HABARI MCHANGANYIKO Sweetbert Nkuba kuimarisha miundombinu TLS July 29, 2024 Erasto Masalu SWEETBERT Nkuba, ambaye ni miongoni mwa wagombea sita wa nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), moja ya sera zake ni uimarishaji wa miundombinu ya kisheria na kiteknolojia…
HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI SIASA Kampeni za urais TLS zashika kasi, mbivu, mbichi kujulikana Ijumaa hii July 29, 2024 Erasto Masalu KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambao unatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa wiki hii zinaendelea kupamba moto kwa kila mgombea kunadi sera zake ili achaguliwe kuwa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mfanyabiashara akata rufaa mfanyakazi wa CRDB kuachiwa huru July 29, 2024 Erasto Masalu MFANYABIASHARA Deogratus Minja amewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ya kumuachia huru mfanyakazi wa Benki ya CRDB, Ibrahim Masahi…
HABARI MCHANGANYIKO Mtalii afariki kwa ajali Serengeti, majeruhi watano wapelekwa Nairobi July 29, 2024 Erasto Masalu MTALII mmoja amefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa katika ajali gari iliyotokea jana Jumapili saa 10 jioni kwenye Hifadhi ya Taifa Serengeti. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mara … (endelea). Taarifa iliyotolewa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI URUS TZ kupeleka teknolojia ya uhimilishaji mifugo maenesho ya Nanenane July 29, 2024 Erasto Masalu IKIWA ni sehemu ya kusaidia jitihada za kukuza sekta ya mifugo hapa nchini, Kampuni ya URUS inatatajiwa kushiriki maonesho ya Nanenane mwaka huu katika mikoa sita ya Morogoro, Dodoma, Mbeya,…
HABARI MCHANGANYIKO Uchaguzi wa TLS wapamba moto July 28, 2024 Erasto Masalu WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) unaotarajiwa kufanyika Agosti 2, 2024,wangobea urais wa chama hicho wameendelea kunadi sera zao ili wachanguluiwe. Anaripoti Matilda Peter, Dar es…