwa asilimia 33...

Habari Mchanganyiko

STAMICO, BUCKREEF wasaini mkataba wa uchorongaji wa Sh. bil 4

  SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba wa uchorongaji na Mgodi wa Madini wa Buckreef (Buckreef Gold Company Ltd) ambayo ni...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya Coastal yaandika historia Afrika kwa kubeba cheti cha usalama kutoka IATA

  USALAMA ni moja ya nguzo muhimu katika masuala ya usafiri wa anga. Hiki ndio kigezo ambacho kimezishinda kampuni nyingi za usafiri wa...

Habari Mchanganyiko

Dawasa kumaliza tatizo la majitaka Ilala

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) nchini Tanzania, inatekeleza mradi wa majitaka Uhuru katika Wilaya ya Ilala...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siri ya uwezo wa Hamza kutumia AK47 yafichuka

  SIRI ya Hamza Hassan Mohamed kumudu kutumia silaha na kuwaua askari watatu wa jeshi la polisi na mlinzi mmoja wa kampuni ya...

Habari Mchanganyiko

Nyumba 19 zateketea kwa moto Rufiji

  NYUMBA 19 zimeteketea kwa moto katika kitongoji cha Shaurimoyo, kijiji cha Nyamwage wilayani Rufiji mkoani Pwani baada ya mwananchi mmoja kuwasha moto...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa maagizo kwa DC, Madiwani Kaliua

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza ujenzi wa kituo cha Afya Usinge, wilayani Kaliua, Mkoa wa Tabora, ukamilike ifikapo Oktoba 2021. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mauaji Polisi Dar yamuibua Askofu Gwajima

  MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amefanya maombi maalum ya kuwaombea Askari Polisi, katika Kanisa lake la...

error: Content is protected !!